J.SON (@Json_57) header
J.SON (@Json_57) profile picture

#ELECTRICAL_ENGINEER_Tz⚡ FAN 👉Arsenal🔴 || real madrid⚪ & YoungAfrica sc🔰 #black_bad_boy_MLOCAL

+255
Joined November 2020
Photo by J.SON (@Json_57)Photo by J.SON (@Json_57)Photo by J.SON (@Json_57)Photo by J.SON (@Json_57)Photo by J.SON (@Json_57)Photo by J.SON (@Json_57)Photo by J.SON (@Json_57)Photo by J.SON (@Json_57)Photo by J.SON (@Json_57)Photo by J.SON (@Json_57)
HATUFORCE KURUDISHA WALIO POTEA TUNA DEAL NA WALIOPO..🤞🤞
35
10
81
8,271
Ukisali Muombe Mungu Akufungulie milango ya Baraka, na akupe uwezo wa kujihudumia bila Kutegemea Mtu, 🙏🏻
12
30
58
700
Mabinti wengi walioolewa ni wale walipoalikwa dinner waliuliza tu lini na wapi. Wengi bado wanaishi makwao na magheto ni wale wanapoalikwa huanza “Nywele zangu chafu” “Kucha zimekaa upande”, “sina nauli nitumie” Kiasili Mwanaume anakerwa na Mwanamke anayeleezea sana shida.
13
25
139
6,755
Usinishauri chochote utanichanganya :
2
242
Kama huwezi kuruka kimbia., Kama huwezi kukimbia tembea., Kama huwezi kutembea jaribu kutambaa, Lakin chochote unacho fanya lazima uendelee mbele. #M.L. ✍️
3
14
972
Maua yasikufanye uzae November..😁😁
2
9
685
Anakula ada ya mazazi😁😁
2
1
10
690
Broo subir kwanza.. Haya Tukiri sakrament ya ubatizo ..
1
9
405
Wanaume wote duniani nawatakia skukuuu njema muendelee kuwa Vichwaa jamani. Nawaombea muishi miaka mingi sana ili muendelee kutuongoza Zaidi vipato vyenu vikajazweee🙏 Damu ya Yesu kristo iendeleee kuwalinda kila muingiapo na mtokapo.😍❤️ NB: Hii ni wanaume na si wavulana
18
15
3
81
3,186
⭐️ UEFA's PØTM ⭐️
542
7,240
446
85,549
2,030,079
Wa mkoani wanadhani ukiwa Dar umesha toboa ..., Njoon na nyie mkae muone kama mtatuma hela nyumbani😂😂😂 Dar pagumu hata Serikali yenyewe imepashindwa imekimbilia Dodoma😁🙌🙌
1
5
451
Kuna mwizi huku kaiba vibanio kaacha jezi ya chelsea😂😂😂🙌🙌
3
183
Drop your handles we follow you immediately 🍁🕊️
230
110
368
9,466
“Maisha ya Mwanaume yanahesabika kama Sadaka. Unashinda bila kula Ili Familia iweze Kula” 🚶🏿‍♂️
26
73
3
580
13,130
So happy to be back. And feels like i never left... What a win from this group! Let's go, gunners! 💪🏾🙏🏾🔙 #gratidão #alômãe
1,885
9,924
722
108,028
3,293,372