Pinned Tweet
Tanzania!
Tafadhali tuanze upya leo. Inawezekana!
Mungu atusimamie UTANZANIA wetu:
.Busara ituongoze
.Heshima na Uhuru ututawale
.Haki na Usawa viwe msingi
.Tujenge Demokrasia yetu, kwa ajili yetu na vizazi vijavyo
Mungu ibariki Tanzania
Chuma hiki hapa!
Dabi ya Kariakoo alikua na jezi yake spesho/maalum
Simba ndani
Yanga ndani
Wala hakuwa na muda 'ku-influence' usajili, uendeshaji timu hizi au matokeo ya ndani ya ligi. Ila kimataifa alikua mkali kweli kwa NT
Tanzania
Yani tulipofika utumishi uliotukuka na uzalendo kwa Taifa ni kuwa mbunifu wa visingizio na maneno maneno mengiii ya kipumbavu kuficha uzembe, rushwa, kutowajibika, wizi nk. masaa 24/7!
Yani wanaofanya hivyo ndio wanaodumu zaidi uongozini
Halafu wao wanaona ni ujanja!
Zanzibar!
Inatutoa aibu sana sasahivi Tanzania. Bila hivyo kusingekua na uwanja hata mmoja
Huku Tanzania Bara, mabilioni yameliwa na MAFISI ujenzi na 'matengenezo makubwa' ya Mkapa lakini:
1 Eti 'hitilafu'
2 Viwanja bado
3 Visingizio kibao
4 PR stunts mzigo
5 Kelele mingiii
Mawazo Mbadala
Kwa Sh Bilioni 5 jenga kiwanda cha kuchakata taka kuzalisha:
1 Umeme
2 Vifaa vya ujenzi
3 Vifaa vya plastiki/sandarusi, nk
Weka:
>Vituo vya kupokea/kusoti taka
>Maduka ya bidhaa
>Vituo vya mafunzo ya teknolojia hiyo
Linganisha faida na kuwapa 'kontenti krietaz'
Inafikirisha!
Kwa nini Tanzania umekua hivi?
Yani ujinga wa wasioweza kushindana FAIRLY uwanjani kwenye mpira tu unasababisha unaruhusu PASPOTI yako (moja kati ya zenye thamani na heshima kubwa duniani) inajisiwe hivi?
Individuals behind have showed how schiupid/dumb they are
What a dumb idea!!
This is when schiupidity of very senior national leaders and a long list of big institutions results in utter embarrassment for a country before the whole world!
All these useless brainless tactics for 5 fuckin years just to contain Simba!
Bankrupt brains!
Anna Tibaijuka pleading
Replying to @AnnaTibaijuka
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
POS
Imagine if Pape Ousmane Sakho was patient and still at Simba...
Ladies and gentlemen,
Brothers and sisters,
THIS IS SIMBAAAA!
#CAFCL
Photos courtesy: @RabbiHume
The Korowa people
Wajua?
Watu wa Korowai
Hawa wanapatikana Jimbo la Papua huko Indonesia karibu na Papua New Guinea. Ni indigenous minority wanaokadiriwa kuwa 3000 hivi. Hujenga nyumba juu kwenye miti mirefu kwa sababu mbalimbali ikiwemo usalama. Hukaa pamoja
#MgodiWaAdam
October 10 ilikua super
Kariakoo Derby inayofata ni lini? Nchi ipo kwenye stress sana.
Au tukutane CAFCL
Niionavyo Simba
Lazima pale uongozini kuna implants/agents ambao kazi yao ni kutuvuruga AT THE CORE!
Walifanya kazi kubwa miaka mitano tuliyoporwa ubingwa. Yani Mnyama alikua mwenyewe AGAINST THE WHOLE FUCKIN WORLD!
Kukatengenezwa kongani/clusters za timu kudili na Msimbazi






























