Tatizo Ubishi retweeted
I think there's something healthy about learning to tell people when their actions have bothered you instead of repeatedly swallowing your feelings until resentment builds up.
Mbona mauaji mengi siku hizi 🙆🏼♀️
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limethibitisha kifo cha Benson Steven, maarufu kwa jina la Mkembo, aliyekuwa akituhumiwa kuhusika na mauaji ya Wanawake wawili ambao miili yao ilikutwa imefichwa uvunguni mwa kitanda katika nyumba ya kulala wageni iliyopo Mtaa wa Makunguru, Kata ya Ruanda, Jijini Mbeya.
Kwa mujibu wa taarifa ya Polisi, tukio hilo liliripotiwa Oktoba 16, 2026, majira ya saa 11 alfajiri, baada ya mhudumu wa nyumba hiyo ya kulala Wageni, Nice Kabuje, kutoa taarifa katika Kituo cha Polisi Mbeya Mjini kuhusu kupatikana kwa miili hiyo ndani ya chumba kilichopewa jina la Uphilipino.
Polisi wameeleza kuwa mmoja wa marehemu ametambuliwa kuwa Annastazia Mwakipesile (32), Mkazi wa Kabwe, Jijini Mbeya, huku mwili wa Mwanamke mwingine ambaye bado hajatambuliwa ukihifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya.
Oktoba 21, 2026, majira ya saa tisa alasiri, Polisi walimkamata Benson Steven, fundi sofa na Mkazi wa Iwambi, Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo ambapo alidai alifanya hivyo ili awe tajiri baada ya kupewa masharti na Mganga wa Jadi.
Kwa mujibu wa Polisi, kuwa wakiwa njiani kuelekea kwa Mganga huyo, Mtuhumiwa aliruka kutoka kwenye gari na kuanza kukimbia ambapo Askari walifyatua risasi tatu hewani kumtaka asimame, lakini aliendelea kukimbia, ndipo risasi nyingine ilipofyatuliwa na kumpata kwenye paja la mguu wa kushoto ambapo alifariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitali.
#MillardAyoUPDATES
Tatizo Ubishi retweeted
Kim Jong-un on the left is the one who recently made a public appearance, while Kim Jong-un on the right is the one who visited Beijing and met with Xi Jinping. Is this the same person? The fact that the North Korean authorities are using a body double to appear in public actually confirms the rumors that Kim Jong-un has met with misfortune; it seems to be true!
Tatizo Ubishi retweeted
Mfano mzuri unakuta ana demu wake anamnunulia pombe na mambo mengine mengi.
Ila huyo mtoto akiomba mtaji HAPEWI😆😆
Mifano si tunayooooo😆























