Actionaid Tanzania (@ActionaidT) profile picture
Joined September 2023
Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)
Actionaid Tanzania retweeted
Mhe. Simon Mayeka, Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, akitoa salamu kwa niaba ya Wakuu wa Wilaya zote sita zilizoshiriki katika utekelezaji wa Mradi wa Kilimo Himilivu cha Zao la Mtama katika Mkoa wa Dodoma. #KilimoHimilivu | #CSAPII
5
9
256
Bw. Khatib Kazungu katibu tawala Mkoa wa Dodoma anasema Mradi wa #KilimoHimilivu umeboresha uzalishaji wa mazao, matumizi ya teknolojia bora na uelewa wa wakulima kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kupitia mafunzo, wakulima wameongeza uzalishaji na kipato. #CSAPII
1
2
2
19
Akizungumza kwenye hafla ya kuhitimisha Mradi wa #CSAPII , Bw. Khatib Kazungu amesisitiza kuendeleza mifumo iliyowekwa: huduma za ugani, vikundi vya kuweka na kukopa, uzalishaji bora na masoko. Amesema changamoto za masoko bado zishughulikiwe ili matokeo yadumu.
1
1
20
Mradi huu ni muhimu kwani ni sehemu ya utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, kupitia Mpango wa Maendeleo wa miaka 5 kwa kupitia zao mkakati la #Mtama tumefikia 48% ya malengo. - Dkt Nandonde (OWM) #KilimoHimilivu #CSAPII
1
1
14
Kupitia mradi huu, wakulima wamewezeshwa kuongeza uzalishaji na tija, kupata taarifa za masoko, kutumia teknolojia na mbinu za kilimo himilivu, pamoja na kuimarisha usalama wa chakula na kipato cha kaya. - Bavon Christopher #KilimoHimilivu | #CSAPII #Mtama
Akizungumza katika hafla ya kuhitimisha utekelezaji wa mradi wa #CSAPII, Mkurugenzi Bavon amesema, "Mabadiliko yanaonekana wazi kwa wakulima ambao sasa wanatumia ujuzi na mbinu walizojifunza kuboresha uzalishaji, kipato na maisha yao". #KilimoHimilivu #Mtama
1
1
14
Actionaid Tanzania retweeted
Ukuaji wa uchumi na kipato vikawe ni chachu kuhakikisha fursa ya uzalishaji na kuboresha masoko ya Mtama inaendelea hata baada ya Mradi kuhitimisha utekelezaji wake. Mtama, uhakika wa Chakula, kipato na lishe bora. - Dkt Nandonde (OWM) #KilimoHimilivu | #CSAPII | #Mtama
8
13
366
Actionaid Tanzania retweeted
Akizungumza katika hafla ya kuhitimisha utekelezaji wa mradi wa #CSAPII, Mkurugenzi Bavon amesema, "Mabadiliko yanaonekana wazi kwa wakulima ambao sasa wanatumia ujuzi na mbinu walizojifunza kuboresha uzalishaji, kipato na maisha yao". #KilimoHimilivu #Mtama
2
1
2
36
Akizungumza katika hafla ya kuhitimisha utekelezaji wa mradi wa #CSAPII, Mkurugenzi Bavon amesema, "Mabadiliko yanaonekana wazi kwa wakulima ambao sasa wanatumia ujuzi na mbinu walizojifunza kuboresha uzalishaji, kipato na maisha yao". #KilimoHimilivu #Mtama
2
1
2
36
Mkurugenzi wetu ametoa shukrani kwa @WFP_Tanzania ,Serikali na sekta binafsi kwa ushirikiano na uwekezaji wao katika kuwawezesha wakulima kupitia mradi wa #KilimoHimilivu cha zao la #Mtama na kuwapatia Wakulima fursa mbalimbali za biashara. #CSAPII
2
2
18
"Mafunzo ya kilimo, elimu ya fedha na uwezeshaji vimenisaidia kuongeza kipato, kuboresha maisha ya familia yangu na kujenga matumaini mapya kupitia kilimo cha mtama." ~ Elizabeth Yohana, Mkulima na Mnufaika wa Mradi wa Kilimo Himilivu. #KilimoHimilivu | #CSAPII
2
2
26
Bi. Elizabeth Yohana, mkulima kutoka Kongwa, akieleza namna mafunzo na uwezeshaji kupitia @WFP_Tanzania na @ActionaidTz yalivyobadilisha maisha yake na kuongeza kipato kupitia kilimo cha mtama. #KilimoHimilivu | #CSAPII
2
2
20
Actionaid Tanzania retweeted
#CSAPII imeweka mkazo katika kuwawezesha Wanawake kiuchumi kupitia ujumuishaji wa kifedha, vikundi vya kuweka na kukopa, mafunzo ya biashara na uongozi pamoja na upatikanaji wa mikopo ili waweze kujikimu na kuongeza kipato. #KilimoHimilivu #Mtama
3
4
16
#CSAPII imeweka mkazo katika kuwawezesha Wanawake kiuchumi kupitia ujumuishaji wa kifedha, vikundi vya kuweka na kukopa, mafunzo ya biashara na uongozi pamoja na upatikanaji wa mikopo ili waweze kujikimu na kuongeza kipato. #KilimoHimilivu #Mtama
3
4
16
Matokeo ya mradi yanaonesha kuwa kipato cha kaya za wakulima wanaoshiriki katika mradi kimeongezeka kwa asilimia 43. Mbinu bora za kilimo zimechangia kuongeza uzalishaji na kupunguza upotevu wa mazao baada ya mavuno. #Mtama #KilimoHimilivu #CSAPII
2
2
12
#CSAPII imechangia kufanya kilimo cha #Mtama kuwa shughuli yenye tija na inayostahimili ukame. Kupitia uboreshaji wa ubora wa zao, ukusanyaji wa jumla ya tani 4,149 za mtama zimeuzwa kupitia masoko ya kibiashara, zikiwa na thamani ya takribani Sh bilioni 21.58. #KilimoHimilivu
2
2
13
Cosmas Deogratius kutoka @ActionaidTz - Mkoa wa Dodoma, akiwasilisha mafanikio na utekelezaji wa Mradi wa Kilimo Himilivu cha Zao la Mtama, katika hafla ya kuhitimisha utekelezaji wa mradi. #KilimoHimilivu | #CSAPII
2
2
15
#CSAPII imefikia wakulima wadogo 40,819 katika wilaya sita za Mkoa wa Dodoma: Chamwino, Kongwa, Bahi, Mpwapwa, Chemba na Kondoa. Kupitia mbinu zinazozingatia mabadiliko ya tabianchi, wakulima wamewezeshwa kuongeza uzalishaji na ustahimilivu wao. #KilimoHimilivu #Mtama
1
2
2
10
Salaam za utambulisho na utangulizi zikitolewa na wawakilishi wa @ActionAidTanzania, @WFP_Tanzania na Ofisi ya Mkoa wa Dodoma katika hafla ya kuhitimisha utekelezaji wa Mradi wa Kilimo Himilivu cha Zao la Mtama #CSAPII
1
2
18
Actionaid Tanzania retweeted
Tangu mwaka 2022, @WFP_Tanzania & @actionaidtz kwa kushirikiana na Serikali, sekta binafsi na kwa ufadhili wa @IrlEmbTanzania imekuwa ikitekeleza #CSAPII kwa lengo la kuibadilisha zao la #Mtama kutoka zao la kujikimu kuwa zao lenye tija na fursa kibiashara. #KilimoHimilivu
3
4
32