JAPHET MATARRA (@Eng_Matarra) header
JAPHET MATARRA (@Eng_Matarra) profile picture

Father| Mineral Processing Engineer| Human Right Activist| Paralegal |Member @ChademaTz | @ManUtd | Boss Himself | StoryTeller| 430'2023|WhatsApp +255719542184

Serengeti, Tanzania
Joined July 2020
NANI ALIYEMUUA SOKOINE? #UZI 🔲Mnamo April 12, 1984 ilikuwa ni siku mbaya sana ktk Taifa letu na haitosahaulika kwa Watanzania. Siku hiyo tulimpoteza kijana makini aliyekuwa Waziri Mkuu EDWARD MORINGE SOKOINE, aliyefariki kwa ajali mbaya ya gari eneo la Wami-Dakawa (Morogoro).
130
885
35
2,191
#Tshs 1,080,000/= BOXER BM 125Cc🔥🔥 REG" #DJK ▪️Cc. 125 ▪️Gear -5 ▪️Starter jino moja ▪️Engine Haijaguswa ▪️Haijafanya bodaboda ▪️Imetunzwa vizuri sana ▪️Ina Full Documents ✅️ IPO DAR (Mikoani Tunatuma kwa uaminifu) CALL/WHATSAPP-0793022184 PIKIPIKI KALI SANA
1
5
208
#Tshs 1,480,000/= TVS HLX NEW (GIA 5)🔥🔥 REG" #EWS ▪️Cc. 125 ▪️Gear -5 ▪️Starter jino moja ▪️Engine Haijaguswa ▪️Haijafanya bodaboda ▪️Imetunzwa vizuri sana ▪️Inakuja Full Documents✅️ IPO DAR (Mikoani Tunatuma kwa uaminifu) CALL/WHATSAPP-0793022184 PIKIPIKI KALI SANA
1
3
180
JAPHET MATARRA retweeted
#Tshs 2,400,000/= HONDA ACE 150CC 🔥🔥 REG" #FAY ▪️Cc. 150 ▪️Gear -5 ▪️Starter jino moja ▪️Engine Haijaguswa ▪️Haijafanya bodaboda ▪️Imetunzwa vizuri sana ▪️Inakuja Full Documents ✅️ IPO DAR (Mikoani Tunatuma kwa uaminifu) CALL/WHATSAPP-0719542184 KUMBUKA HII BEI NI OFFA
5
10
596
#Tshs 1,350,000/= BOXER HD 125 🔥🔥 REG" #EGR ▪️Cc. 125 ▪️Gear -5 ▪️Starter inapiga ▪️Engine Haijaguswa ▪️Imetunzwa vizuri sana ▪️Inakuja Full Documents ✅️ IPO DAR (Mikoani Tunatuma kwa uaminifu) CALL/WHATSAPP-0793022184
1
3
7
643
HII NAUZA KWA OFFA YA LEO #Tshs 1,350,000/= TVS HLX NEW MODEL (GIA-5)🔥🔥 REG" #EQK ▪️Cc. 125 ▪️Gear -5 ▪️Starter jino moja ▪️Engine Haijaguswa ▪️Imetunzwa vizuri sana ▪️Inakuja Full Documents ✅️ IPO DAR (Mikoani Tunatuma kwa uaminifu) CALL/WHATSAPP-0719542184
4
9
757
GUTA USED LINAUZWA AINA - SINORAY CC 200 #Tshs 5.6m Usajili #GEH Cc 300 Gear -5 Starter inapiga Engine haijaguswa Tairi Zote bado Mpya Full Documents ✅️ IPO DAR MIKOANI TUNATUMA CALL/WHATASSP-0793022_184
3
8
596
GUTA USED LINAUZWA AINA - SINORAY CC 300 #Tshs 4.9m Cc 300 Gear -5 Starter inapiga Engine haijaguswa Tairi Zote bado Mpya Full Documents ✅️ IPO DAR MIKOANI TUNATUMA CALL/WHATASSP-0793022_184
6
9
775
JAPHET MATARRA retweeted
Airtel Tanzania wanaendelea kufanya deceptive marketing. kwa watu wanaotumia device zao za Wi-Fi (ODU). Just imagine wanakwambia Internet itakuwa unlimited mwezi mzima wakati unachukua huduma. Lakini cha kushangaza inapita week mbili tu, wanakwambia matumizi yako ya mwezi yamekuwa makubwa. Why wakati mtu anapokuwa ananunua kifurushi hamuweki idadi ya mb/GB atakazopata kwa mwezi ili mtu ajue kabisa from the beginning ananunua kiasi gani ndani ya mwezi?? Unapiga simu customer service Solution yao ni nini? Wanalimit kabisa speed ya device mpaka inafikia hatua huwezi hata kutuma message ya WhatsApp. Sasa hapa tujiulize, mmepunguza speed au mmenikatia kabisa service? Huu ni uongo na usumbufu wa kiwango cha juu. Wakati mnawapelekea watu huduma zenu why msiwaambie wateja ukweli kuwa sio unlimited? Kwanini mnaficha ukweli kwamba kuna kiwango cha siri mnamchagulia mtu kwa mwezi? Watu wa sheria za biashara mtatusaidia hii inatofauti gani na DECEPTIVE ADVERTISING. Airtel wanachotufanyia watumiaji wao ni exploitation na corporate unfairness. 1. TCRA na tumaini kutakuwa na consumer rights guidelines. Right to Full Pre Contractual Information. 2. Consumer Protection and Fair Trading Laws. Prohibition of Misleading Representations. @airtel_tanzania
