New you manade!!😂
@pending_TG amedelete lakini nimeweka kwa kalatas😂😂
Racko retweeted
Mahali niko sai wacha vile mnasemanga ati ningeuliza ‘what’s your view’ ,mimi nimechukua picha millioni mamaye
Anahesabu siku zenye anaiba weed kwa pedi, ndio maana anatweet "day 34 weed free"
Ama huyo @Glock_19n huwa anahesabu masiku juu yeye ni mwizi ndio day 40 asiende job juu siku za mwizi ni arubaini?
Racko retweeted
Ama huyo @Glock_19n huwa anahesabu masiku juu yeye ni mwizi ndio day 40 asiende job juu siku za mwizi ni arubaini?
Racko retweeted
Nyinyi watu ni watu wa power sana bnae 🫡🥲. Bila nyinyi hakuna vile niko,,, Respect manze 🫡✊💯.
Thank you very important 🙏.
Racko retweeted
Wenye niliwaguzia kutoka jana na bado hamjafunguka macho muone mahali follow back button iko kuanzia leo saa tatu na nusu naanua nyinyi namna hatari sana. Watu sio wajinga buana,,, Maumbwaa nyinyi 🤧



























