TOMMYยฎ ๐๐ retweeted
ALLOCATED MONEY VS USED MONEY IN GOVERNMENT PROJECTS๐๐๐๐๐๐๐๐ โ at Central, Kenya
TOMMYยฎ ๐๐ retweeted
Kuwa na Mtindo Wa Kujiambia Kuwa,
"Jambo Hili Ninalopitia, Litakuwa Sawa".
Tamka Uhai Juu Ya,
Maisha Yako Mwenyewe.
.......
Hakika Usikae Na Kusubiri,
Hakuna Atakayekuponya,
Ila Wewe Mwenyewe...
...
^Abracadabra^
TOMMYยฎ ๐๐ retweeted
Sikuhizi Vitoto vya 2000, Vimeigeuza AZUMA P2.๐๐
NB: Epuka Usugu wa vimelea dhidi ya dawa, Epuka matumizi ya dawa kiholela..๐ซต
TOMMYยฎ ๐๐ retweeted
Hp Spectra 360 on sell
CORE i7
8th Gen
1 TB
16 Gb ram
Clean
Dm me if interested.
TOMMYยฎ ๐๐ retweeted
Usinikate kwa ambacho sina
Siez kupeleka vacation china
Ila nitahakikisha unapaka hina
Ntakutake care kwa kina
Uwavimbie kina sabrina
ufike nikisigina
Sahau fitina
Tutaenjoy tu! Ata chapati za kumimina
Mara moja moja dinner
Utasahau mambo ya palestina
Nchague tu kuwa winner.โค๏ธ
TOMMYยฎ ๐๐ retweeted
Nakuhimiza
Malengo unayotakiwa kutimiza
Ni muhimu kupitiliza
Na ni lazima kumaliza
Hakikisha mazingira yanapaliza
Usikubali wanaokandamiza
Shinikiza
Haki yako sisitiza
Usidanganyiwe viza
Mama ukampaka yai viza
Ndugu zako ukawaliza
Watakuumiza
Watakuweka kwenye giza
โ๏ธโ๏ธ
TOMMYยฎ ๐๐ retweeted
Benjamin Fernandes' fintech, Nala, helps 500,000 Africans working abroad send money back home. Now he's aiming to build a cross-border payment system for multinationals doing business in Africa. trib.al/psD5fex
TOMMYยฎ ๐๐ retweeted
Usiuchunguze mwendo
Bila kujali anaetembea
Usipuuze skendo
Lakini achana na umbea
Mzuri ushauri wa kando
Lakini ya ndani usizoee kushea
Jitahidi mipango ya kumhandle
Wasije kusaidia kulea
Zingatia upendo
Kitu pekee cha kukutetea
Kingine uzalendo
Kumbuka mlipotokea
โค๏ธ
TOMMYยฎ ๐๐ retweeted
You may not be living your dream.
But always make peace with how you are currently ๐
Very important in fighting for more!
The pharmacist ๐
TOMMYยฎ ๐๐ retweeted
Replying to @IAMartin_ @dizastavina
Nadhani the whole problem inaelezwa kwa hii clip people hawajui maana democracy. "Serikali ya wananchi kwa ajili ya wananchi".
Sisi sio monarch. A president sio mfalme. Amechaguliwa kuwa mwananchi namba moja kuongoza uelekeo.
Kuna elimu apo ya civics ilimpita pastor
His majesty King charles na HE Joe Biden hawapewi same treatment in terms of service, loyalty hata heshima kutoka kwa watu.
TOMMYยฎ ๐๐ retweeted
Siku mtoto wangu akaja niambia kuwa
"Dad nataka kuwa POLICE"
ndio siku nitakayo acha kuwa mzazi wake, akatafute baba mwingine..
TOMMYยฎ ๐๐ retweeted
Uchaguzi ukikaribia ni kipindi cha wanasiasa kuchukiana; kumalizana kwa sumu, maneno, uchawi au pia kutumiana majambazi. Na ndani ya chama tawala huwindana, na ndani ya vyama vikuu vya upinzani watu huwindana pia. Usije ukandoa uhai wa mtu kwa sababu za kisiasa au kugombea nafasi
TOMMYยฎ ๐๐ retweeted
Ila humu kuna siri nyingi kumbe๐
Replying to @lifeofmshaba
Hapa unakosea. Kulifanya Suala la Jinai kuwa la siasa. Kuna wakati Wewe ulituhumiwa kwa sexual assault ofisini kwako. Tulikulinda kwa kutaka uchunguzi na Bodi yenu ilitoa Tamko. Hebu jiweke kwenye mizani ya kuhukumiwa kwa jambo lile? Justice inataka kuepuka mambo ya hisia. FUTA


