40
41
5
274
29,834
Mwanamke yupo Tiktok Instagram Facebook Twitter/X Snapchat WhatsApp Kitambaa Cheupe/Amell/Velvet/The Voice/Mbambalaga/Bistro yupo NBC marathon/KILI-Marathon yupo Space anaongea hadi saa 8usk Connection anazitafuta Shisha, Brutal, safari/Tzeee & Smart gin anapiga Kuna mke?
Hatuwezi kuoa watu tunakesha nao Bar kila siku na tunagongea mzinga na short za Tequila. Tutaoa watu wenye maadili na wanaojua nini maana ya ndoa, na ambao hawajui sehemu za starehe, na wala kutumia kilevi cha Aina yoyote ile.
3
7
32
2,830
JAPHET MATARRA retweeted
Huna hatia ya kuua mfungwa mwenzako kwa sababu DPP hana ushahidi & ameshindwa kuthibitisha kosa. Isipokuwa, Afande Marwa amesema uliua MBU wawili ndani ya gereza. Hivyo basi, mahakama imekukuta na hatia ya UKATILI dhidi ya wanyama & utachapwa VIBOKO 10. Hukumu ya juzi 👆🏽.
8
82
350
8,788
Mguu wangu unaoza, nakufa huku najiona, naomba msaada maana nimekata tamaa. Naitwa Pascal James Mayalla, mkazi wa Kahama Shinyanga. Mwaka 2023 nilipata ajali ya pikipiki nikiwa Zanzibar nikielekea kazini. Kwa bahati mbaya nikavunjika mguu mara 2. Nikatibiwa Zanzibar na kuwekewa vyuma. Nilipopata nafuu niliomba kurudi nyumbani Kahama maana Zanzibar sikuwa na ndugu. Hali yangu ikatengemaa kidogo na mwaka 2024 nikarudi Zanzibar kuendelea na kazi. Lakini kwa bahati mbaya mwaka jana, chuma nilichowekewa kilichomoka screw hivyo kikatoka sehemu husika na kuchoma nyama kwa ndani na kutengeneza kidonda kipya. Nilipata maumivu makali sana. Nikaenda hospitali kikatolewa na kuwekwa kingine. Lakini Oktoba 2025 nilipata mtikisiko uliosababisha chuma nilichowekewa mguuni kukatika na kusababisha mfupa kuachana na mguu kupinda. Niliomba nirudishwe nyumbani Kahama. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kutokana na kukosa pesa za matibabu. Hali yangu inazidi kuwa mbaya kwani sehemu ya chuma kilichokatika imesababisha infection kwenye mfupa na kuendeleza kidonda kisichopona (Chronic Osteomyelitis). Nimeelezwa kuwa hali hii inaweza kunisababishia kansa inayotokana na kidonda cha muda mrefu kisichopona (Squamous Cell Carcinoma). Matibabu ninayohitaji kwa sasa ni operation ya kunyoosha mguu, kusafisha kidonda na kuweka chuma kingine. Gharama ni TZS 2.8M tu lakini nimelala kitandani mwaka mzima kwa kushindwa kumudu gharama hiyo. Naomba msaada niweze kupata matibabu mapema ili niepuke risk ya kupata saratani. _____ Kama unaguswa kuokoa maisha ya ndugu Pascal Mayalla tuma sadaka yako kwenda M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
34
275
20
643
73,960
#Tshs 2,400,000/= HONDA ACE 150CC 🔥🔥 REG" #FAY ▪️Cc. 150 ▪️Gear -5 ▪️Starter jino moja ▪️Engine Haijaguswa ▪️Haijafanya bodaboda ▪️Imetunzwa vizuri sana ▪️Inakuja Full Documents ✅️ IPO DAR (Mikoani Tunatuma kwa uaminifu) CALL/WHATSAPP-0719542184 KUMBUKA HII BEI NI OFFA
5
10
596
JAPHET MATARRA retweeted
Kinachowacost serikali ya ccm kwasasa ni kwamba Lissu washamfanya vitu vingi sana kiasi kwamba hahisi chochote tena mpaka wao sasa wanaanza kuogopa.
