Kiuhalisia ITV walikua wanatupatia sana kwa kutotangaza kuwa zile mechi za UEFA za saa 6 usiku zilikua ni marudio. Yan una tangaziwa muda kama vile ni live match na kwasababu tulikua hatuna matokeo na hatujui kama ni marudio tunakaa kuangalia.😁
Licha alitoa hoja nzito dhidi ya uongozi na ilikua valid sana..sahiz na wao watakua wanataman kumuuliza unajiona una stahiki kuchezea Man utd?
FUKUZA huyo kipara na benchi lake lote..hatuwezi kuwa na jezi nzuri mpira mmbovu. Hao sio sisi mamae, tumekua kama pombe ya ngomani. Kocha hawezi itwa Sparletta jina la soda.
Harry Kane..the Bayern move has paid! Na nimeachia kile kinyongo cha kutaka abaki EPL avunje rekodi ya Alan Shearer.
Genuine question, Man utd fans what do you find exciting watching this Utd team that you have to watch them every time they play? Watched them against Spurs and today. Hii team inacheza mpira mmbovu kuliko team zote EPL ambazo nimeona mpaka sasa.
Mara pyeee..POGBA premier league winner. Nita tingisha meza ambazo hamjawahi zifikiria na hamta niambia kitu kwenye hilo nika waelewa.😁
Hii team ya Kimasai kwa huu utatu wao wa mbele na pira Alonso nita wafuata sana kwenye uwekezaji wa magoli.
Some moves make you question how big is Barcelona? Its a very contradicting question.
🚨🔵🔴 BREAKING: Barcelona agree deal to sign Gabriel Jesus from Arsenal, here we go!
Exclusive details: medical booked on Monday, #AFC to receive €10m package plus add-ons for permament deal.
Gabriel Jesus will travel for medical as authorized by Arsenal.
Kwanini sisi anae tufungiaga taa za viwanja ni nani? Akijulikana ahojiwe vizuri, kwanini kunakua na giza maeneo mengine ya uwanja? Azam complex, Amaani Znz na Mkapa zimefungwa taa gani kwani? Maana hivyo ndio viwanja pekee ambavyo taa ziko sawa. Tuwe serious na miundombinu.
AIK walitoa €750k tu kumchukua dogo Nigeria, ndani ya mwaka mmoja wameuza £21m kwa Brighton. Kama academy yake ingeweka future sell hata 10% wangepiga £2.1m. Lakini kwa ukata wa fedha €750k ya pamoja waliihitaji zaid.
Replying to @FabrizioRomano
From Kaduna streets to Swedish headlines in under a year, the rise is wild.
Only 10 months after leaving Ikon Allah Football Academy for around €750k, Zadok Yohanna’s value has exploded, with top European clubs now pushing bids in the €20–30m range.
Congratulations Zadok Yohanna
2
58
4,945
George Job retweeted
🚨🔵🔴 More on Julián Álvarez story reported earlier: the official bid has not been submitted yet, it will be sent in the next days.
It will NOT include any players as revealed, and final fee will be clarified as soon as it’s sent (could be in the region of €100m).
Ukiona kwenye ugomvi mtu kaanza na kukupiga teke la mguu achana na huo ugomvi hautashinda. Shake hands sepa bora nusu shari au bora lawama kuliko fedheha itakayo fuata hapo. Hiyo ni code nawapa..au kaanza na kufake takedown, achana nae bro watu wa MMA hao.














