Celsius Ulanda (@Celsius015) header
Celsius Ulanda (@Celsius015) profile picture

Be Good

Tanzania
Joined May 2021
Photo by Celsius Ulanda (@Celsius015)Photo by Celsius Ulanda (@Celsius015)Photo by Celsius Ulanda (@Celsius015)Photo by Celsius Ulanda (@Celsius015)Photo by Celsius Ulanda (@Celsius015)Photo by Celsius Ulanda (@Celsius015)Photo by Celsius Ulanda (@Celsius015)Photo by Celsius Ulanda (@Celsius015)Photo by Celsius Ulanda (@Celsius015)Photo by Celsius Ulanda (@Celsius015)
John 5;15-He calls me FRIEND 1Thessalonian 1;4-He calls me CHOSEN 1Corinthians 6;19-He calls my body a TAMPLE ACTS 1;8-He call me his MESSENGER Galatians 3;26-He call me his CHILD Romans 5;8-He call me GREAT LOVED Johns 8;36-He call me FREE 2Corinthian 5;17-He calls me BRAND NEW
1
5
8
770
Haka kashort series ndo siries nilikorudia kuangalia sana mwaka huu 🍿🍿
6
1
1
10
504
Celsius Ulanda retweeted
GOAL KICKS⚽ 🎯 CODE YA MKEKA👉USMYL 🏆 MKEKA WA KAMPUNI YA PARIPESA 📲 BONYEZA LINK HII HAPA CHINI👇 Pakua App ya PARIPESA, kisha jisajili ushinde nami! 🔥 paripesa.bet/givatipsapp paripesa.bet/givatipsapp REPOST ✅
1
2
461
Celsius Ulanda retweeted
Wasio na maisha kama mimi October photo dump let’s have it!!!!
18
11
9
29
2,524
Celsius Ulanda retweeted
Kama unataka kuishi maisha ya amani basi usiruhusu kila mtu kutoka hii app awe mtu wako wa karibu. Aslimia 80 ya wapwa ni masnitch na Wana tabia za kisenge Sana. Ukiruhusu msenge wa huu mtandao awe karibu yako tegemea kuvujishwa charts, picha na issue zako unazofanya out of x.
12
20
1
40
719
Celsius Ulanda retweeted
Ukitembelea nyumbani kwa mtu na ukakuta choo chake ni kichafu, basi jiulize kuhusu kiwango cha usafi na ustaarabu wa watu hao. Mtu anayejielewa anajua kuwa usafi wa choo ni sehemu muhimu ya heshima, nidhamu na ustaarabu wa nyumbani kwake.
3
17
30
467
PICHA SAA🔥🔥🔥🔥 Picha saa inayofanya kazi na inakaa ukutani. Size A3 Tsh: 50,000 Nitumie picha zako nikuwekee katika PiCHA SAA yako inayofanya kazi vizury kabisa. WhatsApp number 👉 0677523114 Nafanya delivery dar na mikoani kwa usalama Nipo kigambon/sido Repost naomba
Natengeneza picha za ukutani kama (PICHA MBAO/ PICHA ZA FRAME MIRROR) kwa size kama A1,A2,A3,A4. Na kwa Bei rafiki na nzury. A4.10,000 A3.20,000 A2.45,000 A1.90,000 Chagua picha nitumie WhatsApp number 0677523114 Tupo👉Dar👉kigamboni Nafanya deliver popote. 📍Repost📍
1
6
5
194
Celsius Ulanda retweeted
Abraham Baba wa wote alikuwa na watoto wawili Isaka na Ishmael. Ishmael anatajwa kama Baba wa waarabu na Isaka baba wa waisrael. Mungu aliamua kuwatumia waisrael katika kufikisha neno lake ndipo ikaletwa Tourati , Zaburi na mwisho mwanawe wa pekee YESU akaja na INJILI.
Leo nimejifunza kuwa Quran ndio Agano la mwisho (LAST TESTAMENT) na kwa maelezo yale nikilinganisha na mambo nashawishika kusema yamkini ikawa kweli
2
1
3
254
Celsius Ulanda retweeted
Airlux Air conditioner 👍👍 Offer offer offer offer offer AIRLUX AIRCONDITION INVETOR *👉🏽Btu 18000 inverter white....1,050,000/= *👉🏽BTU 24000 inveter white ..1,250,000/= 0717274856
1
15
2
14
307
Celsius Ulanda retweeted
Dear Tweep , Nawaletea mboga , I mean kuku Chotara kwa bei nzuri sana ya shambani Mmoja 25000 , ukitaka kunyonyolewa kabisa na kuandaliwa 28000 Location:Bunju Call :255745221288 Karibuni.
