Hans Ndengize (@Hansndengize) header
Hans Ndengize (@Hansndengize) profile picture

SDG's champion

The Universe
Joined February 2019
Photo by Hans Ndengize (@Hansndengize)Photo by Hans Ndengize (@Hansndengize)Photo by Hans Ndengize (@Hansndengize)Photo by Hans Ndengize (@Hansndengize)
Hans Ndengize retweeted
WiLDAF Tanzania inajivunia kuwa sehemu ya jitihada zilizochangia ushindi huu wa kihistoria katika kulinda na kutetea haki za watoto. Tunaungana na wenzetu @humanrightstz pamoja na watetezi wote wa haki za binadamu kupongeza uamuzi wa Mahakama Kuu uliotamka kuwa kanuni zinazoruhusu adhabu ya viboko shuleni ni batili kwa kukiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni ushindi wa utu, haki na usalama wa mtoto! Nidhamu haipaswi kujengwa kwa ukatili. Kila mtoto ana haki ya kupata elimu katika mazingira salama, yenye heshima na yasiyo na ukatili, ambako makuzi chanya na maendeleo yake yanapewa kipaumbele. #wildaftz #childrenrights #corporalpunishment
1
2
3
166
Hans Ndengize retweeted
Happy Nane Nane Day #nanenane2025
1
2
190
Keep runnin dem streams up! Tha Carter VI out now!!! LilWayne.lnk.to/TCVI
710
1,885
201
15,747
737,134
Hans Ndengize retweeted
🩵 @KevinDeBruyne 🩵
4
363
14
5,617
108,801
Hans Ndengize retweeted
Kama mtumiaji wa mitandao ya kijamii, ni muhimu kujua hatua sahihi za kuchukua pale unapokumbana na aina yoyote ya unyanyasaji mtandaoni. Haya ni baadhi ya mambo ya msingi unayopaswa kufanya:
1
6
7
863
Hans Ndengize retweeted
3. Hifadhi ushahidi: Tunza ushahidi wa tukio husika kulingana na mazingira ya tukio – iwe ni picha, video, chapisho, ujumbe (meseji), au sauti iliyorekodiwa. Ushahidi huu ni muhimu sana wakati wa kutoa taarifa kwa mamlaka au katika hatua za kisheria
1
4
4
392
Hans Ndengize retweeted
4. Tafuta msaada wa kisaikolojia: Unyanyasaji wa mtandaoni unaweza kusababisha msongo wa mawazo, huzuni, au hata mawazo ya kujiua. Ni vyema kuonana na mtaalamu wa afya ya akili kwa msaada na ushauri wa kitaalamu ili kukabiliana na athari za kisaikolojia #elimikawikiendi
4
5
374
Hans Ndengize retweeted
6. Udhalilishaji wa watoto au kusambaza maudhui yasiyofaa kwa umma #ellimikawikiendi Je, sheria inasemaje? @ElimikaWikiendi
4
5
310
Hans Ndengize retweeted
2. Matusi na lugha ya kejeli kwa lengo la kumdhalilisha mtu 3. Uenezaji wa taarifa za uongo (uzushi) 4. Vitisho na matusi ya moja kwa moja kupitia ujumbe binafsi 5. Udukuzi wa akaunti binafsi na utapeli wa kidigitali
1
4
5
318
Hans Ndengize retweeted
Hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa la watumiaji wa vifaa vya kidigitali na hasa mitandao ya kijamii, hali hii imepelekea ongezeko la matukio ya kiunyanyasaji kupitia mitandao kama vile:  1. Matumizi mabaya ya picha na video bila idhini ya mhusika
1
4
6
502
Hans Ndengize retweeted
Je, kwanini ukatili mitandaoni unazidi kukithiri pamoja na sheria kuwepo?  #elimikawikiendi @ElimikaWikiendi
4
4
336
Hans Ndengize retweeted
Sheria hizi zinatambua unyanyasaji mitandaoni kama kosa la jinai, na zimeweka adhabu kali ya mpaka kifungo kisichopungua miaka mitatu kwa mtu yeyote atakayepatikana na hatia ya kushiriki katika vitendo hivyo. Lengo kuu ni kulinda haki, utu, na faragha ya watumiaji wa mitandao
1
5
5
353
Hans Ndengize retweeted
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Sheria ya Makosa ya Mtandaoni ya mwaka 2015, na sheria ya Maudhui ya Mitandaoni ya mwaka 2020 zimekuwa mstari wa mbele katika kuhimiza matumizi sahihi na salama ya mitandao ya kijamii. #elimikawikiendi #Funguka
1
6
10
938
Hans Ndengize retweeted
3. Tamaduni ya jamii nyingi kwenye mitandao kukaa kimya badala ya kukemea wanapoona vitendo vya uaktili kwenye mitandao 4. Mapungufu katika utaratibu wa ripoti kwa vyombo husika Je, unapaswa kufanya nini unapokumbana na unyanyasaji wa mtandaoni? #elimikawikiendi
4
5
268
Hans Ndengize retweeted
Sababu zinazopelekea ukatili wa mitandaoni kuendelea kukithiri ni kama:  1. Uelewa mdogo kwa wananchi juu ya sheria zinazozuia na kukataza ukatili wa kijinsia mitandaoni 2. Hofu ya kuendelea kudhalilika hasa pale kesi zinapotaka kwenda mahakamani
1
6
7
454
Hans Ndengize retweeted
Je umewahi kufanyiwa ukatili wa kijinsia mitandaoni? Je umewahi kushuhudia mtu akifanyiwa ukatili wa kijinsia mitandaoni? au unafahamu mtu anayefanyiwa ukatili wa kijinsia mitandaoni? #elimikawikiendi #Funguka
70%Ndio
30%Hapana
10 votes • Final results
1
6
6
531
Hans Ndengize retweeted
Funguka! Usikae kimya, chukua hatua, unaweza kusaidia mtu au kuokoa Maisha ya mtu,sambaza upendo. #elimikawikiendi #Funguka @ElimikaWikiendi
8
6
712
Hans Ndengize retweeted
Unyanyasaji mitandaoni ni aina ya ukatili unaofanywa kupitia mitandao ya kijamii, ujumbe wa simu, ama njia yoyote ile ya kidigitali kwa lengo la kumdhuru mtu kihisia, kumdharirisha, kumharbia mtu hadhi yake mbele ya jamii, au watu wake wa karibu. #elimikawikiendi #Funguka
5
7
535
Kuendelea kukithiri kwa vitendo vya unyanyasaji mtandaoni, Je ni hatua gani muathirika anazopaswa kuzichukua? Wafuatilie @WiLDAFTz na @GjAssenga jumamosi hii kujifunza zaidi #ElimikaWikiendi
1
17
18
1,047