Ulienda kabarak kusomea education? School fees ya 1st year peke yake will take you a salary of 5 years kurudishwa.
I've done the maths. If I get that TSC job at 24 and retire at 60, I'll have worked for 36 years.
At KSh 60,000 per month, that's KSh 720,000 a year.
After 36yrs of work I'll earn ksh25.92 million over 36 years.
Meanwhile,a kenyan @Earlsimxx aged 35–36, akona a Ferrari F355 GTS worth KSh 25–28 million. 😂😭
Life is seriously unfair
😂😂😂
Replying to @AntonioWallahi
Itabidi uchambulie your fellow prisoners odds za maana ama wapite na wewe
20
I came to realize public universities wakishamalizia projector wanairudisha kwa ofisi ya lec ama store.
Jana nimekua side za Zetech huko Ruiru na nilijionea difference ya public and private university life. Wacha nijikaze cumjunior asiende UOE kuchalk kwa pool na ratish za 40 bob. You could smell dynasty from their appearance man
28
Kwanza ukiingia kibandaski unalipa kwanza before walete hio chai, ju ukilipa after na iende wrong account ni Ivo ndio utaosha vyombo, yet it's just 50 bob.
The worst thing about being broke is how scary normal things become . Unaweza Kaa na wasi wasi the whole day ,people around you think you are depressed na kumbe uliacha token ikiwa 1 nyumbani .
Unaingia kwa hoteli na 50 bob alafu inlaw wako anaingia pia , bill ya chai na ndazi mbili inakua ndio Iko katikati yako na kukaa na mtoto watu kama hujalipa mahari .
Eeeh mungu utukumbuke .
1
29
Kuna weddings na funerals, pia corporate events
Hapo tao kuna msee akona biz ya kuuza flowers joh,making it worse akona 2 rooms analipa rent hapo jevanjee zimejaa flowers mangai,so nashangaa anatoa clients wapi na ana manage kulipa aje rent nairobi cbd,mimi nikieza jaribu hiyo mcheso narudi kwetu busia na one month akii😂😂😭
13































