BlessingChess (@BlessingChess) header
BlessingChess (@BlessingChess) profile picture

Data Privacy Officer (DPO) | Passionate about digital transformation, innovation, and creating impactful projects |+44 20 8638 6823 | [email protected] |London ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง

London, England
Joined September 2013
Photo by BlessingChess (@BlessingChess)
Finally I realised, I'm Not a permanent Person In Anyone's Chapter, But I can Assure To Be A Best Temporary Person You Ever Meet.
9
16
1,910
๐Ÿ‘‰Walinzi wa karibu zaidi wa Vladimir Putin hapo makini mnoโœ๏ธ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ
7
10
97
8,344
BlessingChess retweeted
๐Ÿšจ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„ Siku chache baada ya Eric Omondi, kupitia shirika lake la Sisi Kwa Sisi, kusaidia kukusanya takriban KSh milioni 10 kwa matibabu na mustakabali bora wa kijana Bryson Makokha, mwanamke amejitokeza kumuuliza juu ya kazi yake ya uhisani. Kulingana na taarifa zilizosambaa mitandaoni, mwanamke huyo alimkosoa Omondi kwa kuhusisha watoto katika shughuli zake za msaada na kuwaweka picha na video zao kwenye mitandao ya kijamii. Ripoti za awali kutoka Pulse Kenya na Tuko.co.ke zinaonyesha kuwa mchango huo ulifika KSh milioni 10.2 na ulikusudiwa kugharamia matibabu ya Bryson (mwenye umri wa miaka 17 kutoka Bungoma, anayesumbuliwa na ugonjwa adimu wa ngozi), upasuaji wa mama yake, ujenzi wa nyumba, na mfuko wa elimu. #MeaMswahiliUPDATES
70
6
2
161
35,162
BlessingChess retweeted
Kujizaa kupo wakuu huyu hapa ni mtoto wa dully sykes mpaka sauti mshua kabisa๐Ÿ™Œ๐Ÿพ Watu wanarithi vitu vingi sana
13
34
343
20,599
Replying to @EsirEid
Tapeli akijua kucheza na Akili za Watuโœ๏ธ๐Ÿ˜
1
1
2
190
BlessingChess retweeted
Replying to @EsirEid
Ni vile tu anakula sahani moja na walinzi wa sheria bila hivyo kanisa lisinge exist
1
1
1
90
#TajiriLaKihaya Mule mule๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
Replying to @EsirEid
Mtangazaji:Mtume kuna muujiza Mwamposa:Nini kimetokea Mtangazaji:Dada hapa tangu amezaliwa alikua awezi kutembea miguu imejikunja mara baada ya kukanyaga mazabau yako mtume dada anatembea Mwamposa:Mwambia aje mbele,chapia yesu makofi nani mtenda miujuza Waumini : Yesuuu mtume๐Ÿ˜€
41
14
1
79
9,398
Replying to @EsirEid
Mtangazaji:Mtume kuna muujiza Mwamposa:Nini kimetokea Mtangazaji:Dada hapa tangu amezaliwa alikua awezi kutembea miguu imejikunja mara baada ya kukanyaga mazabau yako mtume dada anatembea Mwamposa:Mwambia aje mbele,chapia yesu makofi nani mtenda miujuza Waumini : Yesuuu mtume๐Ÿ˜€
3
4
2
17
10,883
Be useless, so nobody can use you.
49
BlessingChess retweeted
๐Ÿšจ During the Miss Grand International 2026 voting, Shyra Andradeโ€™s post crossed 215 million comments, while Jihan Dimackโ€™s post crossed 182 million comments. Hey @Grok, are these numbers real or edited? Also, tell me which Insta post has the most comments on a single post? ๐Ÿค”
1
2
6
1,193
BlessingChess retweeted
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Jihan Dimack, Miss Grand International 2026, ni Mtanzania halisi, akiwataka wanaohoji uraia wake kufahamu hilo.
10
3
1
107
10,820
Mbunge wa Katavi, Thomas Kampala Maganga, amezua mjadala baada ya kudai bungeni jijini Dodoma kuwa nusu ya watu waliohudhuria mapokezi ya mlimbwende Jihan Dimack walikuwa wanaume wanaojihusisha na vitendo vya ushoga. Kampala pia amewatuhumu baadhi ya wasanii, MCs na ma-DJ kwa kushirikiana na watu hao, akitaka jamii kushiriki katika kulinda maadili. Jihan Dimack alirejea nchini Oktoba 17, 2026, baada ya kushinda taji la Miss Grand International 2026 nchini Thailand.
13
6
148
17,137
BlessingChess retweeted
Moja ya vitu ambavyo MANGE KIMAMBI anakosea ni kutaka wote tupende vitu anavyopenda yeye, leo anatulaumu watu kumfanya JIHAN ashinde MISS GRAND, sasa anataka wanaume tuache kushabikia Simba na Yanga tuingie kwenye siasa, Guys wote hatuwezi kupenda SIASA mtu anataka AFCON isifanyike Bongo akimaliza hapo iko siku atakuja kusema YANGA na SIMBA zijiondoe CAFCL. Siku wakiacha CHUKI na mpira labda Watanzania wataanza kuwasikiliza kwa mbali.
22
5
30
6,301
The city of Lagos is set for a new international cultural showcase as it prepares to welcome the first African winner of Miss Grand International and the first human being on earth to garner over 100 million comments, Tanzaniaโ€™s Queen Jihan Dimack, and President of Miss Grand International and one of Asiaโ€™s biggest entertainment and business leaders and influencers, Sir Nawat Itsaragrisil. guardian.ng/news/lagos-welcoโ€ฆ
1
2
3,823
BlessingChess retweeted
Nimekua kwenye medical field kwa miaka kadhaa ni mara chache sana nina dondosha chozi ila leo nimelia tena sio kwa sababu nipo na mgonjwa apana nimelia nikiwa na simu nikiiangalia video hii. Poleni Familia na watanzania wenye upendo hongereni Samia na CCM hongereni sana.
26
134
4
764
45,033
BlessingChess retweeted
Uku naskia ni Quiver Rongai dancee audition ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kazi ni kazi buana
1
8
32
2,997
BlessingChess retweeted
#KURASA Bilioni 120! Gharama ya meli mpya ya MV New Mwanza, lakini kabla haijaanza safari za kibiashara, tayari imegonga mwamba wa Bismarck katika Ziwa Victoria. #EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
2
2
1
20
3,812
BlessingChess retweeted
Mungu amemrehemu hakufa ile Oktoba 29,2025, Mmepata adavatage sasa akiwa hospitalini MUMMALIZE akiwa Kitandani. Kwa kheri Angel ๐Ÿ‘‹๐Ÿ˜ญ MUNGU USINYAMAZE.๐Ÿ™
2
42
148
2,146
Fursa imeongezeka! Lazima maandamano ya AFCON iwe kubwa kama makao makuu yatakuwa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ“ท#NoJusticeNoAFCON
11
57
3
371
22,463
BlessingChess retweeted
Daaah!โ€ฆ Pengine usingepelekwa Muhimbili usingekufa, Nduli Idd Amin Mama amekatisha maisha yako, nakuombea Mungu akupe pumziko la milele.๐Ÿ™๐Ÿฅน
23
167
2
944
33,602