James Mbowe (@JamesMbowe4) header
James Mbowe (@JamesMbowe4) profile picture
Tanzania
Joined July 2020
Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)Photo by James Mbowe (@JamesMbowe4)
James Mbowe retweeted
Kutetea wizi na Ufisadi ni kazi ngumu sana , inahitaji mtu ajitoe ufahamu na ahifadhi akili zake kabatini ndioo aendelee kumtetea mwizi . Ufisadi wa taasisi ,ukilindwa na wana taasisi kunaidhoofisha sana taasisi husika ,ni suala la muda tu .
8
14
52
49
32,969
James Mbowe retweeted
Good for him!
Former president of Kenya mocks countries who are upset Trump that said he won’t give blank checks anymore to foreign governments. “Why are you crying? It’s not your government! He has no reason to give you anything. You don’t pay taxes in America.”
7,749
42,807
1,447
311,733
41,747,982
CHADEMA tumemaliza uchaguzi katika ngazi ya mabaraza yote ya ndani ya chama. BAZECHA, BAWACHA na BAVICHA. Chaguzi zote zimekuwa mubashara (LIVE) hatua kwa hatua huko YouTube. Tunaelekea katika Mkutano Mkuu (bado siku mbili) ambao pia utakuwa LIVE katika luninga. Sisi ni CHADEMA.
60
45
2
650
45,998
Jumatano ijayo, muda kama huu, wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama chetu, CHADEMA watakuwa wanapokea matokeo yao katika uchaguzi wa kuchagua viongozi wa kitaifa wa chama chetu. Kwa kazi iliyofanyika hadi sasa kwa wapiga kura, bila woga na hofu nasema, USHINDI WETU NI KISHINDO.
121
46
5
842
59,832
KWANINI Freeman Mbowe?; UJENZI na MIKAKATI (3) FAM ni muasisi wa CHADEMA, anafahamika kwa umahiri wa kupanga mikakati ya kisiasa inayomfanya kuwa mmoja wa wanasiasa wenye nguvu za kisiasa. Haikuwa rahisi zamani kuona jukwaa la wanasiasa wa upinzani likikimbiliwa na wasomi. Lakini FAM amefanya hilo kuonekana kuwa jambo la kawaida kabisa. Mikutano ya CHADEMA inahudhuriwa na watu wa vyama vingine kwa sababu ya hoja za wazungumzaji, umahiri wa jukwaa, na sauti nzuri za mamlaka. Chini ya uongozi wa FAM, CHADEMA ikapokea kwa wingi wanasiasa kutoka CCM. Tumefungua milango kwa wanasiasa wote, wajiunge na CHADEMA. Ni kwa namna moja au nyingine, mkakati huo ulisaidia CHADEMA, kupata wabunge na madiwani wengi kwenye uchaguzi mkuu wa 2010 na mwaka 2015. FAM akaleta vazi maalum la kombati lililokuja kuwa mojawapo ya alama za CHADEMA. VAZI ambalo alianza kulitumia katika kampeni za uchaguzi wa 2005 Leo ni rahisi kumtambua mwanaCHADEMA kwa vazi lake, ambalo wengi wanalitumia kujitambulisha itikadi na wanalitumia kutamba na itikadi yao ya kisiasa. Chini ya uongozi wa FAM, CHADEMA ikafanya Oparesheni za kimkakati za kuwafikia wananchi katika maeneo yao. Unakumbuka Oparesheni Sangara? Tulianza na Oparesheni KIMYA-KIMYA, ilikuwa na sehemu mbili; FAM alikuwa anakwenda katika vyuo vikuu kutafuta vijana wasomi, kuwaleta CHADEMA. Ulitumika muundo wa 'GALACTICOS'. kuwatafuta wanasiasa wakubwa au wakongwe kutoka vyama vingine vya siasa. CHADEMA ilipata manguli wengi. Ikafuata Oparesheni ambayo ilipewa jina la CHADEMA NI TAWI. Hii ililenga kupeleka chama katika matawi nchi nzima. Lengo lilikuwa matawi 12,000 plus. Ikafuata Oparesheni Sangara. Hii ililenga mikoa ya Kanda ya Ziwa (Mara, Shinyanga, Mwanza, Kagera). Dhana ya Sangara ni samaki anayekula samaki. Baadae, ikafuata Vuguvugu la Mabadiliko (Movement for Change - M4C). Hapa tukapata CHADEMA NI MSINGI. Hapa tukahama kutoka katika matawi. CHAMA kikapelekwa ngazi ya chini zaidi ambayo ndiyo misingi. Hapa chama kililenga kuwa na wanachama 30 