UDOM_Geography retweeted
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia Shule Kuu ya Tiba na Afya ya Kinywa (SoMD) na Shule Kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii (SoNPH), kimezindua rasmi Kongamano la Pili la Sayansi ya Afya (USCHe - 2025), lililofanyika katika Ukumbi wa Jiji, Mji wa Magufuli jijini Dodoma, tarehe 11Juni, 2025.
Akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa Kongamano hilo, Mgeni rasmi Dkt. Wilson Mahera, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, akimwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko, amesema, Serikali imepiga hatua kubwa katika kutatua changamoto za afya hapa nchini na kusisitiza kwamba makongamano kama haya yamekuwa na mchango mkubwa kwa Serikali, na kuhimiza matumizi sahihi ya teknolojia katika kutatua changamoto za kiafya.
Kwa upande wake, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka, amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imewekeza katika kuboresha Sekta ya Afya, hivyo ni jukumu la UDOM kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kuhakikisha wanatoa wataalamu bora. – at Ashburn, VA
UDOM_Geography retweeted
Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOM) Kupitia Ndaki ya Insia na Sayansi za Jamii ( CHSS) Idara ya Geografia na Stadi za Mazingira kwa Kushirikiana na na Wakala wa Barabara Tanzania ( TANROADS) Kupitia Mradi wa Jawabu la Ujanishaji ( Green Solutions Project-GSP) tarehe 11 Juni 2025 katika Ukumbi wa Chuo cha VETA- Dodoma wameendesha Warsha maalumu kwa wadau mbalimbali wa mazingira katika Utekelezaji wa Awamu ya kwanza ya Mradi.
Mradi huo, unalenga kuboresha mazingira mbalimbali ambayo yanaharibiwa kutokana na Shughuli mbalimbali za ujenzi wa barabara kama vile upandaji wa miti na Kusaidia serikali katika Kupambana na mabadiliko ya nchi ambapo kwa sasa unatazamia kuboresha mazingira ya ujenzi wa barabara ya mzunguko ( Ring Road Dodoma).
Alizingumza wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo hayo; Mratibu wa Mradi wa Green Solution Project (GSP) kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Dodoma, Bw. Julius Ruhoro amesema kutokana na ufinyu wa bajeti, ukataji wa miti ovyo na ukosefu wa uandaaji wa kanuni za upandaji wa miti imekuwa changamoto ya kudumu katika utekelezaji wa miradi ya utunzaji wa mazingira jijini humo. – at Tanzania
UDOM_Geography retweeted
Hongeraa sana @Udadisi 👏🏾👏🏾👏🏾
Welcome new faculty members, Drs. Amsale Alemu and Chambi Chachage to the Dept of African Studies at Howard!
cfas.howard.edu/articles/wel…
UDOM_Geography retweeted
Sipping some #Konyagi very judiciously! #Tanzania, how I miss!
@Christi36159665 @GeographyUdom @MBMabele @KiwangoWilly
UDOM_Geography retweeted
Kama hukuchaguliwa awamu ya kwanza bado una nafasi ya kuomba awamu ya pili ya udahili!
Mwisho ni tarehe 21 Septemba, 2024
Transform Your Future at UDOM!
UDOM_Geography retweeted
Ahsante Sana, @GeographyUdom Instructors Tunaahidi Kuyatekeleza Yale Yote Muliyo Tupatia Katika Kipindi Cha Miaka 3 Tuliyokua Pamoja Chuo Kikuu Cha Dodoma, God Bless You All For Your Continued Efforts.
Our department bade farewell to Env Disaster Management students who just finished their 3-year course at @udomtheofficial . We wish them all the best for the future! @TZWaziriMkuu
UDOM_Geography retweeted
🌾In Morogoro, our #SUSTAINEco Project officers are conducting a training of farmers and agriculture extension officers on the Modified System for Rice Intensification (SRI) in Njage village in Mlimba DC in collaboration with @TanzaniaTari Uyole & Ifakara.