3
20
32
513
Celsius Ulanda retweeted
Mudi wewe upo dubai, lakini ngoja nikupe tip moja kwenye biashara. Usipende kumsumbua mteja kwanini halipii bidhaa ambayo alisema atalipia, usionyeshe unahitaji sana hela ya mteja. Mteja akikwambia atakurudia, hutakiwi kumtumia message tena kummumbusha au kumpigia simu. Hiyo kauli mara nyingi inatokea kwenye situation ambayo mteja anakuwa labda bado budget yake haijakamilika, au kuna mambo yameingiliana au kapata option rahisi zaidi yako. Wewe unatakiwa kuchukulia ni changamoto za biashara. Mimi nishawahi kupeleka simu KISARAWE, nafika kwa mteja anakagua simu ambayo aliniagiza ananiambia hajaielewa wakati aliniagiza hiyohiyo, hata nauli hakunipa 😂. Siku nyingine mteja akaniambia yupo njiani kuja dukani kununua simu, nikamuandalia kabisa baadaye jioni ananiambia alinunua kwingine. Unatakiwa tu kufahamu mpaka mtu anakufuata mfanye biashara ni kitu cha ku appreciate. Kuna mteja ananunua bidhaa kwako kwa sababu pengine ni nafuu, mwingine ananunua kwako for the love support sio kwamba hakuna mahali pengine anaweza kupata nafuu zaidi. Mfano @EsirEid alinunua kwamgu iphone 18 sio kwamba kwenye contacts zake hana watu wanaouza simu, sio kwamba angeshindwa kupata kwa gharama nafuu, sio kwamba angeshindwa kuagiza simu nje, lakink ananiungisha for the love na ku support harakati. Bora wewe nilikwambia nitakurudia, je ningekwambia unitumie alafu ikafika huku nikwambie nimeghairi? 😂. Take it as a challenge, sio kila mtu akikutafuta basi uweke asilimia 100 kwamba deal done. Hutakiwi kulalamika kwanini hajanunua
Ni kama vile ukaniagiza nikakutafutie helmet nikapoteza muda wangu na nauli yangu halafu ukaahidi utatuma pesa na hukutuma mwenye duka nilimtia sound ntafata helmet umekaa kimya kikawaida mimi nanyoa kipara 😅😂🤣🤣
46
28
6
204
39,616
Hii ni before and After ya kutumia tiles and sink cleanser kutoka Fancy cleaning solution,Usikubali tiles na sink zako siharibike na uchafu wakati Mkombozi yupo 1Ltr 7000 5ltr 25000 📍Arusha 📞0673691253 Kindly Repost ✌️
8
31
1
46
914
Celsius Ulanda retweeted
Daudi alizini na bathsheba , amnoni mwanae Daudi akambaka dada yake wa kambo Tamari , absalomu akalala na wanawake wa baba yake Daudi , suleimani alikuwa mtoto wa uzinzi kati ya Daudi na bathsheba alikuja kuwa mfalme akiwa na wake 700 na masuria 300 lakini bado walibarikiwa
5
11
4
60
4,039
Celsius Ulanda retweeted
👞 Size: 40-44 Bei: 75,000/= 📞: 0693688961 WhatsApp: 0743931620 DM @DreamOnlineShop 📌Kariakoo Mtaa Congo na Narung'ombe, Brotherhood Tower, 2nd Floor, Shop S6
2
37
39
1,040
Celsius Ulanda retweeted
Colour white ✨️ 😍 Mashuka & mito @salhynaphy1 📍 Tunapatikana Ubungo Msewe. 🚚DELIVERY IPOOO! 📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946 KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania
2
27
1
33
530
Au georgina alikua anafukuziwa na ten hag
🚨 Erik ten Hag to ESPN NL: “In my opinion, Cristiano Ronaldo is undoubtedly a fantastic player and one of the greatest players of all time”. “But the truth is that, over the last seven or eight years, he has NO longer been capable of performing at that level”.
6
181
Celsius Ulanda retweeted
Thank You TOUREEE 🔥🔥 1.4M ✅✅ Jiunge hapa na Familia Ya Ushindi:: whatsapp.com/channel/0029Vb7…
7
7
54
2,913
Celsius Ulanda retweeted
Nitapambana na ntajitahidi niwe namtumia Pesa mdogo wangu wa kike aliepo chuo UDOM atleast 70k kila week Ili asije kuona kutolewa Dinner date na wanaume au kupewa vi zawadi ndo kupendwa, kumbe ni Usenge tu na ni Mentality za kimasikini hizo 🚮 Unless otherwise atake yeye tu.
13
13
1
38
3,594
Celsius Ulanda retweeted
🚨 Ole Gunnar Solskjær: “Michael Carrick has what it takes to take Man United forward, I think he’s the right man”. “He understands the club, understands the fans, and knows what’s required. You don’t see that ‘devil’ in him. But it’s there, and I have it too. We are so incredibly alike”, told @ForzaFootball.
826
1,360
338
24,303
1,987,251
Chura ni homeless? 😂
Wajue tweeps na wilaya/ mikoa wanayoishi . 1.Mzenji 👉🏿 chake chake Zanzibar 2.zed 👉🏿 Magu (GEITA) 3.Xs 👉🏿Same 4.Kishoka 👉🏿Songwe 5.Gabby 👉🏿 Moshi 6.Mzee wa chuki 👉🏿 Moshi 7.fintahJr 👉🏿Dar 8.kitengo 👉🏿Iringa 9.carhat 👉🏿Liwale Lindi 10.Chura 👉🏿Dodoma, mwanza, dar, shinyanga
2
12
432
Celsius Ulanda retweeted
Tangia nimeacha kuvuta Bangi siku ya 5 hii nakuwa najisikia tofauti sana kmmmke - Nakuwa na hasira hasira sana - Wasiwasi kila muda - Hamu ya kula haipo kabisa ila najilazimisha - Kupata usingizi usiku imekuwa kamzozo Zaidi zaidi nakuwa napata hamu ya kuvuta tena ila najizuia.
6
12
1
30
1,373