Wakubwa wa High Table wakiona mbaya na Gavoo Asylum ni Canada na familia uraia ni chap wanapata
Mkunja ngumi kama mimi unakimbilia kwa Wajaluo hapo Nakuru lazima unase. Raia wanaPush #Free week moja wanakusahau majonzi yanabaki kwa Familia
Adamoo retweeted
New Price🚨
iPhone 18 Pro
256Gb-
🔵⚫️3,600,000
🔴4,000,000
512Gb-4,550,000
iPhone 18 Pro Max
256Gb-
🔵4,050,000
⚫️4,050,000
🔴4,150,000
512Gb-
🔵4,600,000
⚫️4,600,000
🔴5,100,000
All colors available
E-sim only
Non-Active with 1yr warranty
☎️0652795468
Nina swali na watu wa Tech…
Hii app ya Twitter inafanya kazi nikitumia Wi-Fi ya nyumbani lakini nikitoka haifanyi kazi hata uwashe Mobile Network. Nimenunua Pocket Wi-Fi lakini wapi…unstall zima washa hola
Apps nyingine zote zinafanya Kazi tatizo ni nini?
😂😂😂😂
Replying to @Chibothehustler
Usajili tulikua tunafanya kwa kuwaibia Simba SC wachezaji wao waliokua wanawatangaza tunawaiba Airport nk
Sasa hivi Simba SC wanafanya siri na wametukomoa wanaYanga kwa kufanya usajili kimyakimya
Pale Yanga tumesajili Magalasa chini ya Eng Hersi halafu lawama anapewa Kocha kwa kufukuzwa
Ifike muda wanaYanga tuseme ukweli tunaharibu CV za Makocha wakati tatizo ni Eng Hersi
Adamoo retweeted
Replying to @Addy_Adams
Asante “Malezi yanachangia” Sana 80%.watot wa BaoBao nao excuse yao n Kata!? Mbona sis tumesoma kata..ivi unajua wazaz hua wana omba shule zifunguliwe watoto wamewachosha!? Suala la Malezi limekua la walimu pekee wakati nyakat zetu ilikua n jamii nzima.wazaz tubadirike
Marvellous Marvin Hagler the greatest and my favorite middleweight of all time,,, Mkali alikua hajui kurudi nyuma wala kushika hata upige ngumi vipi. Rest Well CHAMP 🕊️
Huu mwaka uishe tu kwakweli…
Miezi miwili nyuma nililipia kimakosa kiwanja cha jirani tsh 565k… uki Surrender Hati kuna gharama tena yaani almost 800k imepotea,,mind you hapo inabidi na kiwanja changu nikilipie upya
Si kawaida au nina wenge la AROSTO maana niko Sober muda
Ni umaskini tu,,, kama mzazi unatakiwa upambane sana mtoto wako asije kusoma hizi shule za kata
Nimeoana baadhi ya video, Wanafunzi waliomaliza form IV wengi wao tayari wameshaharibikiwa kabisa

