#Agriculture @SAGCOT
UDOM_Geography retweeted
If you are interested in doing a PhD in bird evolution and wouldn't mind spending three years in New Zealand, we might have a solution for you:
evol.mcmaster.ca/brian/evold…
UDOM_Geography retweeted
⚠️Mvua kubwa mkoa wa Tanga, visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na upepo mkali na mawimbi makubwa katika Pwani ya bahri ya hindi.
UDOM_Geography retweeted
Replying to @HGJournal
@HGJournal has grants for cutting edge critical research!
Good proposals & working with the journal (e.g. publishing & reviewing articles) support your chances to be awarded.
IHG Research Grants
A huge effort, in terms of labor and time, over the years, has produced both a viable radical journal and a surplus of funds that can be used to support radical research and writing. The Institute of Human Geography has awarded more than $225,000 as grant funds till date.
We invite proposals up to US $10,000 per grant, and continue to welcome applications for smaller research grants (under US $5,000). The context for the IHG Research Grants is provided by an editorial by Richard Peet published in the first issue (2008) of the Human Geography journal.
The main criteria on which proposals are examined include:
▪Radical potential of the work
▪Effectiveness of the proposal
▪Eventual contribution to the Human Geography journal and/or the Radical Geography book series
A Committee consisting of the Human Geography journal’s Editors would review the Applications consisting of the following:
A. Proposal (12-point font, double-spaced, maximum of five pages) should include:
1. Cover page with:
▪title of the proposal;
▪name(s) and affiliation(s) of the applicant(s);
▪short summary of the proposed work;
▪previous contributions: please mention any manuscript(s) previously submitted to the Human Geography journal or the Radical Geography book series (inform us of acceptance/rejection or publication elsewhere), and let us know if you have reviewed any manuscript for either sometime in the last 3 years.
2. Explanation (maximum of four pages) should include
▪the proposal, a description of the proposed research, including a timeline;
▪a description of previous work in the area;
▪statement on the radical character and the potential contribution of the proposed research or activism;
▪statement on the possible publication of results with Human Geography or Radical Geography.
B. Budget (12-point font, maximum of one page) detailing how the funds would be spent (i.e. on research expenses rather than salary and/or purchase of hardware).
C. Curriculum Vitae(s) from each applicant (maximum of four pages).
The entire application should be submitted via email as a single, ten-page PDF to the Institute of Human Geography ([email protected]). Please note that the annual application deadline is September 15, 2024
Additional information at: hugeog.org/home/grants
UDOM_Geography retweeted
Please RT: We are looking for chapter proposals for a new book - Exploring Human-Animal & Multispecies Relations: Risk Taking in Research Methods. Details here acrobat.adobe.com/link/track… If you are a researcher working on something that might fit with the call, do get in touch...
Our colleague @nkasongi has just published his first PhD paper looking at the future trends and variability of temperatures, VPD and rainfall ensemble GCM using SSP2-4.5 and SSP5-8.5 in Env Challenges journal.Congratulations Kasongi!
UDOM_Geography retweeted
Our colleague @nkasongi has just published his first PhD paper looking at the future trends and variability of temperatures, VPD and rainfall ensemble GCM using SSP2-4.5 and SSP5-8.5 in Env Challenges journal.Congratulations Kasongi!
UDOM_Geography retweeted
Replying to @GeographyUdom @udomofficial @eamwakipesile @Bukula_DRM @KiwangoWilly @MBMabele @Danifrey25 @BarnabasBarnaba
First of its kind but evidently worth it! We wish them all the best.
UDOM_Geography retweeted
Replying to @GeographyUdom @udomofficial @Bukula_DRM @KiwangoWilly @MBMabele @Danifrey25 @BarnabasBarnaba
The World awaits you to make a change. Farewell Bachelor of Geography and Environmental Studies class of 2024.











































