BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BaricKGL) header
BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BaricKGL) profile picture
Joined April 2012
Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BaricKGL)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BaricKGL)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BaricKGL)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BaricKGL)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BaricKGL)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BaricKGL)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BaricKGL)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BaricKGL)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BaricKGL)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BaricKGL)
Ulishawahi kufikiria kipindi hiki cha jua kali unafuu ambao ungekwua nao kama nyumbani kwako pangekuwa na miti ya kutosha? Na hali ingekuwaje? Ushauri: Kama una nafasi ya kupanda mti/ miti nyumbani au shambani kwako, hakikisha unafanya hivyo. "Mchumia juani, hula Kivulini๐ŸŒด๐ŸŒณ
3
73
BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ retweeted
Wanawake chukueni hii. Mwanaume akikupenda na akakubali kukuoa toka moyoni mwake utamjua tu siku ya kwanza akiwa anaingia ukumbini.
1
4
53
7,815
Hii sasa reli
Wachina wanaitaka ROOM OF JEANS, Wapakistani nao wanatajwa kuwa na interest,halafu Dominic Mmasi anataka $10M ndio aweze kuuza,So amekataa $ 2.5M. Hivi hapa tunazungumzia biashara ya nguo au brand imekuwa na thamani kubwa kuliko tunavyofikiria? ๐Ÿ˜‚
2
1
1
493
Kuna hawa watengeneza viatu wa Tanzania wanaitwa WOP,usijichanganye ukanunua kiatu kwao ๐Ÿฅฒ ๐Ÿšฎ Kiatu nimekivaa siku moja kwenda kanisani na kurudi,soli imeachia na kuanza kukatika, nimerudisha kwao wamekiweka gundi fashion yote ya kiatu imeisha,kimekuwa kama cha wasoteaji wa QNET
10
2
1
58
4,770
Tusubirie something with no sense kiachiliwe randomly kwenye social media cha kuvuruga attention..
1
15
376
Mimi kuwaona askari barabarani tena na Mitutu, huwa inanihuzunisha, inashtua na kusumbua sana akili yangu. Naomba Mungu sana turudi back to normal
Kuzima mtandao sio kosa jmn? How many important things do we miss to do? What of the economy?? Au hizo sio priority zetu? But again mainly najiulizaga tumefikaje huku? ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ญaaagh. Nonsense
2
146
Ule Mchakato wa Kuliponya Taifa suggestion zake zilikuwa ndio hizi ?
5
12
1
151
4,555
Ubaridi uliopo moyoni ๐Ÿ’”๐Ÿ’”
1
1
23
512
Leo wimbo ni mmoja tuu kichwani kwangu, Liko lango moja Wazi
6
33
694
Moyo usiende mbio tafadhali
13
338
Friday again, and God is still good ๐Ÿ™
1
6
148
This is the day that the Lord has made, we will Rejoice and be Glad in it.
3
123
BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ retweeted
Can we normalizeeeeee asking God to protecttttttt us from becominggg arrogant when things go well?????
112
4,973
113
37,624
425,443
BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ retweeted
Can we normalize thanking God for when life feels normal again? Youโ€™re sleeping well, laughing again, making plans. Thatโ€™s what healing looks like.
26
1,415
42
11,400
149,799
Kitambi kukipata ni rahisi, ila kukitoa sasa. Shughuli yake sio ndogo. Usizubue ukapata Kitambi
1
11
661
BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ retweeted
Mwezi huu #BajabirLogistics imetimiza miaka 6 kwenye game ya usafirishaji. Tulianza kusafirisha parcels kama Bahasha, na sasa tumefika hatua ya kusafirisha mzigo wa tani 32. Asanteni wateja wetu kwa kutuamini....kiu yetu ni kuwa wawekezaji kwenye Klabu ya SIMBA #BajabirAt6
63
97
9
506
32,302
BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ retweeted
๐˜›๐˜ฉ๐˜ฆ ๐˜๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข๐˜ญ ๐˜š๐˜ต๐˜ข๐˜จ๐˜ฆ ๐˜ฐ๐˜ง ๐˜‰๐˜ฆ๐˜ช๐˜ฏ๐˜จ ๐˜ข ๐˜”๐˜ข๐˜ฏ ๐˜ช๐˜ด ๐˜œ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ฆ๐˜ณ๐˜ด๐˜ต๐˜ข๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ช๐˜ฏ๐˜จ ๐˜บ๐˜ฐ๐˜ถ๐˜ณ ๐˜๐˜ข๐˜ต๐˜ฉ๐˜ฆ๐˜ณ
210
3,971
152
23,740
606,538
Mfano mwingine Mshahara 1.2M โ€‹โ€ข Kodi (250K/ month ร—12=3M ):Hapo umefanyia kazi miezi 2.5 kwa kodi tuu โ€ข Chakula (8.5K/day ร— 30=255K per month ร—12 =3.06M): Unafanya kazi chakula miezi 2.55. โ€ข Boda (4K, J3-Jmosi,4Kร—26ร—12=1.25M:Unafanya kazi nauli mwezi 1 Jumla= 6month ๐Ÿ‘‡
Mshahara wako wa Mwezi mmoja unapaswa uweze kulipa kodi yako ya mwaka Mzima. Mfano unalipwa 1.2M unapaswa ukae nyumba ya Kodi 100K.( Isizidi) Zaidi ya hapo inakuwa ,sio Afya kwa Mfuko wako.
6
2
17
1,340
Yani Nusu mwaka wote umeenda kwenye Kodi, Nauli na Chakula Sijaweka pombe, Nguo ,kuhonga, Ibada kanisani ( fungu la kumi na sadaka zingine) N.K
103