Cruz Scope retweeted
Iringa, vijana wa kiume kwa kike zaidi ya 100 walikamatwa, wakafungiwa kwenye hall, wakavuliwa nguo, wakafanyiwa ukatili wa kingono, wakapigwa mabomu ya machozi huku milango imefungwa.
Siwezi kufikiri waliteseka kiasi gani na wangapi walikufa.
We demand justice. 29/10💔
Cruz Scope retweeted
Naibu Katibu Mkuu akiwasha mishumaa kuwakumbuka marehemu waliouawa Oktoba 29, 2025. Tukio hilo limefanyika kwenye kanisa kuu Katoliki la Mtakatifu Joseph, jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Oktoba 29, 2026
Cruz Scope retweeted
Kwa wito wa Kanisa na mimi leo nimeshiriki MISA TAKATIFU ya kuwaombea MAREHEMU wote waliouawa Oct. 29.
Nimesali na kukomunika kwenye kanisa la ST. PETER’S hapa Dar. 🙏🏾🙏🏾
#RipOurMartyrs
Cruz Scope retweeted
#TanzaniaMassacre #WeShallNeverForget
Heavily armed police were waiting outside hospitals to take away the wounded and disappeared with them - never to be seen again!
They killed them all and buried them at secret mass graves that is why so many are “missing” between October 29 to Nov 5
We have the evidence of the atrocities we need ACCOUNTABILITY
We cannot share evidence with the illegitimate govt that grabbed power we need INTERNATIONAL intervention!
Until then this wound will fester and slowly rot - #Tanzania will be no more
Mark my words! Action is needed FAST! A year gone and ZERO accountability just more abductions and killings
#SamiaMustGo
@commonwealthsec @UN_HRC @IntlCrimCourt @FCDOGovUK @SenateForeign @SFRCdems @WorldBankAfrica @IMFAfrica
Cruz Scope retweeted
Yes, Marekani isikubali hii iwe swept under the rug. Lazma wawajibike…..
We thank you for standing with us.
Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug.
Cruz Scope retweeted
Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug.
Cruz Scope retweeted
MAANDAMANO DIASPORA KUPINGA UKATILI UNAOENDELEA TANZANIA
✅FRIDAY May 23, 2025 IMF Offices in Washington, DC
Addresses and Time will follow.
📌TUNA WIKI TATU ZA KUJIANDAA. SASA WALE WENYE VISINGIZIO KILA MAANDAMANO TUSIWASIKIE TENA WAKIPIGA KELELE CLUBHOUSE NA TWITTER SPACES📌
Cruz Scope retweeted
Wakati TANZANIA ipo gizani, watu wanapigwa RISASI OVYO OVYO, wakenya ndio waligeuka mabalozi wa TANZANIA kuiambia dunia nini kinaendelea GIZANI.
Leo ni mwaka mmoja umepita, wakenya hawajawasahau watanzania, leo nao wanaungana nchi nzima kuomboleza mauwaji ya #MO29.
Asanteni majirani , wema mliotufanyia watanzania wakati wa mateso makali hatutausahau. Mmeendelea kuwa MAJIRANI wema sana kwetu.
#Mo29
#hatutasahauMo29
Repost 200
Cruz Scope retweeted
🇹🇿 Diaspora in Germany held its vigil and remembrance of #TanzaniaMassacre yesterday
Asanteni sana wanadiaspora wa Ujerumani @eve_shayo @Nuruvazi01 ✊🏽❤️
#Hatutasahau #MO29 #SamiaMustGo
Cruz Scope retweeted
Dainess mdogo wangu walikupiga risasi tabata na mwili wako haukuonekana tukafanya ibada ya picha kanisani 😞 baadae mwili ukapatikana kitunda ukiwa umeharibika sana na kubadilika
Ni mwaka sasa tunakukumbuka sana ni ngumu kusamehe na kusahau 🙏🏻
Cruz Scope retweeted
Leo ni mwaka mmoja toka Watanzania zaidi ya elfu 10 wauawe kinyama na serikali haram ya CCM chini ya Samia Suluhu
Hotuba ya dada wa taifa…….
