
๐๐ข๐'๐_๐ฝ๐น๐ฎ๐ป | ๐๐๐๐ ๐๐ช๐ฎ | | ๐๐ซ๐๐ฉ๐ก๐ข๐ ๐๐๐ฌ๐ข๐ ๐ง๐๐ซ | #GraphicsZaMabasi | https://nitter.gq/t.co/itNsAMkbn9
Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2021
- Tweets19.1K
- Following1.2K
- Followers1.4K
- Likes16K
Pinned Tweet
Hii idea ilinijia kichwani kutokana na logo halisi ya Katarama Luxury (Swala) Nikajaribu kuhusianisha logo, mazingira (mbuga) na bus lenyewe. Kwa hiyo bus nkalipeleka mbugani Mikumi pale kuna utajiri wa Swala. Na haya ndo matokeo ya ubunifu huu
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns โ at Mwanza, Tanzania
Sasa ni Rasmi ๐ฅ๐ฅ
#GodFirstLuxury
Mwanza || Mbeya
Tarehe 19/11/2026
25
#OkoaMuda
#BaelsaLuxury
๐ Mbeya || Mwanza
๐ Dar || Mwanza
#ABCupperClass
Dar || Kyela
80k tu unasafiri kifalme
Nipigie/whatsapp: 0756 084 459
Designed by @Canmaster_Oog
#BsLogistics
Mwanza || Karagwe
Saa 12 asubuhi
Saa 11 jioni
Graphics by @Canmaster_Oog
1
37
#PremierLine
Coming soon
Geita || Mbeya ๐ฅ๐ฅ
Ubunifu chini ya usimamizi wa @Canmaster_Oog
1
31
SAHAU KERO ZA STENDI!
#ASANTERABIEXPRESS IPO MIKONONI SALAMA ๐๐จ
โWadau wa Dar, Mwanza, Arusha, Moshi na Karatu! Safari zenu sasa zimekuwa rahisi kabisa. Kata tiketi yako ya chuma kali za Asante Rabi Express mapema kupitia kwangu.
โ๐ฒ WhatsApp/Piga: 0756084459 | 0621877523
#RUKSACLASS! ๐๐จ
โWadau wa Mwanza, Arusha na Moshi, safari zenu sasa zimekuwa rahisi kabisa! Kata tiketi yako ya Ruksa Class mapema ili uepuke usumbufu wa kukimbizana stendi.
โ๐ฒ WhatsApp/Piga: 0756084459 | 0621877523
๐ณ Lipa No Voda: 36305207
โ #RuksaClass #WakalaBinafsi
#EXTRALUXURYCOACH! ๐๐จ
โUnasafiri kutoka Chuga kwenda Jiji la Maraha (Dar), kwa Wajanja wa Mwisho wa Reli (Kigoma), Mpanda au Karagwe ya kijani? Kata tiketi yako ya chuma kali za #ExtraLuxuryCoach mapema kupitia kwangu na usalama ni 100%.
UNASAFIRI LINI NA #KataramaLuxury? TUKUWEKEE SITI MAPEMA! ๐ข๐ฅ
โPanga safari yako ya kijanja kuelekea Mwanza, Bukoba au mpakani Tunduma bila stress za kukimbizana na wapiga debe stendi. Wakala wako wa uhakika nipo hapa kukuhifadhia nafasi yako kwenye mfumo wetu.
KANDAHAR INVESTMENT! ๐ซ๐๏ธ๐ถ
โHabari njema kwa wasafiri wote! Sasa unaweza kukata tiketi ya chuma za #KandaharInvestment kwa urahisi kabisa kupitia sisi ukiwa nyumbani au ofisini kwako.
โSahau kero na usumbufu wa stendi, wahi siti yako nzuri ya dirishani mapema! ๐๐จ
#BRIGHTLINE! ๐๐จ
โUnasafiri kutoka Makao Makuu kwenda kula Sato Jiji la Miamba, kwa Wajanja wa Mwisho wa Reli au kwenye baridi ya Jiji la Kijani? Kata tiketi yako ya chuma kali za Bright Line mapema kupitia mimi wakala wako wa uhakika ๐๐ป
#MACHAMEINVESTMENT
โHabari njema kwa wasafiri wote! Sasa usafiri wako kuelekea mikoa ya Kati, Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini umekuwa mwepesi na wa uhakika zaidi.
ARUSHA, MOSHI, MOROGORO & IFAKARA NA #HCSAFARI! ๐๐จ
โMkono wa kero za stendi sasa basi! Kata tiketi yako ya chuma kali za HC Safari mapema kupitia kiganja chako kwa urahisi na usalama wa 100%. Jipatie siti yako ya uhakika kabla ya siku ya safari!
#KIAZIKITAMU! ๐๐จ
โUnasafiri kutoka Arusha kwenda Jiji la Miamba au kwa Wajanja wa Mwisho wa Reli? Safari yako sasa imekuwa rahisi kabisa. Kata tiketi ya vyuma vikali vya Kiazi Kitamu mapema namba zangu hizi.
โ๐ฒ WhatsApp/Piga: 0756084459 | 0621877523
๐ณ Lipa No Voda: 36305207
KUTOKA MJI WA DHAHABU HADI PWANI! SAFIRI NA #GEITAEXPRESS! ๐ข๐
โPanga safari yako ya uhakika kati ya Geita na Dar es Salaam bila stress za wapiga debe.
Wakala wako wa uhakika nipo hapa kukuhifadhia siti yako mapema kwenye mfumo wetu.
UNASAFIRI LINI NA #KataramaLuxury? TUKUWEKEE SITI MAPEMA! ๐ข๐ฅ
โPanga safari yako ya kijanja kuelekea Mwanza, Bukoba au mpakani Tunduma bila stress za kukimbizana na wapiga debe stendi. Wakala wako wa uhakika nipo hapa kukuhifadhia nafasi yako kwenye mfumo wetu.




