katika kila kitongoji (kwa tafsiri ya kiserikali). Lengo lilikuwa ni kuvuna wanachama takribani milioni 2. Hii ni kutokana na kuwa wanachama 30 katika kila kitongoji (msingi). Misingi takribani 64,000. Movement For Change (M4C) ililenga kutekeleza dhana ya ugatuzi wa madaraka kupitia muundo wa kanda. CHADEMA ikazindua kanda 10 za chama. Hapa zikaundwa kanda kumi (10) za kichama; Kanda ya Serengeti, Kanda ya Victoria, Kanda ya Magharibi, Kanda ya Nyasa, Kanda ya Kusini, Kanda ya Kati. Kanda ya Pwani, Kanda ya Kaskazini, Kanda ya Unguja na Pemba (hizi ni kanda mbili za CHADEMA ambazo zinapatikana katika nchi ya Zanzibar). Uongozi wa FAM umefanikiwa kwa kiwango kikubwa kukifikisha chama kwa wanachama wa ngazi ya chini. Chama kimefika katika ngazi ya misingi na tawi. Bado tunahitaji kuona 'program' iliyoanzishwa sasa, grass-roots fortification ikiendelea kufanya kazi katika ngazi za misingi. Mafanikio yapo na yanaonekana. Tupatane sababu ya nne... MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
144
41
10
426
67,308
MNAOHOJI KUHUSU SERA ZA MHE. MBOWE (MUDA BADO) Kasomeni Katiba ya @ChademaTz kwa mujibu wa MWONGOZO WA TARATIBU ZA KUENDESHA KAMPENI ZA UCHAGUZI NDANI YA CHAMA TOLEO LA 2012 Kifungu cha 2 (i) kipo hapo 👇 chini kwenye picha Katika hatua ya sasa ni makosa kunadi Sera kwasababu ukinadi tu Sera unakuwa unafanya Kampeni na kwa kuwa mamlaka husika haijatangaza muda basi unakuwa umevunja Katiba ya Chama. Baada ya Uteuzi wa wagombea mamlaka husika inayosimamia Uchaguzi katika ngazi husika hutangaza muda wa Kampeni. Mpaka sasa tunao Watia Nia hatuna wagombea baada ya usaili kwa waliochukua fomu ndio wagombea watateuliwa. Mpaka sasa kwa mujibu wa MWONGOZO huu Mhe. @TunduALissu amevunja Katiba alipaswa kutangaza Nia tu bila kusema Sera yake hata moja kwasababu kufanya hivyo ni kuvunja Katiba. Mhe. @freemanmbowetz hawezi kuvunja Katiba ya Chama. Ndio maana siku ile anazungumza na wahariri nyumbani kwake Mikocheni Dar es salaam aliishia kutangaza Nia tu pia alieleza historia ya Chama na kujibu baadhi ya maneno ya uzushi na propaganda. Kwa kuwa kitendo cha kunadi Sera ni sehemu ya Kampeni. Subirini mamlaka husika itakapotangaza Muda wa Kampeni mtaona Sera za Mbowe.
50
16
5
88
22,811
#VIDEO @JamesMbowe4 ameeleza hali ilivyo Moshi mkoani Kilimanjaro, pamoja na kusimulia kwa ufupi utamaduni wa watu wa ukanda huo kurudi nyumbani kwao na kukusanyika kwa pamoja katika kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka #Mjadala #EastAfricaTV
6
9
138
23,042
Posts zangu leo hapa X zimejibiwa 95% kwa matusi na personal attacks zikiwemo za ukabila nk. Nasimama na #NoHateNoFear! Sitajibu chochote - maana nimeandika posts 3 zenye maelezo. Msome kwa utulivu zote. Wanachama wa @ChademaTz wenye uwakilishi wa kupiga kura Januari 2025 wataongea kwa sanduku la kura. Nawatakia jumapili njema. Mlioko Moshi tukutane #RomboMarathon kesho..
145
18
13
136
23,791
Hapa ni moja ya makambi ya UVCCM walipokuwa wanajiandaa dhidi ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Huko katika makambi sehemu mbalimbali za nchi walikuwa wanafundishwa kuwashambulia Wapinzani,Kuwaumiza na kuua. Mwanachama na Kiongozi wa CHADEMA marehemu Steve Chalamila wa Tunduma alishambuliwa na Vijana wa namna hii wa UVCCM kwa mapanga,wakamkatakata hadi akafikwa na umauti wake. Uwezi Kusikia Jeshi la Polisi limewakemea,kuwakamata na kuwafikisha Mahakamani kwa sababu ni Vijana wa Chama tawala cha CCM.
