Bernard Membe (@BernardMembe) profile picture

Former Minister for Foreign Affairs and International Cooperation of the United Republic of Tanzania

Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2012
Photo by Bernard Membe (@BernardMembe)Photo by Bernard Membe (@BernardMembe)Photo by Bernard Membe (@BernardMembe)Photo by Bernard Membe (@BernardMembe)Photo by Bernard Membe (@BernardMembe)Photo by Bernard Membe (@BernardMembe)Photo by Bernard Membe (@BernardMembe)Photo by Bernard Membe (@BernardMembe)
Amani kwanza, kupanga ni kuchagua Happy birthday @UN @BernardMembe @MariaSTsehai #SDGs @UNFPATanzania – at Dar es Salaam, Tanzania
10
20
252
Mgulani Sec Sch Students performing special SDGs song for UN@70celebrations @BernardMembe @pbcloudsfm #GlobalGoals – at Dar es Salaam, Tanzania
2
15
1
147
Replying to @BernardMembe
@BernardMembe Foreign Affairs Minister addressing the UN staff, students, Diplomats, Tanzanians #UN@70 celebrations @MwananchiNews – at Dar es Salaam, Tanzania
2
8
67
Bernard Membe retweeted
1/4 @BernardMembe “I have been an MP for 15 years,8 of those years as a foreign minister....
12
19
1
372
Ni vema kuendeleza mema yote ya mwezi wa Ramadhan hata baada ya mfungo kumalizika. EID Mubarak waislamu na Watanzania wote kwa ujumla .
24
42
394
Ushindi wa Dkt. Magufuli ni kielelezo cha kuendelea kuimarika kwa mifumo ya kidemokrasia ndani ya CCM. #UmojaNiUshindi
80
167
9
455
Nampongeza ndugu John Magufuri kwa kuaminiwa na wana CCM kupeperusha bendera ya Chama kwenye uchaguzi mkuu (1/2)
22
90
6
370
Nawashukuru wote waliotuunga mkono, nakishukuru chama changu kwa kuniamini na nitamuunga mkono yeyote atakayepitishwa.
84
184
342
Chama chetu kimejengwa katika misingi ya udugu na haki. Umoja ni ushindi. Kidumu Chama cha Mapinduzi!
61
136
5
394
siasa hizi ni za hovyo kwani hazitajenga Taifa letu. Naomba msihadaike na watu wanaotaka kututia doa baada ya kukosa uchafu dhidi yetu (2/2)
66
157
272
"Kuna taarifa za uongo zinazoenezwa kwamba kuna "Mtu wa Membe" amekamatwa na pesa Dodoma (1/2)
72
133
1
205
Tunapomtafuta mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM tufikiri aina ya Tanzania tunayotaka kuijenga kwa manufaa ya vizazi vya leo na vijavyo
34
52
5
164
Nchi yetu tutaijenga kwa mikono yetu wenyewe, tushirikiane kuijenga Tanzania yetu.
18
20
161
Bernard Membe retweeted
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akifurahia jambo na Waziri wa Mambo ya Nje @BernardMembe na Mkuu wa mkoa wa Dar Meck Sadik
1
11
121
Siasa sio uadui, tumeweza kupingana bila kupigana tuendeleze utamaduni huu adhimu.
27
88
4
304
katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM, baada ya kupata wadhamini ambapo niliambatana na Mke wangu Dorcas Membe.(2/2)
8
6
108
Mapema leo nimekabidhi fomu za kuomba kugombea Urais kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rajabu Luhavi (1/2)
9
9
1
98
Maelezo Kuhusu Fedha za Deni la Libya Read: tl.gd/n_1smskb2
10
12
3
53
wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi.(2/2)
3
6
51
Jana nilialikwa na waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma, ambapo waliniita kunishukuru kutokana na jitihada zangu kwenye ujenzi (1/2)
1
2
42