Turning Nice Guys into integrated Men| Afya imara ya Uzazi https://xitter.cf/t.co/IdbYGcTbgk

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2023
Happy New Month... Ni siku nyingine njema tena na Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa nafasi hii aliyotupatia Nichukue nafasi hii kutangaza kuwa bado nipo kwenye maandalizi ya E-book yako ya #KuwaNiceGuyniUgonjwa Hivyo tarehe rasmi ya e-book kutoka nitaitaja Nashukuru kwa uvumilivu wenu na sichukulii poa Natumia muda wangu mwingi ili niandae kitu bora na kitakacholeta Impact kubwa na ya muda mrefu @miracleboytz @The_mesha24 @AmosCyprian4
6
1
17
1,546
Kuna machizi ni wasenge sana eti unakuta Mwanaume mzima... - Bebi Nimesikia unanicheat - Bebi Mbona meseji zangu hujibu...? - Bebi naomba tuchat - Bebi mi nahofia kukupoteza - Nimepiga namba yako nimekuta inatumika 😒 #KuwaNiceGuyniUgonjwa
4
254
Health with Mhando 🩺 retweeted
Kama unajitafuta halafu una URAIBU wa Pombe na wanawake Uko vitani na wewe mwenyewe. Hauwezi kuwa toleo bora la wewe mwenyewe ukiwa mfungwa wa tamaa zako Kujitafuta kunahitaji kujinyima kwanza. Uhuru wa kweli huanza pale unapoweza kusema hapana kwa kile kinachokuharibu.
3
7
1
66
1,562
Kama Mwanaume kuanzia mwanzo ukiwa unamtokea mtoto mzuri.... Fanya makosa yote ila usipuuzie RED FLAGS 🚩 Inawezekana umeshapenda na umezama au nyabobo umepewa ni tamu haswa Umenyonywa uboo na pipi kali Sikia! Raha ya muda mchache itakupa majuto ya muda mrefu Tumia AKILI.
3
125
Kuwa Mwanaume dhaifu ni kujichimbia kaburi lako Mwenyewe... Kuwa Mwanaume ni kuvuja damu mbele ya Wanyama wakali... Kuwa Mwanaume dhaifu ni kama kusubiri TRENI Uwanja wa Ndege Mwanaume ukiwa Nice ni Guarantee ya kuumizwa, kusalitiwa na kubambikiziwa...
1
2
115
Mimba isiyo ya kwako uilee . Kuambiwa Nipende Mimi na Mwanangu . Kama Unanipenda fanya X, Y, Z Ni kosa kubwa zaidi ya kuvaa Gwanda la Jeshi Disko E-book yako ya #KuwaNiceGuyniUgonjwa naiandaa kwa wivu sana Stay Tuned! Raaaa!!!
1
84
Health with Mhando 🩺 retweeted
Mtu mwenye MAARIFA na Self-awareness huwa ni tishio kwa mfumo Mfumo hauwezi kumtawala mtu alie huru kufikiri na mwenye kujua anataka nini. Na ndo mana, mfumo unatumia gharama kubwa kukufanya uendelee kuwa mtumwa wa gereza lako Mpaka uje ushtuke, tayari jua la jioni.
1
12
1
53
835
Kuna vitu vingi vya Kuomba ila sio... - Attention ya Mwanamke - Sex kutoka kwa Mwanamke - Affection na Desire kwa Mwanamke Wanaume dhaifu wanaharibu sana pande Hii na Wanawake wengi wanatumia kamba fimbo ya kuwachapia Usiwe Mmoja wao UTALIA #KuwaNiceGuyniUgonjwa
2
105
Kama kweli Wanawake wanapenda Wanaume Nice... Ni kwanini Case zote za Wanaume kusalitiwa, kusingiziwa mtoto asiye wake, kufanywa rafiki na Mwanamke aliye na Hisia nae Zinatoka kwa Nice Guys WEWE HAUSHTUKI TU...? #KuwaNiceGuyniUgonjwa
3
77
Unataka Mwanamke awe mkatili kwako...? Usifanye Chochote zaidi ya kuwa Mwanaume dhaifu mbele yake Ndani ya muda mchache utaona ambacho Wana wa Israel hawakuona MISRI BADILIKA! #KuwaNiceGuyniUgonjwa
2
68
Health with Mhando 🩺 retweeted
Siku hizi Social Media Platforms zimekuwa kama Google, yani watu wanauliza maswali ili kutafuta kitu. Sasa content yako ikiweza kujibu hayo maswali ni rahisi zaidi kuonekana kwa wengine.
