
All About Football....#Michezolive || Events || Memory || Transfer News|| Makala Za Michezo👇🏼
Joined December 2019
- Tweets24.8K
- Following152
- Followers25.2K
- Likes35.2K
Chezalive retweeted
KUNA XAVI HERNANDEZ MMOJA DUNIANI. 🌎
✍Bado nawaza Akili Na uwezo wa Kufikiri Wa Xavi Hernandez , Upekee wake ambao Umeanzia katika Jina Lake kwasababu ni Nadra sana kukutana na Majina Yanaanzia na X , Hapa Ndipo Upekee wake Unapoanzia, Xavi ni Unique na one of a Kind.
Chezalive retweeted
WATU WAGUMU WATAPITA ILA NYAKATI NGUMU ZITADUMU MILELE.
🧵
Mfahamu "THE ROCK" NEMANJA VIDIC.
Ulinzi Ni sanaa Ya Kifo Hivo ndivo naweza sema,Leo nipo hapa kwa ajili Ya Mlinzi mwamba na Ukuta Kuwahi Kucheza Soka Barani Ulaya Nemanja Matic. Alikuwa Na Roho Ya chuma , Jemedari
Chezalive retweeted
SAFARI YA KING DIDIER DROGBA.
🧵
Wakati Anaenda Port Bouet Airport
Pale Abidjan Mwaka 1982 Alikuwa na Miaka 5 Tu, wazazi wake Ilibidi Waandike Bango "Didier Drogba Meet Michael Goba In FRANCE"
ilikuwa ni Safari Ya Matumani kwa Kijana alietoka katika Familia Ya Hali Duni Kwenda
Chezalive retweeted
STORI YA MESUT OZIL "MUUAJI MWENYE AIBU(The Shy Assasin)
✍Miaka Kadhaa Nyuma Wayne Rooney akiwa Manchester united aliwahi Kumsihi Sir Alex Ferguson Kuuleta Ubongo wa Ozil Pale Theatre of Dreams, Ozil alikuwa Ndoto Ya kila mshambuliaji kwenye soka.
✍Mesut alinusa Kila Hatua za Washambuliaji , Alijua Njia zao na mawazo Yao, Mwili wake Ulienda Taratibu ila akili Yake ili speed up zaidi Ya Binadamu wa kawaida, Alifanya Tuone mpira ni Rahisi sana.Extra passing skills,Ball Brain na accurate Decision vilifanya awe Bora zaidi.
✍Misimu Yake Mitatu Pale Real Madrid alicheza michezo 159 akiwa na assist 80 Nini cha zaidi Unahitaji Kutoka kwa Kiungo Mshambuliaji, alikiuwa Gifted na Talented , Ilikuwa zaidi Ya Furaha Kumuona akicheza, Mpira Ulimtii sana Mesut.
✍ Kuna Mesut Ozil Mmoja Tu Kwenye Ulimwengu wa Mpira, Ile Timu Ya Taifa Ya Ujerumani Yenye watu wa shoka Mesut Ozil alikuwa kama Catalyst , alikuwa analainisha Mpira na Kuupa Ladha na Utamu Kila Tukiangalia.
✍ Mesut Alibalikuwa Sana Na Alikua Na Vision kubwa sana macho yake yalikuwa yanaona mbali sana mfano wa Tai mwenye njaa kali kila pasi inayopigwa kwenye FINAL THIRD basi ilikua ni hatari kwa timu pinzani.
✍ Watapita Playmaker wengi sana kwenye ulimwengu wa burudani wa soka ila kuna baadhi ya wachezaji walijijengea PEPO yao moja ya hao basi ni MESUT OZIL "KING OF ASSIST "
Bado Namtafuta Mesut Ozil Mwengine na Sijui Titampata Wapi..?
Cc: @DenzoMaesTro with @Chezalive
Chezalive retweeted
"DIEGO FORLAN" 🏹
🧵
Diego Forlán Corazzo amezaliwa Mei 19, 1979 Montevideo Uruguay, mchezaji wa zamani aliyecheza klabu kazaa ikiwemo Manchester United, Villareal, Athletico Madrid, Inter Milan, hivi ni vilabu vya ulaya alivyo tumikia ila kacheza klabu nyingi sana Jumla
Chezalive retweeted
RICARDO IZECSON KAKA, CHURCHBOY NA NDOTO ZA KUITEKA DUNIA.
Wakati anafika pale Marpesa Kila mtu alikuwa anamdharau na kumbeza ni Kocha Carlo Ancelotti Tu ndio alimuelewa Ricardo Kaka na Kumuamini,Wachezaji Wenzie walimdhihaki na kusema Amekuja Kufanya Uinjilisti na sio soka.
Chezalive retweeted
Claude Makelele Mwanajeshi Aliyesalitiwa Baada Ya kumaliza Vita.
🧵
Mnano Mwaka 1975 Congo Kinshasa alizaliwa moja Ya binadamu wagumu katika soka, Claude Makelele Sinda , Mitaa Inamtambua kama Makelele , Moja Kati Ya Viungo Bora kuwahi Kuubariki mchezo Wa Mpira wa mpira
Chezalive retweeted
✍️KADI NYEKUNDU 23 NA BADO WANASHIKA NAFASI YA 2 KWENYE REKODI.
