Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania) header
Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania) profile picture

The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2015
Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)
Shangwe kuelekea uzinduzi wa hamasa limeanza hapa Magomeni Mikumi tukielekea Tawi la Simba Jangwani Mafuso. Angalia uzinduzi wa hamasa kupitia YouTube - Simba SC Tanzania. #NguvuMoja
1
29
1,247
Tiketi za 𝐏𝐋𝐀𝐓𝐈𝐍𝐔𝐌 zimekwisha. #NguvuMoja
4
5
87
1,904
Safari ya hatua ya makundi ya CAF Champions League 2026/27 itaanza wikiendi hii, tukipeperusha bendera ya Tanzania 🇹🇿 kimataifa. 🌍 Dunia iko tayari kuangalia soka la viwango vya juu kutoka kwa klabu bora Afrika Mashariki na Kati, Simba Sports Club. #NguvuMoja
4
12
188
4,936
📣 𝐔𝐙𝐈𝐍𝐃𝐔𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐇𝐀𝐌𝐀𝐒𝐀 📣 Mchezo mkubwa hauwezi kupita bila kispika cha Semaji. Kesho Alhamisi tutakuwepo Tawi la Simba - Jangwani Mafuso kufanya uzinduzi mkubwa wa hamasa, lakini kabla ya kufika hapo Wanasimba tutakutana Magomeni Mikumi. #NguvuMoja
2
5
60
3,421
Mara ya mwisho kucheza nyumbani dhidi ya Pirates tulishinda, Jumapili tunautaka tena. 🦁🆚☠️ #NguvuMoja
5
5
302
7,884
Semaji Ahmed Ally akizungumzia viingilio rafiki ambavyo tumewawekea Wanasimba vya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Orlando Pirates. #NguvuMoja
6
14
291
10,305
Huduma ambazo zitatolewa kwa ambao watanunua tiketi za Platinum. Tupigie sasa kwa namna +255 742 771 311 kuwahi tiketi yako. #NguvuMoja
1
3
77
3,987
🎟️ Viingilio vya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Orlando Pirates ambao utafanyika Jumapili Novemba 29, 2026 katika Uwanja wa Uhuru. Tiketi zinapatikana kwa njia ya mtandao: simbasc.wanaut.com #NguvuMoja
6
13
1
261
7,989
Muda wa kunguruma kimataifa umewadia. #NguvuMoja
3
10
308
5,416
Safari ya kimataifa 2026/27 ilivyoanza. #NguvuMoja
3
10
379
13,153
Jumapili tunao tena. 🦁🆚☠️ #NguvuMoja
6
13
639
9,616
Mchezo mkubwa unahitaji maandalizi makubwa. #NguvuMoja
2
6
149
4,390
𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐃𝐀𝐘. #NguvuMoja
4
11
215
5,445
Mazoezi Mo Simba Arena tukiwa na Simba Youth. #NguvuMoja
2
10
304
8,092
Mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu 2026/27 kwa nahodha Shommy. #NguvuMoja
4
12
331
7,612
Tutakuwa LIVE kupitia YouTube - Simba SC Tanzania kukuonyesha kila kinachojiri katika Simba Media Day inayofanyika Mo Simba Arena. 📺 Usikose kutufuatilia! #NguvuMoja
5
5
187
5,365
Mnyama hana mpinzani 🦁 #NguvuMoja
6
15
1
320
6,152