Joti (@JotiOfficial) header
Joti (@JotiOfficial) profile picture

Tanzania's Comedian

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2012
Photo by Joti (@JotiOfficial)Photo by Joti (@JotiOfficial)Photo by Joti (@JotiOfficial)Photo by Joti (@JotiOfficial)Photo by Joti (@JotiOfficial)Photo by Joti (@JotiOfficial)Photo by Joti (@JotiOfficial)Photo by Joti (@JotiOfficial)Photo by Joti (@JotiOfficial)Photo by Joti (@JotiOfficial)
Wanaume Tunapitia Magumu ndio huku sasa..!!πŸ˜‚Wee Demu mwenyewe Kasema ANAUTAKA alafu anakuja Magetoni anasema hana Mudi..πŸ˜‚πŸ˜‚Mpaka unakuwa uelewi ujue,Hapa Nishai Kajiingiza kwemye Mtego,Ili Ucheke sasa..πŸ˜‚ Ingia Jotitv on YouTube now.. youtu.be/51aEGhZTg8o?si=--jI…
5
28
3,174
Walevi walewe
1
14
149
6,582
Wajuukuu wasiende tena kwa bibi
1
1
12
2,510
Hakuna kitu kibaya kama kuwa na kimbele mbele kwenye jambo la mtu,watu wengi wanaumia sana kwa staili hii..πŸ˜‚ Ona kilichomkuta Nishai.. Ingia JotiTv On YouTube now.. youtu.be/_7CQIQzwB48?si=jkl8…
1
6
2,115
Ufundi ni mwingi. #NguvuMoja
5
19
269
15,198
TICHA LA FILD
2
3
32
3,643
Tarehe 24 Septemba 1973 Mkutano Mkuu wa 16 wa TANU uliamua Makao Makuu ya Tanzania yahamishiwe Dodoma. Tangu wakati huo, kila awamu ya uongozi imeendeleza azimio hilo, nami leo nimeungana na Rais wa Jamhuri ya Angola, Mheshimiwa JoΓ£o LourenΓ§o, kuzindua majengo ya ofisi za Wizara na Taasisi za Serikali pamoja na barabara za lami katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma. Ninawashukuru Marais wote walionitangulia kwa kuendeleza maono ya Baba wa Taifa. Pia, nawapongeza viongozi, watendaji wa serikali na sekta binafsi, makandarasi na wananchi wote walioshiriki katika kutekeleza mradi huu. Kazi yenu ni ya thamani na itaenziwa katika historia ya nchi yetu. Mji huu uliojengwa kwa fedha za ndani umebuniwa kuwa kitovu cha shughuli za Serikali, huduma kwa wananchi, diplomasia na shughuli za kiuchumi na kijamii. Ni wajibu wetu kuhakikisha uwekezaji huu unaleta tija kwa kuwahudumia wananchi kwa heshima, weledi na ufanisi. Hata hivyo, huduma ziwafuate wananchi walipo kupitia mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), badala ya kuwalazimu kufika Dodoma kuzifuata. Ili kuendeleza ustawi wa Mji huu na Makao Makuu kwa ujumla, nimetoa maelekezo yafuatayo: 1. Majengo, miundombinu na mazingira yatunzwe na kuwa safi wakati wote. 2. Mamlaka husika zisimamie kikamilifu utekelezaji wa Mpango Mkuu wa Uendelezaji wa Jiji la Dodoma wa mwaka 2019–2039. 3. Wizara zinazohusika na huduma za kijamii zihakikishe huduma hizo zinapatikana kikamilifu. 4. Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji iendelee kuhamasisha na kuvutia uwekezaji ili kuunga mkono maendeleo ya Jiji la Dodoma.
38
91
3
259
28,007
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hii tabia wanayo kitambo
Manchester kama pombe ya ngomani. Kila mtu anakunywa
6
1,495
Kocha hata Krismasi hajafikisha πŸ˜‚πŸ˜‚
1
1
23
2,396
When you slow down, life rewards you. 😊
2
29
551
Chege + Temba + Juma Nature + Simba πŸ˜‚πŸ˜‚ Lazima uipambe kazi yako πŸ˜‚
12
348
17,517
Huu utulivu imedhaminiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania.
2
32
2,359
Ukiuza Toa Risiti, Ukinunua Dai Risiti.
15
2,761
DREAMS ft FID Q,, hii Ngoma mjadala ulianzia hapa enzi za Twitter ,, Kwa sasa Deni tushalikamilisha!! Ahsanteni ipo kwenye all Digital platforms!
9
32
3
124
4,764
Mbona kama kuna mchezaji kaiga pozi la beki wa Utopolo? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
12
15
551
11,415
Mafundi magari, ukienda kwa mwingine, anakwambia aliyepita amekosea kufanya kitu fulani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
15
3
1
206
13,065