Stesheni ya mpwani, na wapwani...Usingoje kusifiwa, tegea nuru ya roho kwa habari, burudani na miziki ya kiasili. Msa 90.4 Mld 106.0

Joined July 2012
Thank you to all our viewers, listeners, clients and partners for trusting us and choosing us every day. Happy Customer Service Week! 💚 #CustomerServiceWeek2026
2
101
Ametolea mfano ajali ya eneo la Salama iliyosababisha vifo vya watu 17, akisema hata baada ya tukio hilo, taasisi mbalimbali zilianza kulaumiana kuhusu wajibu wao badala ya kuweka mikakati ya kuzuia ajali nyingine.
48
Shirika la Intersex Rights Initiative Coast – Kenya (IRIC), limetoa wito kwa jamii ya Pwani kuongeza uelewa kuhusu watoto wanaozaliwa na maumbile tofauti maarufu kama huntha, ili kukabiliana na unyanyapaa, ubaguzi na kufichwa kwa watoto hao ndani ya familia.
23
Wakaazi hao ambao wamekua wakitegemea kilimo kama kitega uchumi, wameitaka serikali, kampuni na mashirika mbali mbali kujitokeza na kupeana msaada wa chakula katika kipindi hiki kigumu.
34
Siasa za Upinzani
20
Jee usawa ni sawa? Usikose kufuatialia Kudzacha alfajiri maajaliwa
22
Mradi huo unalenga kuhifadhi urithi wa Waswahili na kuimarisha juhudi za uhifadhi wa historia na utamaduni wa Kenya. #wimbilabahari
31
Familia zimeanza kusafirisha miili kwenda Mombasa kwa maandalizi ya mazishi. #wimbilabahari
28
Mwanaharakati Francis Awino, aliwasilisha kesi mahakamni akidai muda wa Nahodha Ruto wa miaka mitatu, ulioanza Machi 10, 2023, ulimalizika Machi 9, 2026. #wimbilabahari
21
Mkurugenzi mkuu wa Afya, Dkt. Patrick Amoth, amesema wengine 98 walio chini ya uangalizi wanatarajiwa kuruhusiwa kwa awamu nne kuanzia Novemba 3. #wimbilabahari
27
Zaidi ya wanafunzi milioni 2 wanafanya mitihani hiyo kote nchini. #wimbilabahari
30
Katibu Mkuu wa UASU, Dkt. Constantine Wasonga, amesema ofa mpya ya serikali ya ni nyongeza ya asilimia tatu, kiwango kisicholingani na gharama ya maisha. #wimbilabahari
74
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amemuomba Rais William Ruto kusaidia kuhakikisha anapatikana akiwa hai na salama. #wimbilabahari
37
Wakiongozwa na mwenyekiti wa kamati mpya ya ardhi ya wakazi wa Ndau, Sheikh Mohamed Bwana, wanataka kufahamu zilipo hati miliki zilizosalia. #wimbilabahari
28
Kulingana na mkurugenzi wa timu hiyo Collins Omul timu hiyo ilikuwa imejiandaa vya kutosha ila taarifa za ratiba hiyo zilikuja ghafla. #wimbilabahari
17
Kituo hicho kitakuwa kikubwa zaidi Afrika Mashariki na kinatarajiwa kuunda zaidi ya ajira 90,000 za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja. #wimbilabahari
28
Ametoa wito huo akiwa Mvindeni, Kwale, huku akiukosoa upinzani kwa kukosa ajenda za maendeleo.
25
Video: Wakazi wanasema hali hiyo imeathiri mawasiliano na shughuli zao za kila siku, huku wakitaka hatua za haraka kuchukuliwa kurejesha huduma ya umeme. #wimbilabahari
65
Wananchi wamehimizwa kuendelea kuwa mbali na eneo la operesheni. #wimbilabahari
22