
My circle so small, stick to my script and just ball. Manchester United is my lifetime partner #GodWillRise @NipseyHussle Marathon continues..π
Mwanza, Tanzania
Joined March 2023
- Tweets16.7K
- Following703
- Followers910
- Likes65.6K
Eddie Jr retweeted
Sipendi kutetea UHALIFU. Ila kuto kumlipa mtu aliemwaga jasho na damu kukupigia kazi yako kwenye Miezi Mitatu ni UKATILI.
Namsapoti huyo jamaa kwa asilimia zote, na kama ningekuwa Hakimu ningehakikisha asingekaa Lupango hata usiku mmoja.
Watu wanachukulia poa sana wanyonge.
Eddie Jr retweeted
Miaka 14 iliyopita leo, Kendrick Lamar aliachia βgood kid, m.A.A.d cityβ β kazi ambayo itaishi milele.
Kendrick Lamar alitoa albamu yake ya pili ya studio, *good kid, m.A.A.d city*, mnamo Oktoba 22, 2012, na hata kabla haijatoka, alijua kuwa anaunda kitu cha kipekee.
Kwenye kile kideo cha yule Operator kama unachuma yako umeipaki njee halafu unamuona muhuni anapiga kazi chafu kama Ile sijui unakuwa kwenye hali gani π
Eddie Jr retweeted
New Arrival π₯π₯π₯π₯
Skyworth sound bar 630W
5.1Ch
Mziki mnene wa kimataifa π₯π₯
Tsh 530,000/=
0717274856
Eddie Jr retweeted
Replying to @EdgerJr22 @TouchlineX
Wanaenda kufanya maamuzi sahihi π
wamtoe woodgate na evans and walete kina neville na scholes pia π
Waganda hiyo consciousness tayari wanayo ya kuelewa hizo transition, changamoto ni kwa namna gani watazuia hilo lisitokee? No body knows
Duru zinasema mtoto atdrop cheo cha CDF na atakuwa Vice President baadae mzee atatangaza kuumwa na atapelekwa kwa matibabu Nje ya Nchi. VP atakuwa president defector
Bunge litampa Nguvu na itakuwa smooth transition to next presidential election
Welcome to the great region siasa
1
9
425















