The Indonesian Government Scholarship is open for developing countries and is totally free.
โก๏ธ Go to your browser and search for KNB Scholarship 2026, hurry before it's too late.
Ten days remain for the Turkiye Government Scholarship to be closed. ๐๐๐
turkiyeburslari.gov.tr
Kuna muda unahisi kukata tamaa katika maisha kulingana na changamoto ama majaribu yasiokwisha, tambua ya kuwa ni mapito kama ilivyo kwa watu wengine.
Usiache kumtumainia Mungu โ๏ธโ๏ธโ๏ธ
Kwenye maisha kuna muda tunajaribu vitu tofauti tofauti katika safari ya kukamilisha ndoto zetu, lakini mwisho wa siku tunakuwa disappointed na matokeo.......Mafanikio yanahitaji kibali kutoka kwa Muumba pia.
Allah akutie nguvu Master @cr_xniper akupe subra na akupe utulivu wa nafsi na akili.
Fursa Fursa Fursa
๐ KNB Scholarship 2026 Application is now open!
Submit your application at knb.kemdiktisaintek.go.id
Applicants requesting a Recommendation Letter from the Indonesian Embassy.
instagram.com/p/DUViYTIAVpj/โฆ
Tujikwamue kwenye lugha ya Kiingereza darasa la saba B wenzangu ๐
โก๏ธ Jifunze lugha ya Kiingereza buree kupitia World English Institute Organization
โก๏ธ Unahitaji simu/ laptop, na internet tuu kujifunza.
Sema uwekezaji kwenye financial market kama Crypto bila kufanya analysis vizuri na kuforecast , kipindi kama hiki unaweza zima maana decisions za mataikuni huko zinaweza kukulaza na viatu.
Kujifunza ujuzi hasa Digital Skills kunahitaji uvumilivu sana, kuna brothers kama:
@NyandaAmosi
@GillsaInt
@Richstartz
@salymdev
@anon_codex
@gabyconscious
Kuna stages ngumu walipitia ila hazipo mtandaoni leo tunaona matunda ya jitihada zao....Sio poa.
Ekaru Nyika retweeted
Mfumo Bora Wa Kusimamia Mauzo Yako Kidigitali.
โ
Fuatilia Mauzo kwa Wakati
โ
Tumia Popote (Cloud based)
โ
Risiti za Haraka (Pdf na SMS)
โ
Angalia Stoo/Stock zako
โ
Ripoti Kamili za Mauzo, Matumizi, Faida na Hasara
Download App ya @DukaSmart au dukasmart.co.tz
Mfano mzuri kuhusu maisha ya binadamu ni sawa na mazao: 1.Kutokuwepo
2. Kuwepo (kustawishwa na mvua)
3. Kuvunwa na kutoweka
Moja ya kikwazo kikubwa katika kutafuta ujuzi wa mtandaoni ni kutaka kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja.
Ekaru Nyika retweeted
Waalike Ndugu, Jamaa na Marafiki Kidigitali na ๐๐ฎ๐๐ฅ๐ข๐ค๐จ ๐๐ฉ๐ฉ
App hii inakusaidia kuandaa matukio,kukusanya michango, kutuma ukumbusho wa michango, na kutuma kadi za Mialiko Kidigitali kwa bulk SMS
Jisajili Hapa:
mualiko.dawadirect.co.tz
Kwa Msaada zaidi:
โ๏ธ0713268534





