Empowering Girls through Education

Joined October 2014
FlavianaMatataFdn retweeted
We are excited to have Flaviana Matata Foundation as a Steering Committee member for #GAWE2025 🗓 Save the Date: 5th – 9th May 2025 #GAWE2025 #EducationforSkillsDevelopment #Elimuujuzi #GirlsEducation
1
6
120
FlavianaMatataFdn retweeted
Majukwaa kama haya yawe endelevu yatasaidia kuwajenga wasichana, kujiamini na kufikia malengo yao." ~ Mh Balozi Liberata Mulamula #AjendaYaMsichana2024 #MsichananaUongozi @MsichanaUwezo @SemaTanzania
6
8
842
FlavianaMatataFdn retweeted
Ninafuraha kushiriki nanyi nyote,kupitia jukwaa hili nimejifunza kuwa wasichana wengi wamekua wakipata msaada juu ya masuala mbalimbali katika masuala yao. Merynes Erastus ~ @FMFound #AjendaYaMsichana2024 #MsichananaUongozi @MsichanaUwezo
4
5
390
FlavianaMatataFdn retweeted
"Nichukue fursa hii kuwaambia wasichana kuwa" inawezekana" kufikia nafasi yeyote ya uongozi,muda wa kijiandaa ni sasa" ~ Mh Balozi Liberata Mulamula #AjendaYaMsichana2024 #MsichananaUongozi – at Dodoma, Tanzania
5
4
168
FlavianaMatataFdn retweeted
Ajenda ya #MsichanaNaUongozi Mh. Balozi Liberata Mulamula anasema; “Imenichukua miaka 25 nikiwa wizara ya mambo ya nje, nilianza nikiwa afisa mdogo hadi hapa nilipofikia. Uongozi unaanza na wewe, ni jukumu lako kujiandaa kikamilifu kuanzia ngazi za chini." #AjendayaMsichana2024
2
11
15
1,153
FlavianaMatataFdn retweeted
Kwenye jamii zetu Mila na desturi kandamizi, pamoja na sera na sheria zisizo wezeshi, ni miongoni mwa changamoto zinazokwamisha ushiriki wa wasichana na wanawake katika nafasi za uongozi . Ni wakati wa kubadili mfumo huu na kufungua njia kwa viongozi wanawake #MsichanaNaUongozi
7
6
624
FlavianaMatataFdn retweeted
"kufikia mwaka huu 2024 tunaadhimisha miaka 12 ya siku ya msichana Duniani. Sara Joachim ."~ mwakilishi wa wasichana na viongozi #IDGC2024 @MsichanaUwezo @FMFound @SemaTanzania
1
11
10
948
FlavianaMatataFdn retweeted
"Despite the many opportunities available to you girls today, it is essential to be assertive. Chase your dreams with courage, being weak is not an option." — Ambassador Liberata Mulamula #GirlAgenda2024 #MsichanaNaUongozi @FMFound @MsichanaUwezo @SemaTanzania
8
8
791
FlavianaMatataFdn retweeted
KATIKA KILELE CHA MADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI OCTOBER 11. Mwaka huu yanapambwa na kauli mbiu isemayo:"Wasichana na Uongozi kupitia nguvu ya teknolojia;" @MsichanaUwezo @FMFound @SemaTanzania na taasisi mbalimbali wameandaa jukwaa la #AjendayaMsichana2024 Dodoma.
10
7
1,098
FlavianaMatataFdn retweeted
KATIKA KILELE CHA MADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI OCTOBER 11 Mwaka huu yanayopambwa na kauli mbiu isemayo:"Wasichana na Uongozi kupitia nguvu ya teknolojia"@MsichanaUwezo ,@FMFound,@SemaTanzania na asasi nyingine wameandaa jukwaa la ajenda ya msichana 2024 #IDGC2024 – at Dodoma, Tanzania
4
2
273
FlavianaMatataFdn retweeted
KATIKA KILELE CHA MADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI OCTOBER 11 Mwaka huu  yanayopambwa na kauli mbiu isemayo:"Wasichana na Uongozi kupitia nguvu ya teknolojia;"@MsichanaUwezo ,@FMFound,@SemaTanzania na taasisi mbalimbali wameandaa jukwaa la ajenda ya msichana 2024 mkoani Dodoma. #IDGC2024
1
7
6
426
FlavianaMatataFdn retweeted
KATIKA KILELE CHA MADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI kauli mbiu ni :"Wasichana na Uongozi kupitia nguvu ya teknolojia;" @MsichanaUwezo ,@FMFound,@SemaTanzania na taasisi mbalimbali wameandaa jukwaa la ajenda ya msichana 2024 mkoani Dodoma. #IDGC2024
4
8
769
FlavianaMatataFdn retweeted
Usalama wa afya ya mtoto shuleni Taaisis ya @FMFound imekabidhi vyoo vya matundu 12 na sehemu ya kunawia ni katika kuweka usalama wa mtoto akiwa shuleni #FMFProjects
15
25
1,515
FlavianaMatataFdn retweeted
Wakati @FMFound tunafanya miradi yetu mwaka huu mwanzoni tukagundua kuwa shule hii ina upungufu wa matundu ya vyoo na hivyo tumejenga matundu 12 ya vyoo , chumba cha kujisitiri pamoja na kichomea taka .#FMFProject ~Lineth Masala
12
19
1,895
FlavianaMatataFdn retweeted
“kulingana na takwimu msichana anapoteza siku 50 kwa mwaka na ni kwa wakati akiwa hedhi na kwa kutambua hili sisi tunaungana na serikali katika kuhakikisha wasichana wanabaki shuleni kwa kuhakikisha wanakua na sehemu maalum ya faragha " Wilhelmina Malima board member @FMFound
1
9
1
27
1,778
FlavianaMatataFdn retweeted
Women Fund Tanzania ni moja ya marafiki wakubwa wa taasisi ya @FMFound kwani tunaamini katika yale wanafanya kwa ajili ya mtoto wa kike Glory Mbia kutoka @WomenFund_Tz #FMFProjects
15
27
2,556
FlavianaMatataFdn retweeted
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga amewapongeza @FMFound kwa kuwajengea matundu 12 ya vyoo na chumba maalumu cha watoto wa kike kujistiri Amesema vyoo hivyo ni bora na vya kisasa hivyo itawafanya wanafunzi kuwa na utulivu wa kiakili maana watakuwa hawana shida tena. #FMFProjects
1
10
30
2,304
FlavianaMatataFdn retweeted
Uongozi wa shule ya masekelo unapenda kutoa shukrani zake za dhati kwa FMF @FMFound kwa ujenzi wa vyoo hivi . Sasa tunaamini wanafunzi wa kike watakaa shuleni na hawatatoroka tena kwa kuhofia kushindwa kujisitiri. ~Mkuu wa Shule
7
10
1,203
FlavianaMatataFdn retweeted
"Mtoto anapoondoka nyumbani kwenda shule, anajua atazingatia masomo pekee, bila wasiwasi wa changamoto za faragha, kwani FMF imewezesha mazingira salama. Hivyo, mwanafunzi anakuwa na utulivu wa akili na kuzingatia elimu kikamilifu." Mkuu wa Mkoa Shinyanga. #FMFProjects
9
12
2,259
FlavianaMatataFdn retweeted
Sisi kama @FMFound tuko mkoa wa Shinyanga kwa muda wa miaka 5 sasa na katika shule hii tuna wanafunzi watano wanaonufaika na mradi wa ufadhili wa masomo na wanafunzi 30 wanaopata ufadhili wa pedi kwa mwaka mzima.#FMFProject ~ Lineth Masala
5
13
872