
BBIS #KonaYaMwalimu
Dodoma, Tanzania
Joined November 2019
- Tweets24.4K
- Following424
- Followers5.5K
- Likes16.3K
Hivi kwa Tz graduate mwenye diploma ya clinical medicine anaweza kusoma MD kea equivalent qualifications? Je! Ni idea nzuri kwa form 4 graduate aliyefulu vzr kwnda ordinary diploma ya CM? Ama ni bora high school?? – at Dar es Salaam, Tanzania
2
214
TRC rekebisheni masaa ya ticket kwenye jumbe zenu. Msiandike kiswahili kiingereza mnatuchanganya abiria. Kiingereza ukisoma 24hrs it makes a lot of sense ila kiswahili kusoma 24hrs ni totally confusion – at Tanzania
1
190
Wazazi hebu tunadili hili, kumekuwa na ongezeko kubwa sana la vijana wa F4 kutaka kwenda vyuo vya kati hasa diploma kuliko High school. Sasa tuelezane je! Hali ikoje kwenye hivi vyuo vya kati? Wanasoma kweli ama wakifika wanacheza? – at Tanzania
Lord, I have witnessed your glory in my life and seen your great power. I come before you now, not as a teacher or an owner, but as your daughter, Aneth. I pray that as you continue to bless me, you also grant me a more humble and faithful heart.
. – at Tanzania
90
Dear mothers, we love and appreciate the love and care we get from you. Your love never fades. You will forever remain out number one besties & teachers.
#MothersDay2026
#CelebrateOurFirstTeachers – at Tanzania
79
Vile nakumbusha watu kuwa kesho ni siku ya APRIL WORSHIP & WARFARE SERVICE Koinonia.
Karibuni nyote tuabudu na kuomba hadi shetani ashangae.
@koinoniaeni – at Tanzania
1
98
Mungu ni mwema mnooo. #AlphaHighSchoolGraduation2026 – at Tanzania
Hili so jambo la kujadili. Sabb huwez jua huyu mama alifikwa na nini na watoto wake. It's sad to learn that life can be difficult to the point of trading off your body.
Mom mpokee Yesu, yes, haitakuwa rahisi, but hatakudhalilisha – at Tanzania
Huyu mama ana miaka 35+ na ana watoto watatu niangalia video zake jinsi alivyo zalilishwa na yule Russian guy
Kiukweli imeniuma sana kuona wakina Mama watu wazima wanakuwa na tamaa an pesa na kusahau kabisa utu wao.
Nasikia pia jamaa ni HIV+ anafanya kueneza kama revenge.🚮
1
239
Binti kuwa na tabia zote ila hizi zikwepe uchoyo, ulafi, na unafiki. Yaani hizi tabia pambana zisikupate kama wewe ni binti. – at Tanzania
1
9
503
Fanya yote unayofanya ila usichezee ama kuchokoza madhabahu za watu. Mahali watu wanapoamini na kupatolea sadaka pale pana miungu yao. Bila kibali cha Mungu, bila ruhusa na uhakika wa backup ya Mungu. Usiichezee. Utajiona mshindi ila utajuta sanaa. – at Tanzania
Aneth retweeted
Kuna mwalimu wa UDSM hapa X tulibishana kinoma!
Alikua anasema huwezi fanya PhD bila kupita Master’s degree😂😂😂..
Tutakuwepo 👈🏾👈🏾👈🏾👈🏾👈🏾👈🏾 kuwapa exposure wajukuu wa Nyerere.
Special acknowledgement to @enamalisa gal when are you opening a spot here in Dodoma? Wallah missed your chicken teriyaki and chapo maini like damn! – at Tanzania
2
137
Je! Alikuwa mmoja wenu?? Kama mtu hashiriki jumuiya halafu unataka siku akifa azikwe na jumuiya. Je! Huoni hapo mnalea wakristo jeuri na wasio na adabu??
Hivi kwenda jumuiya kuna gharimu muda gani? Kama hakuona anauhitaji umoja wenu kwann mjipendekeze kwake siku akifa? – at Tanzania
Khaaa!! Kwahiyo serikali ilimuangalia ikiwa anapeleka ndg zake UN, UN nao wakakubali kuajiri ukoo wa Tibaijuka. Maono awe nayo yeye atafute rafiki Zoke ulaya wayabebe leo walalahoi myabadilishe kuwa yalikuwa ya serilali, mseme aliiba. Acheni ujinga hata kama mnatetea – at Tanzania
Anna Kajumulo Tibaijuka. Mtu aliyejaza ndugu zake UN Habitat enzi zile hadi leo Watanzania tunapigwa fitna ajira kubwa UN. Mmoja ya wakwapuzi wa viwanja na mabangaloo ya Serikali ya mabilioni Masaki na Oysterbay enzi za Mkapa. Mtu aliyegeuza misaada ya shule kwa watoto wa kike toka Ulaya kufungua shule yake binafsi na kutoza ada mamilioni, leo anataka kutufundisha nidhamu na uzalendo. Kuna muda sijui hawa wazee wanavuta nini. Anyways!
1
2
139