Cruz Scope retweeted
ukiona post hi REPOST 😭
leo ni siku ngumu sana kila mtu afanye ibada kwa imani yake tuwaombe ndugu zetu walio poteza maisha siku kama ya leo ilikuwa huzuni na majonzi 😭😭😭
Cruz Scope retweeted
Waliopoteza maisha walikuwa watoto wa watu, wazazi wa watu, na matumaini ya familia zao. Kuona viongozi wakiongea bila hata dalili ya kujuta ni kielelezo cha ukosefu wa utu.
Cruz Scope retweeted
Kweli Mungu baba unaruhusu waliofanya hili wanaendesha ma Rolls Royce na bado wako madarakani???
Mungu tuone Watanzania. Tupe nguvu ya kupambana na hawa waliofanya hilo.
Video ya kwanza, hao Ma Gen Z walikuwa wanacheza pool table , Samia akaenda kuwapiga risasi za vichwaZ
Cruz Scope retweeted
Hili ndio kanisa la kusali na kutoa sadaka ya KUJIMALIZA.
Haya mahubiri huwezi kuyasikia akihubiri kibaka kama MWAMPOSA.
Leo nchi nzima tunasali kuwaombea wapendwa wetu #Mo29
#TukutaneParokiani
Repost 200
Cruz Scope retweeted
29/10 TO THE FALLEN HEROES 🕊️
Gone but never forgotten, Your sacrifice will forever live in our hearts.
May your souls rest in eternal peace.
We Remember. We Honour. We Will Never Forget. 🙏
Cruz Scope retweeted
Siku ngumu sana kwetu kama taifa. Chanzo kikuu cha maumivu yetu ni MASISIEMU.
Waliombwa kuliunganisha TAIFA kwa Maridhiano kabla ya #Mo29 wakasema wao watatiki na hakutakuwa na "Nywi nywi wala nywi nywi nywi".
Wananchi waliopotoka kudai HAKI zao za kupata UCHAGUZI HURU NA HAKI , vyombo vya ulinzi na usalama viliwapiga risasi za vichwa, viliwafuata majumbani na kuuwa vijana kwa maelfu.
Walienda mpaka mahospitalini kuchukua majeruhi wote wenye majeraha ya risasi na kuenda kuwazika wakiwa hai kwenye makaburi ya HARAIKI.
Mitandao ilizimwa, umeme ulizimwa, watanzania waliambiwa wakae ndani zaidi ya siku 5 zilikuwa ni risasi tuu ndio zinasikika kila kona ya mtaa.
Leo tunatimiza mwaka mmoja wa matukio ya #MO29 hakuna UWAJIBIKAJI kwa waliohusika kuuwa watanzania zaidi ya elfu kumi.
Tuliona vyombo vyote vya USALAMA vikiwa mitaani na bunduki kuuwa watanzania mpaka askari wa usalama barabarani waliingia mitaani kuuwa watanzania.
Hakuna hata mmoja aliewajibishwa na zaidi wanapongezwa walifanya kazi nzuri sana kuuwa watanzania.
Kinachouma zaidi ni familia nyingi mpaka leo hazijui walipo zikwa wapendwa wao, watu wametafuta watu wao kila mochwari bila mafanikio.
Maiti nyingi zilizikwa kwenye makaburi ya haraiki, nyingine ziliharibiwa kwa kuchomwa moto kwenye viwanda.
Unyama wote huu wahusika wakuu ni MASISIEMU. Poleni sana watanzania haya tuliyopitishwa #MO29 lazima tupate mwafaka.
Maisha hayawezi kuendelea kama kaiwada tuu kama hakuna kilichotokea. Lazima damu zilizomwagika Tanzania zilete mabadiliko ya kweli kwenye taifa letu.
#HatutasahauMO29
#Mo29
#MwakammojaWaMaombolezo
Cruz Scope retweeted
Washa mshumaa popote ulipo 🕯️
#TanzaniaMassacre
Tuliweka ahadi kwa waliouwawa kikatili kuwa #Hatutasahau na tutadai Ukweli, HAKI na Uwajibikaji
Damu yao haiwezi kumwagika bure
#MO29 #WeShallNeverForget #NoJusticeNoPeace

































