TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC) retweeted
🎙️ Panel on Consumer Protection: Reflections & Solutions for the Future;
Experts discuss the current state of consumer protection and share solutions for a safer, fairer future. 💡
Panelists
Mary Shao, Executive Secretary, @ConsumerCcc
Daudi Daudi, Executive Secretary, @latraccctz
Bernard Kihiyo - Tanzania Consumer Advocacy and Research
#CSOweek2025 #WikiYaAzaki2025
@TradeMarkAfrica
TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC) retweeted
#SupaBreakfast: Kaimu Katibu Mtendaji wa TCRA 'CCC', Hilary Tesha akizungumza kuhusiana na matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii ameweka mkazo kwa kusema tujitahidi kuhakiki taarifa husika kabla ya ku-post mtandaoni
Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio
#EastAfricaRadio #SupaBreakfast #HainaKuchoka
TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC) retweeted
Ukuaji wa teknolojia ni muhimu hasa wakati Nchi yetu imejikita kwenye uchumi wa kidigitali. Mawasiliano yanawezesha kufikisha taarifa kwa wakati, uendeshaji wa shughuli mbali mbali za kijamii ikiwemo biashara, uzalishaji, elimu, afya na upatikanaji wa huduma jumuishi za kifedha~Katibu Mtendaji wa @ConsumerCcc Bi Mary Shao Msuya #HakiZaWalaji
TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC) retweeted
Bi Mary Shao Msuya ~Ushirikiano kati yetu @ConsumerCcc na @FCSTZ utatoa mchango kwa watumiaji mbalimbali ikiwemo wanawake, vijana, wajasiriamali na wenye mahitaji maalum kwa kuwaelimisha na kuwajengea uwezo wa utambuzi wa masuala muhimu yanayowahusu ili wawe na mchango wenye uelewa wanapotumia huduma na bidhaa za mawasiliano
#HakiZaWalaji
TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC) retweeted
''Katika ushirikiano huu,@FCSTZ itatumia utaalamu wake katika kujenga uwezo wa @ConsumerCcc ili kukuza uwezo wao katika kuimarisha ulinzi na haki za watumiaji. Aidha, @FCSTZ itaisaidia @ConsumerCcc katika kukusanya rasilimali zinazohitajika katika utekelezaji wa mipango ya kutetea maslahi ya watumiaji'' @justicerutenge
#HakiZaWalaji
TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC) retweeted
''Tunashirikiana na @ConsumerCcc kwasababu baraza hili lina dhamana la kuwakilisha maslahi ya watumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano .'' @justicerutenge
#HakiZaWalaji
TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC) retweeted
#MtumiajiElimika
📱BARAZA LA USHAURI LA WATUMIAJI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO (TCRA CCC)
Kwa mujibu wa kanuni ndogo za Vifurushi !!
"Mwenye LESENI haruhusiwi kufanya matangazo zaidi ya matatu au kutoa ofa maalum zaidi ya tatu kwa wakati mmoja kupitia maongezi, SMS na data"
TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC) retweeted
Makuzi na malezi yanafanya watu waone kuingia kwenye mitandao ya kijamii ni uhuni.~|Hillary Tesha
#WanawakeNaMtandao
#BridgingTheDigitalGap
@WiLDAFTz
TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC) retweeted
Pannel discusssion: How do we encourage more internet usage by women in #Tanzania ? @WiLDAFTz @TCRA_Tz @CarolNdosi #WanawakeNaMtandao #BridgingTheDigitalGap
📸Credit @jaliluzaid
TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC) retweeted
Idadi ya wanawake wanaotumia mitandao ni ndogo kuliko wanawake na hii ni Kwa sababu
~Uelewa duni
~Gharama kubwa za kununua simu janja
~Gharama za vifurushi
~Masuala ya kiusalama~|Hillary Tesha
#WanawakeNaMtandao
#BridgingTheDigitalGap
@WiLDAFTz
TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC) retweeted
Watumiaji wa Internet nchini wameongezeka kutoka 9.3M hadi kufikia 29M hadi kufikia March 2021
#BridgingTheDigitalGap
#WanawakeNaMtandao
TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC) retweeted
Mwaka Mpya. Wizara Mpya. Mtazamo Mpya. Utendaji Mpya.
#Mawasiliano
#TeknolojiayaHabari
#MCIT
#WMTH
#Dodoma
#TTCL
TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC) retweeted
Matukio mbalimbali wakati @MagufuliJP akifunga Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo tarehe 16 June 2020.
@bunge_tz
TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC) retweeted
1. Katibu Mkuu (Mawasiliano) Dkt. Zainabu Chaula ameahidi kuleta mabadiliko chanya katika Sekta ya Mawasiliano na kuwataka watumishi wa Sekta kufanya kazi kwa kufuata miongozo na kushirikiana katika kutekeleza wajibu na majukumu yao kwa bidii, weledi na uzalendo.
TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC) retweeted
"Laini za simu za viganjani zimeongezeka kutoka laini Mil 39, mwaka 2015 hadi laini Mil 43 Machi 2020, idadi ya watumiaji wa intaneti iliongezeka kutoka Mil 9 mwaka 2015, hadi watumiaji Mil 25 machi 2020" - Waziri wa @WizaraUUM Eng Isack Kamwelwe.
#Bungeni
TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC) retweeted
#dondoozabajeti @WizaraUUM Sekta ya Mawasiliano @IsackKamwelwe akiwasikisha bajeti ya mwaka 2020/2021 @ariif @MsigwaGerson @TZMsemajiMkuu @Wizara_HabariTZ @tbconetanzania @imungy @Dar24News @darmpya_ @dailynewstz – at Dodoma, Tanzania
TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC) retweeted
Usalama wa mitandao. Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mh. Injinia Atashasta Nditiye akitoa ufafanuzi @MsigwaGerson @TZMsemajiMkuu @imungy #dondoozabajetiWUUM – at Dodoma, Tanzania












