5
35
149
2,016
😎😎
8
77
6
351
19,304
#Tshs 1,450,000/= TVS HLX NEW MODEL GIA 5🔥🔥 REG" #ESY ▪️Cc. 125 ▪️Gear -5 ▪️Starter jino moja ▪️Engine Haijaguswa ▪️Imetunzwa vizuri sana ▪️Inakuja Full Documents ✅️ IPO DAR (Mikoani Tunatuma kwa uaminifu) CALL/WHATSAPP-0793022184
1
2
9
823
JAPHET MATARRA retweeted
#Tshs 3,750,000/= DT LA WATAMISEMI🔥🔥 REG" #GET ▪️Cc. 125 ▪️Gear -5 ▪️Starter jino moja ▪️Engine Haijaguswa ▪️Imetunzwa vizuri sana ▪️Inakuja Full Documents ✅️ IPO DAR (Mikoani Tunatuma kwa uaminifu) CALL/WHATSAPP-0719542184
1
5
10
919
JAPHET MATARRA retweeted
#Tshs 1,000,000/= BIKE PIMPED HIYO🔥🔥 REG" #B ▪️Cc. 125 ▪️Gear -5 ▪️Starter jino moja ▪️Engine Haijaguswa ▪️Haijafanya bodaboda ▪️Imetunzwa vizuri sana ▪️Inakuja Full Documents ✅️ IPO DAR (Mikoani Tunatuma kwa uaminifu) CALL/WHATSAPP-0719542184
1
5
10
1,143
IMEUZWA WAKUU
#Tshs 1,700,000/= BOXER HD 125 🔥🔥 REG" #ELQ ▪️Cc. 125 ▪️Gear -5 ▪️Starter jino moja ▪️Engine Haijaguswa ▪️Haijafanya bodaboda ▪️Imetunzwa vizuri sana ▪️Inakuja Full Documents ✅️ IPO DAR (Mikoani Tunatuma kwa uaminifu) CALL/WHATSAPP-0719542184
1
6
591
NIPE OFFA YAKO NIKUPE HII USIOGOPE KUTAJA BEI KAMA UPO SERIOUS Huenda ikawa bahati yako
NAITOA KWA OFFA FANYA KUWAHI #Tshs 2,150,000/= BOXER HD 125🔥🔥 REG" #FED ▪️Cc. 125 ▪️Gear -5 ▪️Starter jino moja ▪️Engine Haijaguswa ▪️Haijafanya bodaboda ▪️Imetunzwa vizuri sana ▪️Inakuja Full Documents✅️ IPO DAR (Mikoani Tunatuma kwa uaminifu) CALL/WHATSAPP-0793022184
1
5
492
JAPHET MATARRA retweeted
NAUZA KWA OFFA #TZS 1,800,000/= KINGLION 150CC🔥🔥 REG" #EWR ▪️Cc 150 ▪️Gear -5 ▪️Starter inapiga ▪️Engine haijaguswa ▪️Full Documents ✅️ IPO DAR (Mikoani Tunatuma) CALL/WHATSAPP-0793022184
2
4
842