Replying to @ikulumawasliano
@ikulumawasliano Serikali za mtaa zimefeli kabisa hazitatui changamoto hata ambazo zipo chini ya uwezo wao
3
Replying to @NemcTanzania
@NemcTanzania Kiukweli Mnazingua likija swala la kupokea changamoto mbalimbali
2
Katika kitaaolojia ya @FidQ Kuna mengi nimejifunza sana kuhusu Dunia hii na viumbe vyake
Hakika Vipande 26 vya keki ni vitamu sana hadi imepelekea binti wangu kuanza kuvila kwa faida ya maisha yake ya kesho @masoudkipanya
1
42
Replying to @FidQ
Wachambuzi wa bongo leo aibu kwenu @AliKamwe @mzeewakaliua punguzeni roho za chuki dhidi ya @SimbaSCTanzania
1
1
Replying to @2themoon1000
@AyTanzania @FidQ Kuuliza sio ujinga, wakuu mbona sioni mzigo mpya huko mjini YouTube wa #TheJoint, imekuwa kama wiki mbili au tatu kila nikiangalia sikutani na mzigo mpya
1
Acha nijifariji na Tajiri yangu ya mfariji wangu wa ukweli @FidQ hakika kipindi machinga tupo nje ya reli, ngoma kama hii #TajiriYangu ni faraja tosha.
Replying to @chicharitojr9
@kmcfc3 inatengeneza nafasi nyingi pia ni za uwezo mzuri tu, anytime wanapata goli wakienda kwa mwendo huu, Awesu ni mtu na nusu
@cliffmitindo kijana anajua hadi anaumwa aisee Cliff anajua namna ya kunyanyasa mdundo
Kill yourself by @NikkiMbishi @King_Zillah ni moja kati ya ngoma inayo paswa kupata 5 stars kabisa producer wa ngoma hii daah! Kaupiga mwingi sana, @cliffmitindo ufundi kama wote level za @10Ronaldinho