73
126
11
538
45,309
Tutangaziwe kwamba hii nchi hakuna ulinzi ili raia wajiwekee mipango yao ya kujilinda. Hatuwezi kuwa na nchi raia wanateswaka hivi. Tumehalalisha 4K- kutekwa, kuteswa, kupotezwa na kuuliwa. Kosa letu ni kuzaliwa kwenye ardhi ya Tanganyika? Na wanaofanya haya ni Watanganyika
My Pole sana Nondo, Mungu akujalie upone haraka itoshe kusema Serikali ya Rais Samia ni Serikali katili sana.
10
42
2
136
7,300
Ukiona Afisa uandikishaji ataki kutoa jumla ya idadi ya watu walioandikishwa mara baada ya zoezi kufungwa saa 12 :00 jioni Ujue Afisa huyo anahujumu Daftari, kwa kwenda nalo nyumbani kwake na kuendelea kuandikisha watu KINONDONI wamekamata Daftari likiwa na majina mapya Asubuhi
104
298
11
1,325
75,201
Nina wataarifu kuwa napatikana tena hewani kwa namba ileile ya 0712239595. Ukipiga ukaona ipo bize sana,acha ujumbe nitakurudia kwa kukupigia au ujumbe wa maneno Kwa miezi minne nimekabidhi simu zangu tano kwa Jeshi la Polisi,Central simu 3,Oysterbay simu 2 za Tsh millioni 16.
201
299
17
2,518
176,080
James Mbowe retweeted
Kumbe serikali yetu ina uwezo mkubwa sana wa kuzuia jambo wasilolitaka lifanyike... Sasa tueleweje tukiona familia zetu zinatekwa na wengine kuuwawa kinyama kila siku?
22
173
6
914
42,032
Unalala mahabusu tena sio kwa sababu wewe ni jambazi isipokuwa kwa sababu umekuwa msitari wa mbele kuibua mateso,utekaji na mauaji ktk kila kona ya jamii yetu.Una heri kubwa sana kwa sababu mateso haya yana thawabu kubwa kwako,familia yako na Nchi yetu. Ukatili huu hauna muda mrefu sana. Jipe Moyo Mkuu sana.
149
456
8
2,575
67,386
Hawajui impact yake kabisa hawa watawala. Hakuna Kampuni kubwa Duniani au Inverstors ambaye hasomi New York Times , Washington Post na Economist.
34
271
9
1,339
46,869
Kifo cha Ali Kibao kimekuwa ni kama sauti ya wote waliokuwa wanabeza kuwa hakuna matendo ya utekaji na summary executions nchini. Ni sauti iliyowasemea victims wote wa matendo haya. Lakini pia kinaweza kuleta mwanga kwa kuwa sasa watu wameanza kugusia jambo fulani muhimu.
32
344
6
2,382
145,210
Mtetezi wa haki hapaswi kufa. Anayepaswa kufa ni muuaji wa watetezi wa haki. Anayepaswa kufa ni yule anayedhurumu maisha na uhai wa wengine. Mtetezi wa haki anapaswa kuishi. Tujilinde wazee! Wajinga na waovu hawapaswi kushinda. @TitoMagoti @rollymsouth Nawasilisha.
1
8
1
69
2,380
Kuna kukosoa mtu, kuna kutuhumu mtu, halafu kuna kumchafua mtu. Ukinikosoa nitakujibu kwa hoja. Ukinituhumu nitakuomba ushahidi. Ukinichafua, unabagaza utu wangu, unavunja heshima yangu, unaweka hatarini biashara zangu na familia yangu. Nitakushitaki. Ni hivyo tu!
31
83
4
456
21,136
James Mbowe retweeted
Je, @SuluhuSamia una furaha - vijana wametekwa na wanateswa kwa siku 8, ili utawale bila kukosolewa? Inakupa unafuu gani? Uhai wa Deus na wenzake hauwezi kuwekwa rehani kwa ulafi wa madaraka. Hawapaswi kuwa mateka ktk ardhi yao. Waachieni huru mara moja bila masharti.
19
414
10
1,280
20,717
Mainstream media takataka sana. Siku tano ambazo Maasai wamekusanyika na kuamdamana kudai haki zao hawakuwahi kufika hata kuwasikiliza. Leo, media zote za kimkakati zinapeperusha taarifa za Serikali kurudisha huduma Ngorongoro. Kama lipo tatizo nchi hii, ni tasnia ya habari.
178
396
30
2,479
93,651