Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) (@ACVTanzania) header
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) (@ACVTanzania) profile picture

Anti-Corruption Movement in Tanzania for the people by the people. Together we can #Sepesharushwa 📌 Kwa pamoja tunaweza kufikia Tanzania bila Rushwa ✍

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2021
Photo by Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) (@ACVTanzania)Photo by Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) (@ACVTanzania)Photo by Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) (@ACVTanzania)Photo by Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) (@ACVTanzania)Photo by Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) (@ACVTanzania)Photo by Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) (@ACVTanzania)Photo by Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) (@ACVTanzania)Photo by Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) (@ACVTanzania)Photo by Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) (@ACVTanzania)Photo by Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) (@ACVTanzania)
📍 Morogoro #SepeshaRushwa Marathon inakuja ni jumamosi hii 02.11.2024 kutakuwa mbio na matembezi, kupanda miti, Elimu ya maadili na Rushwa ya Ngono Itafanyika Stendi ya zamani saa 11:00 - 3:00 Asubuhi. HAKUNA KIINGILIO. Karibuni sana
2
4
257
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
Swali lingine "Kwa uzoefu wenu wa mnaona taasisi ya familia ni sehemu sahihi ya kupambana na Rushwa ya Ngono?" #ElimikaSpaces #ElimikaWikiendi
1
6
5
447
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
Swali kwenda kwa Afisa mawasiliano wa @herinitiative kaka @nahdy_tariq "Nini nafasi nafasi ya majukwaa ya Kidijitali kama #ElimikaWikiendi, Panda Initiative katika kufanya uchechemu wa kupambana na Rushwa ya Ngono?" #ElimikaSpaces
1
9
8
853
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
"Ni muhimu kuwa na hoja za pamoja katika kupambana na Rushwa ya Ngono ambazo zitatujengea uelewa mpana pia tunapaswa kuendelea kuelimisha jamii ili waathirika wapate msaada wa kisheria" #ElimikaSpaces #ElimikaWikiendi
1
7
7
486
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
Swali Tatizo la ukosefu ajira linahusiana vipi na Rushwa ya Ngono? #ElimikaSpaces #ElimikaWikiendi
3
7
10
1,189
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
Tunawashukuru kwa kutenga muda wenu kujumuika nasi katika jukwaa la elimu la #ElimikaWikiendi Kipekee tunawapongeza @ACVTanzania kwa kuleta mjadala mzuri kwenye jukwaa letu. Tunawatakia mapumziko mema tukutane jumamosi ijayo.
9
13
1,102
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
Mapema Leo nimeshiriki na @ElimikaWikiendi spaces, na @ACVTanzania kama muwakilishi wa @Plan_tanzania Girl's Take Over program 2024, na kugusia jinsi Girls Take Over program inavyosaidia mabinti kuwa na mawazo chanya kuziendea nafasi za Uongozi bila hofu ya Rushwa ya Ngono.
1
6
11
651
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
"Jitihada za Kupambana na Rushwa ya Ngono zimekuwa zikifanywa na Serikali, Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa sasa kuna matokeo chanya ila tunahitaji kuongeza nguvu zaidi katika mapambano haya" - @hellen_sisya #ElimikaSpaces #ElimikaWikiendi
8
7
520
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
Mnufaika wa Girls Take over ya @Plan_tanzania, Dada @Dayana___tz Girls Take Over ni mradi wa unaowanufaisha vijana katika kushika nafasi mbalimbali za uongozi bila kuhofia changamoto ya Rushwa ya Ngono. #ElimikaSpaces #ElimikaWikiendi
1
9
11
928
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
"Sera na sheria za Rushwa ya Ngono si tatizo ya kushughulikia kadhia hii ila changamoto ni kutokuwa na uelewa wa kutosha na woga kwa wahanga" - @nahdy_tariq #ElimikaSpaces #ElimikaWikiendi
2
9
9
740
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
Swali Nini haswa kinachangia kukithiri kwa rushwa ya Ngono kama ipo ndani ya jamii? #ElimikaSpaces #ElimikaWikiendi
2
8
11
791
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
Afisa mawasiliano na mchechemi wa kidigitali @nahdy_tariq kutoka @herinitive anachangia mjadala wa Rushwa ya Ngono. "Taasisi yetu ya Her Initiative inafanya kazi kubwa katika eneo katika mapambano na uchechemuzi wa Rushwa ya Ngono" #ElimikaSpaces #ElimikaWikiendi
1
8
9
563
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
Swali kwenda @ACVTanzania "kwa uzoefu wenu mnadhani mlolongo wa kesi za Rushwa za Ngono una athari wa kuongeza tatizo hili" #ElimikaSpaces #ElimikaWikiendi
1
7
9
872
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
Wasichana wengi wanapitia changamoto ya Rushwa ya Ngono kwa kushindwa 1. Kupata taarifa sahihi kupeleka tatizo hili. 2. Kutokuzifahamu taratibu za kuhudumiwa na TAKUKURU #ElimikaSpaces #ElimikaWikiendi
6
7
355
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
"Rushwa ya Ngono hutokea pia kwa matumizi mabaya ya ofisi kwa kutumia kigezo cha mamlaka na kutaka kunufaika katika hali hii." #ElimikaSpaces #ElimikaWikiendi
1
7
7
414
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
"Rushwa ya Ngono inatokea kwa kuwa muathirika hutengenezewa mazingira ili akubali ikiwa ni pamoja kutafuta ajira, kupandishwa cheo, kupata haki." #ElimikaSpaces #ElimikaWikiendi
1
6
5
819
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
7
7
406
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
1
5
5
384
Anti Corruption Voices Foundation (ACVF) retweeted
Kwa ushirikiana na @ACVTanzania jumamosi hii kwenye #ElimikaSpace ya #ElimikaWikiendi tumekuandalia mjadala muhimu kuhusu Rushwa ya Ngono. USIKOSE KUFUATILIA!
1
23
1
22
2,259