Mtoto wa Marehemu +259πŸŽ—οΈ (@FMOkello) header
Mtoto wa Marehemu +259πŸŽ—οΈ (@FMOkello) profile picture

Born to Die

Pemba South, Tanzania
Joined January 2012
Photo by Mtoto wa Marehemu +259πŸŽ—οΈ (@FMOkello)Photo by Mtoto wa Marehemu +259πŸŽ—οΈ (@FMOkello)Photo by Mtoto wa Marehemu +259πŸŽ—οΈ (@FMOkello)Photo by Mtoto wa Marehemu +259πŸŽ—οΈ (@FMOkello)Photo by Mtoto wa Marehemu +259πŸŽ—οΈ (@FMOkello)Photo by Mtoto wa Marehemu +259πŸŽ—οΈ (@FMOkello)Photo by Mtoto wa Marehemu +259πŸŽ—οΈ (@FMOkello)Photo by Mtoto wa Marehemu +259πŸŽ—οΈ (@FMOkello)Photo by Mtoto wa Marehemu +259πŸŽ—οΈ (@FMOkello)
"WATU huwa wanabadilika Kwa sababu mbili, aidha WAMEJIFUNZA mengi, au WAMEUMIA Sana,"
Malaika kitengo cha jua, tumeiona kazi yako πŸ™Œ
10
One thing that money can't solve it is poverty ✍️
11
Sijafanya kazi na nimekula, Mtume Paulo haamini 🀣
8
Kitanda na godoro visikupe ujasiri wa kuingia kwenye ndoa, kuna maisha baada ya kuamka. ✍️
14
Kujituma sio kuamka mapema, msivuruge mambo hapo ✍️
7
Usikubali kugombezwa kwenye simu yako, KATA SIMU ✍️
8
Work smart and let your success defend you
6
Umewahi jiuliza siku vipofu wafumbue macho wakute BlueBand sio ya Blue utawaeleza nini πŸ˜€
6
Kuna marafiki halafu kuna watu wa maana. Hakikisha hawakutani kabisa. ✍
9
Sasa naelewa kwanini utoto tuliambiwa usile kwa watu
16
Kiongozi usipotatua tatizo, tatizo linakuwa kiongozi na wewe unakuwa tatizo ✍️
11
Harusi ni nyingi sana jamani, mnatoana wapi wenzetu 🀷
12
Usimpige mkeo, mpe pesa bandia akapigwe sokoni!
11
Shetani hasikiagi mawazo yetu….. Anatumiaga maneno yetu na matendo yetu kutumaliza. Angalia sana unachosema na unachofanya. Akili tu mtu wangu.
11
Ushawahi kurudi Nyumbani Ukakuta Mzee anafanya kazi Aliyokuachia? πŸ˜‚
1
1
18
Hakuna chai nzito jitahidi ule mchana
8
Kuna Masai hapa kakosea namba ya kutuma Pesa, ametoa betri ya simu ili pesa zisiende 🀣
14
Kama hukuelewa maana ya neno β€œutavuna ulichopanda”. Muda wa mavuno ukifika utaona Dunia inakuonea. ✍️
5
Watu walioajiriwa wanakuwa wanajiona na kufikiri wanaweza kuacha kazi wakafanya mishe zingine. Jichanganye.
5
mbwa akikaribia kufa hua anapoteza uwezo wa kunusa...
7