Pinned Tweet
Enyi mlio amini! Bila shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi za shetani. Basi jiepusheni navyo ili mpate kufanikiwa. ( Quran 5:90 )
Ama mimi nimeamrishwa nimuambudu Mola Mlezi wa mji huu aliye ufanya ni mtakatifu, na ni vyake tu vitu vyote. Na nimeamrishwa niwe miongoni mwa Waislamu, wenye kunyenyekea. ....
Qari; Amir Husawi.
( Surat An-Naml 91-92 )
Adam's suleiman retweeted
لن تترك الصلاة بعد هذا الفيديو بإذن الله!.
الشيخ.د/عبدالرازق البدر-حفظه الله-:
Adam's suleiman retweeted
As we start a new week, let’s not forget the reality of this life. Nothing is permanent, this world is temporary, and our ultimate destination is the Hereafter. 🙏
Na mwenye kumfanya Sheitani kuwa mlinzi wake badala ya #Allah, basi huyo amepata khasara ya dhahiri. ( Quran 4:119 )
Tunajilinda kwa #Allah kutokana na kudhulumu na kudhulumiwa, ufakiri na ukafiri. Tunajilinda pia kutokana na madeni makubwa na madogo, na matendo ya watu wa ( Kaumu Lut'i ) ushoga!
8
247
Mola wangu ameharamisha mambo machafu ya dhahiri na siri, na dhambi au uasi bila Haki. ( Quran 7:33 )
Adam's suleiman retweeted
Pamesemwa; 98% ya furaha ya NDOA iko katika kupuuzia mambo. Na huo ndio ukamilifu wa NDOA.
#Huba
Pamesemwa; Usiwadharau watu, wala usiwakebehi, wala usiwafanyie istahzaa, kwani haujui itakuwa hali yako kesho. Basi kuwa makini leo! Usiwe katika watukanaji, kesho ukawa miongomi mwa waliopewa mtihani.
#Ulimi
#Wanadamu
Je! Hawamtazami ngamia alivyo umbwa?
Na mbingu ilivyo inuliwa?
Na ardhi ilivyo tandazwa?
Basi kumbusha! Hakika wewe ni mkumbushaji. ( Surat Al-Ghaashiyah 17-19 )
Na tulimpa #Luqman hekima, tukamwambia: Mshukuru #Allah. Na Mwenye kushukuru basi hakika anashukuru kwa ajili ya manufaa ya nafsi yake. Na Mwenye kukufuru, basi #Allah ni Mkwasi Msifiwa. ( Quran 31:12 )
Na hakika tukishukuru zitadumu neema.
#Alhamdulillah
Adam's suleiman retweeted
Amesema Mtume wa Allah: Mwanadamu anazeeka na matamanio mawili, huzeeka nayo; Kupenda Mali na maisha marefu. ( Sahihi Bukhar #6421 )
#Mwenyezi_Mungu, hapana Mungu ila Yeye tu. Na juu ya #Mwenyezi_Mungu wamtengemee Waumini. ( Quran 64:13 )
5
152
















