abymzigua (@Abyasmzigua) header
abymzigua (@Abyasmzigua) profile picture

Mwandishi wa riwaya.

Tanzania
Joined November 2021
Photo by abymzigua (@Abyasmzigua)Photo by abymzigua (@Abyasmzigua)Photo by abymzigua (@Abyasmzigua)Photo by abymzigua (@Abyasmzigua)Photo by abymzigua (@Abyasmzigua)Photo by abymzigua (@Abyasmzigua)Photo by abymzigua (@Abyasmzigua)Photo by abymzigua (@Abyasmzigua)Photo by abymzigua (@Abyasmzigua)Photo by abymzigua (@Abyasmzigua)
Ahsanteni sana kwa support yenu. Ahsante kwa mnaoendelea kunifollow. Kesho asubuhi tutaiendeleza story yetu...
12
10
1
127
37,451
Unapenda simulizi za kijasusi? Soma hii kitu...👇🏽
3
19
84
7,971
Simulizi hii inaitwa UKUNGU WA KORDOSO. Ni simulizi yangu mpya kabisa ya kijasusi yenye kusisimua mno. Nimepanga iwe inaruka hapa X kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Kipande kimoja kimoja. Ili mnipe nguvu ya kuendelea, tafadhali, ukimaliza kusoma, REPOST uzi huu. Zikifika REPOSTS 200, nashusha mwendelezo haraka iwezekanavyo.
17
22
1,569
Siku nyingine ukicopy uzi, unampa heko kidogo aliyeundaa.
This quoted post is unavailable.
1
1
7
1,172
Zamani nilikuwa nadhani SHIDA ipo kwenye kukosa vile tunavyovitamani. Lakini kumbe mtihani mkubwa na wa kweli huwa unakuja baada ya kuvipata.
1
4
24
1,664
Hahaha... Hakika! Hakika!!!
This quoted post is unavailable.
1
6
1,319
Wale wapenzi wa simulizi za kijasusi, mzigo huu, upo tayari. MOGADISHU 96. Nakupatia KURASA 50+ uzisome BURE. Usipokipenda, achana nacho. Nicheki WhatsApp: 0688589070
9
14
1
54
9,850
Kurasa za kitabu hiki zipo katika rangi tatu tofauti. Lengo likiwa ni kumpa machaguzi msomaji. Achague rangi ambayo ni rafiki kwa macho yake.
1
4
903
Mpaka sasa, asilimia 90 ya waliojaribu kukisoma kitabu hiki, wamenogewa na kukinunua. Unasubiri nini? Nicheki WhatsApp: 0688589070
1
1
7
803
abymzigua retweeted
Niwe mtu wa kwanza kujipatia simulizi 🏌️‍♂️🔥
Wale wapenzi wa simulizi za kijasusi, mzigo huu, upo tayari. MOGADISHU 96. Nakupatia KURASA 50+ uzisome BURE. Usipokipenda, achana nacho. Nicheki WhatsApp: 0688589070
1
3
6
795
— Katika orodha ya watu ambao CIA ilijutia kuwaajiri, lipo jina la huyu mwamba... PHILIP FRANKLIN AGEE! — Jamaa alipoona haielewi michongo yao, akaamua kuyatapika mambo yote, dunia iyafahamu. — Kama hilo halitoshi, akaandika kitabu ili kije kusomwa vizazi na vizazi. Ishu nzima ilikuwaje? — Re-tweet hapo chini, kisha anza kutiririka!👇🏽
23
172
970
235,394
06 — 2008 Philip Agee alikutwa na umauti. Huku sehemu kubwa ya umri wake akiwa ameitumia kuizungumza serikali ya Marekani. — Yapo maandiko mengi na vitabu kadha wa kadha ambavyo vinaeleza upande mwingine wa mkasa huu. — zipo sababu zilizosema kuwa, ni tabia zake chafu za ulevi na kukosa umakini kazini, akawa hapendi namna alivyokuwa akirudishwa katika mstari hivyo akachukia na kuamua kuongea mambo mengi na mengine ya uongo. — Madai mengine, yakieleza kuwa, kumepatikana nyaraka tofauti zenye kuonesha ufanyikaji wa malipo kutoka serikali ya Cuba kwenda kwa Bwana Philip ili tu atumike kuweka taswira mbaya ya serikali ya Taifa lake. — Bwana huyu anahesabika kuwa Mhaini, kwa nchi yake. Huku ukiwepo upande mwingine wa dunia unaomwita shujaa mwenye ujasiri! Mimi siko upande wowote! Wewe je?
10
3
65
37,992
Leo natoa BURE miongoni mwa vitabu vyangu BORA ambavyo nimewahi kuviandika. Hii ni SOFTCOPY. Nitext Whatsapp. Kisha uache ujumbe wako hapo, ila tu, nakuomba uwe mvumilivu. Siku haitaisha, utakuwa umepokea kitabu chako. Hakuna sharti lolote. Ni BURE. WhatsApp: 0688589070
8
9
69
23,062