Sheria Mpya Ya Kodi Yalenga Matangazo ya Mtandaoni Yasiyo ya Wakaazi Nchini Tanzania: TRA Yatoa Ufafanuzi
Kufuatia tangazo la Meta, mmiliki wa #Facebook, #Instagram, na #WhatsApp, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefafanua kama ifuatavyo:
Soma Zaidi👇
Kodi hii haitumiki kwa watumiaji binafsi wanaotangaza kwenye akaunti zao binafsi za #mitandao ya kijamii bali inalenga #biashara zenye mikataba ya kibiashara kwa matangazo ya kulipia kwenye majukwaa kama #Facebook na #Instagram.
Tunakuletea uchambuzi wa kipekee kuhusu mafanikio ya shirika hilo na mikakati yake ya kuleta mapinduzi katika sekta ya madini nchini Tanzania!
Soma zaidi: digest.tz/defying-stamicos-c…
......ikirejesha hadhi yake katika sekta ya madini ambayo inachangia pakubwa kwenye pato la taifa, na kuingiza kipindi cha mabadiliko.
Ujerumani, Tanzania Zasaini Makubaliano, Miradi Minne Yenye Thamani Ya Bilioni 56.3
Katika ushirikiano wa kihistoria, Balozi Thomas Terstegen na Dkt. Natu E. Mwamba, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Tanzania, wametia saini Makubaliano ya Ushirikiano wa Kiufundi, Dar .
Zaidi👇
Makubaliano haya yaliyodhaminiwa na Ujerumani, yakiwa na thamani ya EUR 22 milioni (TZS 56.3 bilioni) yanaanzisha miradi minne ya mageuzi:
1. Uanzishwaji wa Kituo cha Kidijitali kinachopewa kipaumbele katika Haki za Binadamu na Usawa wa Jinsia.
Tanzania Yaongoza Dunia Katika Usambazaji wa Maji Vijijini.
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dk. Victoria Kwakwa, ameipongeza Tanzania kwa kuweka kiwango cha kimataifa katika utekelezaji wa 'Mpango wa Matokeo (PforR)'.
Soma Zaidi 👇
Awali, Tanzania ilipokea dola milioni 350 kutoka Benki ya Dunia kwa ajili ya miradi ya maji vijijini, na kufanikiwa kutoa maji kwa zaidi ya watu milioni 4.7 katika mikoa 17 ndani ya miaka mitatu ya kwanza.
Mbinu hii ya malipo inayotegemea matokeo imefanikiwa kuimarisha huduma za maji na usafi vijijini, ikiwa kama mfano katika zaidi ya nchi 50 kwa msaada wa Benki ya Dunia.
Je, wewe ni mwandishi mwenye kipaji na shauku ya kuelezea maoni yako? Jiunge na Fikra Pevu kama mwandishi huru na lipwa kwa makala zako! Tunatafuta mitazamo tofauti juu ya mada mbalimbali.
Tuna ofa nzuri ya malipo na fursa ya kufanya kazi kwa muda rafiki.
Tuma Maombi: bit.ly/fikrapevu
Miaka Miwili ya Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mikakati ya Kumkomboa Mwanamke wa Kitanzania
Ikiwa Tanzania inaandika Historia ya Kipekee katika Serikali yake, Kwa Mara ya Kwanza inapata Rais Mwanamke! Ni shujaa, Shupavu na Mzalendo haswa, Mpenda Maendeleo ya Taifa.
Upatikanaji wa Huduma za Kijamii kumuwezesha Mwanamke wa Kitanzania kimaisha unasimamiwa kwa dhati kabisa, Kuboreshwa kwa Huduma za Afya na Kuongezeka kwa Hospitali zenye katika Mikoa ni kipaumbele, Huduma za Elimu, Miundombinu bila kusahau Uboreshwaji wa Huduma za Maji.
Thrilled to hear that Tanzania will be hosting the #AGRF2023 Summit! A great opportunity for leaders in agriculture to come together and discuss innovative solutions for driving sustainable and inclusive growth across the continent. Can't wait to see what the future holds! 🌱🌍







