Musician | I Create | TEDx Speaker 2K19 | Fitness Fanatic

Joined May 2019
Je, AI ni mkombozi wetu au ni adui anayekuja kwa kasi? Story za Mulla na Akili Mnemba (AI) #storyzamulla #ai
2
4
13
1,056
Master Manondo retweeted
Nimekuwa wa kwanza toka bao baby semen Who hotter than si men mji kasoro bahari na sea men @FredrickMulla 🎶
1
5
203
Amina Chifupa Mpakanjia.
2
7
664
Power puff girl
Replying to @21Binno
I mean….he thinks he’s worthy that!!!🥺
1
384
Okay😂😂
Replying to @incredible_nory
No disrespect kwa fred ila he’s not worth hata lacing Ulamaa’s left boot aisee 😂💔
206
Ongea na mimi ukiwa sober cause sijui kama ni akili zako au bangi
Asa hivi unaenda kama FRED Mnazareti….😎!!! Nasubiria DEAR SOLO tusikie…
1
1
1
832
Solo sidekicks😂 mnatumiwaga kicks nini👟
“Dear SOLO” pale kwa MSAFIRI umeyakanyaga….sema tu ndio vile ka’mkubwa nae najua hawezi poteza muda kukujibu labda line moja au mbili ila sio ngoma nzima…itakua ZALAU!!!🤣
1
1
1
654
Mngejua mimi na Solo tunachat, mngeacha huu upuuzi wenu.
Replying to @MichaelBaruti
Mwanao kachagua upande, kisa Afande ni home boy. Ila ukweli anaujua… ukiacha albamu ya Afande (ambayo hata sijui inaitwaje); kuna albamu ya “Kima Cha Chini”. Amongst the best albums in TZ Hip-Hop, top 5 kabisa ipo but huwezi kuweka album yoyote ya Sele hapo 5 bora
203
Acheni kupotosha watu kisa hisia, kaomba yeye sio mimi, akitaka battle nitampa, hii ni HIP HOP.
Replying to @kratos_utd
Ulamaa was soo good, aliimba mduara na wagumu wakauchuna tu ujue….. Halafu issue yangu hapa ni on going disrespect humu mitandaoni, kuna kijana kaomba kabisaaa battle nae…
1
1
2
4
2,743
Master Manondo retweeted
The ep "tipati"by mutoriah and fredrickmullah is such an amazing piece. I'm a new fan of mulla kumbe that niggah can sing and rap. @FredrickMulla
1
1
1
45
SHAABAN NA NGUGI Verse 2 🔥 Hii ndiyo verse bora zaidi kwa mwaka huu! Ni kazi inayounganisha sanaa ya maneno na utajiri wa historia yetu kuanzia utamaduni, historia ya dini, mwingiliano wa Zanzibar na Tanganyika, hadi urithi wa muziki na fasihi. @Kaa_Moto
1
1
3
209
Rejeo la “MANGIRIMA” Neno hili linabeba taswira ya nguvu na pia ni jina la wimbo wa zamani “Ya Mangirima” uliotayarishwa na producer nguli @P_Majani Ngoma hiyo ilikuwa na #SoloThang, @jaymoefamous #Kshaka #Sewer, Wenyeji, Ma-Shifta, na @NaziziHirji
2
75
Master Manondo retweeted
"Sikuanza kama Rapa,nilikuwa muimbaji" @FredrickMulla Afichua Safari yake hadi kuwa Rapa, na namna Ilivyobadili Maisha Yake. Mahojiano kamili nenda Youtube chanel ya Dimbani Konenkti link ipo kwa bio👆🏿 #nyotahustle
3
4
154
Master Manondo retweeted
Sauti ya Mchambuzi @FredrickMulla ipo kwenye YouTube ya @DimbaniKonekti
'Mimi ni Analyst, sio mchambuzi'. @FredrickMulla afafanua tofauti kati ya Analyst na mchambuzi kwenye tasnia ya muziki, huku akieleza kwa nini anajitambulisha kama Analyst badala ya mchambuzi. Mahojiano kamili nenda Youtube chanel ya Dimbani Konenkti link ipo kwa bio👆🏿 #nyotahustle
1
3
6
1,172
Master Manondo retweeted
'Mimi ni Analyst, sio mchambuzi'. @FredrickMulla afafanua tofauti kati ya Analyst na mchambuzi kwenye tasnia ya muziki, huku akieleza kwa nini anajitambulisha kama Analyst badala ya mchambuzi. Mahojiano kamili nenda Youtube chanel ya Dimbani Konenkti link ipo kwa bio👆🏿 #nyotahustle
1
4
1
5
1,626
Master Manondo retweeted
Usikose #NyotaHustle Kesho, Agosti 6, 2026, tunakuwa na mahojiano ya kipekee na @FredrickMulla . Jiandae kupata simulizi, mafunzo na mengi ambayo hujawahi kuyasikia kutoka kwa @FredrickMulla . 📺 Fuatilia kupitia YouTube Channel ya Dimbani Konekti. 🔗 Link ipo kwenye Bio. 👆
4
5
190
This is a set you don’t want to miss📌
1
1
8
801
Master Manondo retweeted
Kwenye Mulla Mex Sense Ndugu Mchambuzi @FredrickMulla Kwenye Mboga Saba Na Good Gossip Kapiga Verse Dongo/Kali Sana Humo Plus Viitikio Vikali sana kwenye baadhi ya Tracks heshima kwake 🙌🙌🙌 #BadoHipHop Cc @gabyconscious @LucasOdero8
2
2
7
631
Master Manondo retweeted
Replying to @mex_tz
2
2
75
Master Manondo retweeted
Brothers cooked, Good Music. My favourite song after King Kong ni Mbona Saba🙌 Cc: @mex_tz @FredrickMulla
1
4
5
258
Sky nilimuuliza swali, kashindwa kuweka hoja, nimekuuliza swali umekimbilia kuniita “Kiande”😂 nakukaribisha kwenye meza ya mistari, uweke hoja mezani.
Replying to @Mabulachriss
Hapana, Mulla hataki hata comment tofauti na mawazo yake, mfano Sky alitoa mawazo tofauti akaja na walaka mrefu kufafanua baada ya kuambiwa Fresh diss ya mwanzo ilikuwa kali ila ya pili hajajibu alichofajya Baghdad, kuna vitu achia mashabiki baada ya kuchambua
1
319