Jonas Justin Mshema retweeted
Tabia njema inalipa inaweza isiwe kwa muda unaotaka au kwa haraka uaminifu ni kitu kikubwa sana.
Jonas Justin Mshema retweeted
Utajiri haukupi utajiri, bali nguvu za Mungu ndizo zinazokupa utariji.
-Kumbukumbu 8:17-18
~Mwl Mwakasege.
Jonas Justin Mshema retweeted
Maisha yamenifundisha wazi kuwa mtu yeyote anaweza kubadilika bila kujali historia au ukaribu wenu.
Watu hubadilika wanapokutana na watu wapya wanaowaona bora kuliko wewe.
Tambua hali hii mapema.
Endelea na maisha yako.
Usiruhusu vitendo vyao vikuyumbishe.
Jonas Justin Mshema retweeted
Yesu anakupenda anza mwaka na kumjua yeye. Tubu dhambi zako mpokee moyoni mwako. Utakuwa umeanza safari na Yesu. Utakuwa umeanzisha mahusiano yako na Mungu. Anza mwaka na Mungu. Njoo kwa Yesu.
Jonas Justin Mshema retweeted
Isaya 9:6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.
Jonas Justin Mshema retweeted
Siku ya Krismasi ikukumbushe ahadi ya Agano jipya, ni ahadi ya wokovu, Yesu kuja kukaa ndani ya mioyo ya wanadamu. Kula wali wakati Yesu hayupo ndani yako unasherehekea siku na kula siyo kuja kwa wokovu Duniani. Kuzaliwa kwa Yesu ni udhihirisho wa mtu anayeitwa wokovu. Alleluia.
Jonas Justin Mshema retweeted
Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako, Fadhili na kweli zahudhuria mbele za uso wako.
Zaburi 89:14
Jonas Justin Mshema retweeted
Jezi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/26. #NguvuMoja
Jonas Justin Mshema retweeted
Tunaanzia wapi kuomba?? Tunaanza kuomba kwa kuorodesha vitu ambavyo unataka Mungu asikie. Ukishamaliza kuorodhesha unampelekea Mungu kwa njia ya kuongea ulichoandika. Hii ndiyo maana ya kuomba. Kuomba ni kuzungumza na Mungu. Kuomba ni kumpelekea Mungu mahitaji yako. Kuisikisa
Jonas Justin Mshema retweeted
Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo, Na waliopondeka roho huwaokoa.
Zaburi 34:18
Jonas Justin Mshema retweeted
Kitu kingine ambacho unapata kwenye maaandiko ni uelewa jinsi Mungu alivyofanya kazi na mtu fulani kwenye kitu unachoombea. Unapata uhakika kama hiki kitu kilimtokea mtu kwenye maandiko na Mungu akamsaidia kwa njia ile na mimi atanisaidia. So ufahamu wako namna Mungu alimsaidia
Jonas Justin Mshema retweeted
When you decide to take a road which is less traveled, be ready to go alone.
Jonas Justin Mshema retweeted
馃挭馃馃挭 #NguvuMoja
Jonas Justin Mshema retweeted
The lower Class Spends
The Middle Class Saves
The Upper Class Invest
The Wealthy LEVERAGE
#AskMwenda