Mchezo wa dabi kati ya Cruzeiro na Atlético Mineiro umeingia kwenye historia Baada tutolewa kadi nyekundu 23 katika mechi moja.
Chezalive retweeted
▪︎Viwanja Vitakavyotumika kwenye michuano ya World Cup Qatar 🇶🇦 2022 na Michezo itakayopigwa.
🧵
🏟 Lusail Stadium Capacity 80,000.
👉 Michezo mitano hatua ya makundi
👉 Mchezo Mmoja wa "Round of 16"
👉 Mchezo Mmoja wa "Quarter-Final"
👉 Mchezo Mmoja wa "Semi-Final"
👉 Final
Chezalive retweeted
MAKALA ⚽️✍️🍿
Katika Ulimwengu Wa Soka, Utawala Wa Washambuliaji Bora Umepitia Katika Zama Mbalimbali
Kuanzia Zama Za Kina Pele, Gerd Muller,Van Bastern,Ronaldo De Lima, E'too, Ibrahimovich, Drogba, Suarez Na Kuendelea Hadi Kwa Kina Benzema na Lewandowski.
SHUKA CHINI ⬇️
Chezalive retweeted
Javier Hernandez "CHICHARITO" ✍
🧵
Mmoja wa washambuliaji bora wa Mexico katika miaka ya hivi karibuni, Javier Hernandez alifunga mabao mengi kwa timu ya taifa ya Mexico. Katika makala tunaangalia wasifu wake kidogo 🙏
Javier Hernandez, anayejulikana pia kama Chicharito,
Chezalive retweeted
Good Morning: Demba Ba x Papiss Cissé… 🇸🇳
Mitaa Haiwezi Kuwasahau Hivi Viumbe Pale EPL....Vigogo vya Epl vilinyoshwa ipasavyo magoli ya ajabu, ufundi wao, kujituma, watu wagumu wenye asili ya kibantu na nguvu za duma watu kama hawa wanaacha alama kwenye mioyo ya wapenda soka
Chezalive retweeted
Katika Nyakati Ambazo Mtandao wa @X Umekua Mtandao Pendwa wa Kijamii ,
Ndio Nyakati Ambazo Zilifungua Kurasa Mpya ya Maisha ya Mwanasoka Thiago Almada.
Amini Usiamini Ni Kupitia Twitter , Tajiri John Textor alipofanikisha kumsajili Nyota Huyu.
Ilikuaje Hiyo❓️Shuka na Uzi
Chezalive retweeted
Nyakati zinakimbia, Nyakati hazituachi, Nyakati Zinatuachia maumivu, Nyakati zinatuachia kumbukumbu nzuri na mbaya leo tuko na kumbukumbu nzuri za mtu mgumu zaidi, komando wa vita uwanjani na jasho la dhahabu likitiririka uwanjani "MTU MGUMU" kutoka mitaa ya watu wagumu.
Chezalive retweeted
Taja mchezaji aliyetoweka ghafla kwenye ulimwengu wa SOKA?
Naanza na Miguel Pérez Cuesta "MICHU"
Chezalive retweeted
🚨Beki wa kati wa Real Madrid Dean Huijsen anaendelea na hatua za kujiuguza baada ya kupata majeraha akiwa katika majukumu ya kimataifa na timu ya Taifa ya Hispania.
Kuna matumaini kwamba atakuwa amepona na kuwa tayari kwa El Clásico ifikapo Jumapili.
Chezalive retweeted
Usije ukathubutu kuvamia uwanja ili ukamkumbatie Mchezaji wako kipenzi, apa Tanzania 😄
Rejea tukio la Juni 7, 2010 mechi ya Taifa stars dhidi ya Brazil, ndugu yangu Nageri Kombo aliingia uwanjani kwenda kumkumbatia Ricardo Kaka.
Nini Kilimkuta Shuka Na Uzi Huu ⬇️
Chezalive retweeted
UTULIVU WA HALI YA JUU, UBUNIFU USIOELEZEKA! 🔥
Katika moja ya picha za kihistoria kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, Mesut Özil anatufundisha somo moja muhimu sana kwenye soka — kituo cha mwisho si kizuizi, bali ni changamoto ya kufikiri kwa haraka.
Chezalive retweeted
Wikiendi hii habari kubwa ni PSG🇫🇷 kuibuka Mabingwa wapya wa #uefachampionsleague 🏆
Kwa kuibuka na ushindi wa 5-0 dhidi ya Inter Milan 🔥
Ushindi ulioboreshwa na Ukuta Uimara wa Pacha ya Mabeki wa Kati Marquinhos na Pacho
Leo tutakufunulia umjue zaidi Beki Willian Pacho
Chezalive retweeted
Bayern Munich inataka kuirejesha pacha hatari ya Eze na Olise 🔥
Inataa kumsaini nyota huyo wa Crystal Palace ili kumuunganisha na Michael Olise waliemsajili msimu uliopita
Japo watakabiliwa na ugumu baada ya Arsenal na Chelsea kutajwa kumuwania pia
Chanzo @DeadlineDayLive





















