Pinned Tweet
We Have Different Coping Mechanism And different reactions To Pain. We Don’t Have Any right To Label Maumivu Ya Mtu Mwingine As ANAJIENDEKEZA Or Mzembe . Let People Be ✌️
Bwana Nipe Pesa,Watoto Wana Njaa
Lakini Mke Wako Anapenda Kutangatanga.Hata Majirani Wamechoka Kumuona,
Wao Husema Fungeni Milango
Anakuja 🎶
Dadahood Is Proud ✌🏾
12/08/2024… i couldn’t see the signs she left 2 days later and nothing was the same. #2yearsAnniversary
Happy Birthday Mupare Ya Zanzibar. Nakupenda Kama Unavyopenda Sihifood❤️❤️. Yesu Akutunze🙏🏾 @Joy_Mbura
Naskiliza Kisa Cha Mpemba By Twanga Pepeta.Niko Hapa Najiuliza Why Watu Wanaweza Kuwa Invested In Other People's Business Kiasi Hicho??! Eti "Nashangaa Kuona Anakula Vitu Vya Bei Ya Juu Kuliko Gharama Alizotoa" Unashangaa Nini Bana Si Na Wewe Ule Ka Unaweza,Umbea Tu😭🤣🤣
Kwenye Bajaji Kuna Huyo Alikuwa Anamwambia Mwenzie Ana Meza Kkoo Na Kwa Siku Mauzo Si Chini Ya Million 3. Nmetamani Kumuuliza Ni Biashara Gani Nmeshindwa. Nmebaki Nafikiria Tu Mpaka Saizi. Nipeni Hako Ka Nyoka Tafadhali
Loema, Doroth Nengai Na Joy Wananiwazishaga Sana Na Chai Or Coffee Zao. Kila Nikifikiria Eti Nikae Ninywe Chai Mchana Or Jioni Naangua Kicheko 🤣🤣. Matajiri Zangu Mko Vyediii
Kuna Nguo Sista Angu Aliniagiza Nikasema Ebu Ngoja Leo Nizunguke Na Winga Wa Nguo Ili Nihakiki Ubora Mwenyewe. Oyaaaaa Hizo Ganji Toeni Tu 😅😅😂😂 Imebidi Niongeze Kidogo Kwenye Ganji Tuliyokubaliana Make Whuuuuue.Nlifikiri Naijua Kkoo Kumbe Nadaaaa.













