Radio Maisha (@radiomaisha) header
Radio Maisha (@radiomaisha) profile picture

Kwa vipindi bomba , muziki bora wa kiafrika na habari tendeti, tegea Radio Maisha. Tuko mbele pamoja.

Nairobi, Kenya
Joined May 2010
Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)Photo by Radio Maisha (@radiomaisha)
Big game. Big screen. Big atmosphere. 🍗⚽ Watch Arsenal v Man City with the Radio Maisha crew at Crowdaddy’s Embakasi, Sunday 7:30PM. Bring your friends, bring your predictions, and bring the noise! Live commentary on Radio Maisha, the Home of EPL, with @SPORTPESA #HomeOfEPL
4
547
Title-race energy on a Sunday night! 👀 Maresca’s City meet the champions Arsenal, and the best seat in town is at Crowdaddy’s Embakasi, 7:30PM. Catch every moment live on Radio Maisha, the Home of EPL, brought to you by @SPORTPESA. #HomeOfEPL #TukoMbelePamoja
566
Paka ni kwa Kiswahili, mnamwitaje kwa lugha yenu ya mama? Andika jibu lako kwenye maoni. Majibu yanasomwa redioni! Tunaendelea kuelimishana na kutajirisha lugha zetu kupitia Nuru ya Lugha na Victor Mulama. #NuruYaLugha #KiswahiliHoyee
1
4
17
1,248
Unategea Nuru ya Lugha ukiwa wapi?
1
3
7
1,075
KITENDAWILI... Huruka kutoka ua moja hadi jingine, lakini hana manyoya. Ni nani huyo? Majibu yanasomwa redioni! Wa kwanza kutoa jibu sahihi anajishindia Kamusi Pevu ya Kiswahili na Vocha ya shilingi 1,000! Tegea Nuru ya Lugha na Victor Mulama #NuruYaLugha #KiswahiliHoyee
2
11
1,130
Tanzania’s newly commissioned MV New Mwanza slammed into Bismarck Rock on Lake Victoria #maishasherehefriday
1
9
1,437
Mlinda klabu adungwa kisu baada ya kugombana na wateja wawili waliokataa kulipia bia walizokunywa. #maishasherehefriday
1
1
6
1,417
Martha Karua atangaza azma ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa 2027. #maishasherehefriday
1
16
1,219
Mwanamke mmoja ashutumu hospitali ya matibabu ya wanawake kwa kuweka kamera fiche kwenye chumba cha matibabu. #maishasherehefriday
1
1
1
16
2,581
Weekend moods 🎶🔥 Muziki mtamu, vibes za kipekee na raha tupu. #maishasherehefriday
13
1,174
NTSA yatangaza kusimamisha leseni 300,000 za udereva; tayari leseni 15,000 zimesimamishwa na vyeti 25,000 vya ukaguzi vinatarajiwa kusimamishwa. #maishasherehefriday
1
20
1,197
Mahakama imemhukumu Okoth Obado kifungo cha miaka 25, Michael Oyamo miaka 25, na Caspal Obiero miaka 18 jela kwa mauaji ya Sharon Otieno. #maishasherehefriday
1
16
1,123
Wainana: People who love githeri hawajipendi! #Konnect
16
1,268
Morgan Bahati anatoza KSh 1 million kwa appearance ya club. #Konnect
1
8
658
Kama umefanikiwa, usifiche! Onyeshana kama Tony Mwirigi. #Konnect
6
785
Men, if msichana hajawai spend on you, achana na yeye! #Konnect
431
Dj King Da Mix Killer atembea nyumbani. #Konnect
418
Sarah: Tendo la punyeto linaweza kusababisha uume kupungua. #Staarabika
4
1,355
Caller: Hii kenya iuzwe kila mtu apewe pesa yake aende! #Staarabika
1
458
Eastleigh iliporwa baada ya mkutano wa DCP. Hawa goons ni wa nani? #Staarabika
12
2,007