Kasarani Mp and Sports Pesa boss Ronald Karauri joins UDA party to vie for Nairobi governorship days after the current city boss Johnson Sakaja moved to ODM party.
Mchezo ulikuwa mgumu lakini nashukuru tulishinda licha ya difenda wetu kupewa kadi nyekundu, kocha wa Marine Queens fc Humphrey Ingonga asema baada ya vipusa wake kuwatandika Diani Queens fc mabao 2-1 ugani Ukunda Show ground 8/11/26 kwenye mpambano wa FKF WNSL.#FootballKe
Mhubiri mwenye utata Paul Mackenzie ahukumiwa kifungo cha miaka 200 gerezani kwa kusababisha vifo vya watu 191 katika msitu wa Shakahola kaunti ya Kilifi
Washirika wa mhubiri huyo pia wamepewa kifungo cha zaidi ya miaka 100 kila mmoja kwa kuhusika katika mauaji hayo ya halaiki.
"Kikosi cha Ukunda Vision Starlets fc kipo tayari kwa ligi ya FKF-WDIV 1 2026/2027 inayo tarajiwa kung'oa nanga rasmi tarehe 21/11/26", kocha wa klabu hiyo Fred Wafula asema.
#FootballKe #FKFWDIV1
Iam in Broad based formation to stay and i will support president William Ruto's re-election and Elsie Muhanda for Kakamega county gubernatorial bid in 2027, Lugari Mp Nabii Nabwera says as he denies plans for joining the LMM outfit.
Watoto wanne wa askofu Spencer Mdave walio angamia kwenye ajali ya barabara eneo la Kanga Mtito-Andei kwenye barabara kuu ya Nairobi-Mombasa wakitoka mazishini eneo la Lugari kaunti ya Kakamega kwa mazishi takribani wiki 2 zilizo pita kuzikwa leo
Kinango kaunti ya Kwale.
Babu Owino's party @TMP_Party receives the certificate of election and nomination rules from @ORPPKenya
Former West Pokot senator Samuel Poghisho officially joins ODM party received by DPL Simba Arati at Chungwa house.
Former Attorney General Paul Kihara Kariuki dies aged 72 years, Chief justice Martha Koome announces.
I was astonished hapa Ukunda Kwale.LMM paraded their aspirants and Babu and his TMP didn't even have one.ama chama ni cha Nairobi?
Kuna mwingine huko FB amenitusi mkundu
Diani Queens fc wanatarajia kuvaana na @gormahiaqueens leo ugani Ukunda Show ground kwenye mpambano wa FKF-WNSL baadaye leo.#FootballKe @FKFWomenNSL
Is Millie Odhiambo planning to ditch the Orange party? where to LMM, LDP of James Orengo or MDG of David Ochieng?
Watu 5 wameripotiwa kupoteza maisha yao kwenye ajali ya barabara eneo kondoo kwenye barabara kuu ya Eldoret-Nakuru baada ya matatu ya North Rift kugongana na trela mchanga leo asubuhi.@Ma3RoutePhotos @ntsa_kenya @RSAIKenya
Habari za Tanzia.
Mwanahabari nguli wa michezo kutoka ukanda wa Pwani Hamisi Ngowa ameaga dunia akipokea matibabu Msambweni
Ngowa aliwajibikia majarida ya Nation, Mwanaspoti na Mpasho Kispoti kabla ya mauko yake.
Ngowa, alikumbana na mauti yake baada ya kuugua kwa muda mrefu.
#JuniorStarlets eliminated from the FIFA U-17 Women World cup tournament in Rabat Morocco after 3-1 defeat to Japan.this how they performed in their group stages
Kenya 0-3 China PR
U.S.A 6-1 Kenya
Samoa 0-4 Kenya
Japan 3-1 Kenya
#FootballKe
Mwaniaji wa kiti cha ubunge katika eneo la Nyali kaunti ya Mombasa Nelson Alfayo aahidi kuunga mkono mswaada wa serikali wa kujenga majumba marefu shuleni yaani (Sky Scrapers bill) iwapo atachaguliwa mwaka ujao wa 2027 ili kuhakikisha eneo bunge hilo linapata chuo kikuu




















