Felius Festo (@FeliusFesto) header
Felius Festo (@FeliusFesto) profile picture

Perfect melancholy. Analytical thinker, political analyst. former CHASO regional coordinator, BAVICHA chairperson in kagera region, Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa

MOSHI
Joined January 2022
Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)
Hatupaswi kuruhusu safari ya mapambano yako iishie katika njia hii kaka, Mungu akupiganie na kukulinda kaka upatikane ukiwa salama. #FreeTwahaMwaipaya
1
17
42
421
Baada ya Mwenyekiti @TunduALissu kuhukumiwa kwa kesi isiyokuwepo watawala dhalimu wameendeleza mashambulizi dhidi ya chama chetu kwa kutumia polisi. Katibu BAWACHA Kigoma amekamatwa jana, Gwamaka mbughi na Issa kwisa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Songwe wamekamatwa leo ahsubuhi.
8
36
1
128
1,930
Twendeni Singida kwa wingi sana
“Mkamzike kaka yangu Alutte” Maneno ya mwisho ya Mhe. Lissu mahakamani baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 4 jela kwa kosa la uchochezi 💔😭
1
9
49
769
"Waheshimiwa Majaji mnatambua kwamba nina msiba mkubwa, msiba wa mtu ambaye amenifanya niwe Mwanasheria, mtu aliyenilea na kunifanya kuwa mimi. Kwa kuwa hakuna kesi ninatumaini mahakama hii itaniacha nikamzike kaka yangu nilishindwa kumuunguza nisishindwe kumzika."@TunduALissu
19
93
2,344
I have never ever, never ever been convicted of a criminal offense. Never ever. Mheshimiwa @TunduALissu akiwaambia Majaji.
6
40
520
"Na hivyo kw ushahidi huo tunasema Treason haijathibitishwa bila kuacha shaka yoyote" anasema Jaji Nduguru kutoka chumba namba 01 cha mahakama kuu. @TunduALissu
1
21
179
6,391
Ndani ya chumba cha mahakama kusubiria hukumu ya kesi ya uhaini dhidi ya Mwenyekiti wetu Mheshimiwa @TunduALissu . #LissuSiyoMhaini.
15
65
1,068
Kuna watu wamewahi kujigamba hadharani kumiliki magenge ya uhalifu na ya kiuni wakitaja majina yao mara chui mweusi na mbwa mwitu maajabu ya nchi yetu ni kwamba hawakuwahi kuchukuliwa hatua yeyote. Binti mdogo anapewa kesi ya Ugaidi kwa sababu tu ya msimamo wa kupigania haki.
26
1
66
904
Felius Festo retweeted
“Mange Kimambi ndo Project ya kuigawa Chadema, cha ajabu ni kuona makada wa CHADEMA wanamsikiliza na kumuamini” Godbless Lema “Hilda Newton anachukua maneno ya Mange kama yalivo Hilda huyu kiongozi wa Chama hatuwezi kuwa na viongozi wa namna iyo” Lema
10
12
1
82
4,879
Utekaji haiwezi kuwa suluhu ya mkwamo wa taifa, Muachieni Twaha Mwaipaya na kama ana makosa afikishwe mahakamani. Kila kijana anazo ndoto, malengo, matamanio, familia na wanaomtegemea utekaji unazima yote ayo. Free Mwaipaya.
4
10
35
1,323