4
3
14
372
Jambo lolote unalofanya la wema lakini nyuma yake kuna AGENDA umeificha... Ni lazima baadae likuumize KWANINI...? AGENDA yako inakutana na Uhalisia kwamba ukitoa sio lazima upokee Nice Guys niongeze sauti au...? #KuwaNiceGuyniUgonjwa
2
104
Health with Mhando 🩺 retweeted
Kama umeoa bint ambaye siyo bikra usije ukasema umefanya naye agano la ndoa hapana,we umefanya naye viapo vya ndoa siyo agano Hakuna agano bila damu, -Damu ya ubikra ndo inakamilisha agano la ndoa 😁 @iMajeshi_ & @mlinganya injili inatembea mbali san wakuuu 😁🙌
4
3
7
287
Siku Moja akiwa mjini kwa sababu Campus ilikuwa kijijini ( NALA) Alipigiwa Simu mida ya saa mbili usiku... " Demu wako yupo Uwanjani analiwa" Chalii wangu wangu katoka huko mbio mbio Na kweli akafumania demu wake ameinamishwa kashikilia goli la BASKETBALL Alizimia!
1
2
95
Kipindi Niko Chuo cha Afya DECCA... Mwaka wa kwanza 2020-2021 kuna chalii mmoja wa kishua ( Mama yake alikuwa Mbunge wa viti Maalumu) Alikuwa anamuhonga sana demu mmoja anaitwa SALHA Akitegemea pesa yake itanunua Upendo wa Mwanamke Unajua kilichomtokea...? Stay Tuned!
3
88
Health with Mhando 🩺 retweeted
Replying to @Afya_code
Nice guys miyeyusho sana 😂🫵🏾
1
1
75
Health with Mhando 🩺 retweeted
Replying to @Afya_code
Eti tafuta ela kwanza alafu uje. mimi nikizipata na ukuwepo wakati nazitafuta utateseka.
2
3
100
Health with Mhando 🩺 retweeted
Kama wewe ni mfanyabiashara hii thread ni kwa ajili yako.. USIPUUZE⚠️ Kila MWEKEZAJI ni mfanyabiashara, lakini si kila MFANYABIASHARA ni mwekezaji. Soma tena taaratibu nisikuache… Mfanyabiashara.. -Akisimama, kipato kinasimama. Thread 🧵
4
6
22
1,453
Tafuta Hela kwanza Wanawake watakuja Tu... What a joke! Kama unatafuta Hela kwa ajili ya kuvutia Wanawake tambua tu wewe ni Mwanaume dhaifu na lolote baya litakukuta Kama Thamani yako ipo kwenye pesa Tu na sio Uanaume jipige kifua mara tatu " MIMI NI MBUZIII" Mwisho.
2
1
1
6
415
Kama Unahitaji kuwa na Hela au maisha mazuri ili upate Upendo kutoka kwa Wanawake. Wewe ni Mwanaume mpumbavu na dhaifu na hata baada ya kupata fedha utatumika na kuachwa Zoba mkubwa! #KuwaNiceGuyniUgonjwa
3
4
141
Health with Mhando 🩺 retweeted
TUNAOMBA MSAADA WANANGU KWA NDUGU ALIYEKATWA MGUU BAADA YA KUPIGWA RISASI #MO29 YAS: 0677933081 Jina AYOUB FREDRICK SIWALE AKAUNTI YA NMB: AKAUNTI NAMBA: 24310058356 JINA LA AKAUNTI: AYOUB SIWALE Ili kuwasiliane nae moja kwa moja, mawasiliano yake zaidi haya hapa Namba: 0687952601 REPOST 500 TUTAKUWEPO🫵😎
TUNAOMBA MSAADA WANANGU. REPOST 500 TUTAKUWEPO🫵😎
4
236
2
629
21,483