“when you are discussing difficulties or
failures, I hope that you will be prepared to
go to the root of the matter, if necessary.”
Mwl. JKN
Kwa hesabu za kwenye Biblia hii gari haikuwa na watu.
Video inayosambaa mitandaoni imeibua mshangao baada ya askari wa Polisi kuonekana akiwashusha abiria 27 waliokuwa wamejazana ndani ya gari aina ya Toyota Spacio, lenye namba za usajili Z 844 AAU.
Tukio hilo limetokea Zanzibar, ambapo gari hilo lenye uwezo wa kubeba abiria wasiozidi saba lilikutwa likiwa na watu 27, hali iliyozua mshangao kutokana na wingi wa watu waliokuwa ndani yake.
Video hiyo imeendelea kusambaa mitandaoni na kuzua gumzo miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii. Hata hivyo, sababu za kusafirishwa kwa abiria hao kwa idadi hiyo na mazingira kamili ya tukio bado hazijafahamika.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
S-400, wanatarajia kupigana na nani hawa?
Our comprehensive efforts to sustainably ensure our country's peace and security have reached a new milestone today. The state of readiness being built within Ethiopia's defense forces is endowing the nation with the capability to preemptively deter aggression.
In accordance with our prior agreement with the Russian government, we have today taken delivery of the first twelve Su-35 4++ Generation fighter jets. Additionally, Ethiopia will receive four S-400 air defense system batteries.
I would like to express my gratitude to my friend, Russian President Vladimir Putin, for his dedication in ensuring we received these warplanes a year ahead of our agreed schedule. By equipping itself with these fighter jets, Ethiopia has taken the lead among Sub-Saharan African nations.
This historic achievement further strengthens our nation's sovereignty, and it will serve as a massive capability boost that allows us to confidently continue our journey toward ensuring our collective security and regional stability in the future.
Jenerali Mkurugenzi wa Vyama mbali mbali retweeted
Journal of Environmental Engineering, Vol. 152 No. 12, December 2026 is now available online!
ascelibrary.org/toc/joeedu/1…
Habari moto moto......
Tanzania’s Vice-President, Deogratius John Ndejembi, traded the formalities of office for some court action in Sumbawanga on Wednesday, October 14, 2026, taking to the basketball court shortly before the launch of the Rukwa Region Basketball League.
instagram.com/p/DegR91LmCD8/…
Kwanini mtu aseme yeye yatima?
HESLB yatafuta muarobaini wanaojifanya yatima, walemavu kwa ajili ya mikopo
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu imedhamiria kutafuta suluhu juu ya usahihi wa taarifa kwa kushirikiana na taasisi zingine ili kuimarisha huduma yake ya utoaji mikopo.
"Wengine wanasema yatima lakini siyo yatima, sasa hizi ni changamoto ambazo tunakumbana nazo. Lakini tukishirikiana wala hatuhitaji yeye atumbie. Sisi tutakuwa tunajua na hiyo itatupelekea kuboresha mifumo yetu na kumfanya kijana asihangaike sana, na vile vile kutoa huduma bora kwa wakati," ameeleza Bill Kiwia, Mkurugenzi Mtendaji wa bodi hiyo.
Kiwia alikuwa akizungumza katika kikao kazi kati ya viongozi na watumishi kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya juu HESLB na Wadhibiti Ubora wa Shule.
Wiki ijayo nipo chato hapo tutete Kidogo Mzee.
Umetuponza, ilishindikana kukaza? Kuwawahi?
Jiandae na majibu kamili.
Mwanzo nilijua ni ragebait, lakini sio .
We dogo una matatizo.
Kila dakika Kenya hivi, Kizungu vile......
"Waziri wa Mambo ya kenya na Kingereza"
This quoted post is unavailable.
Hongera sana, wewe umeiwakilisha MPLA sio?
Changing my name to "Jenerali Mkurugenzi wa Vyama mbalimbali"
#Masisi : les Wazalendo présentent plusieurs combattants de la coalition rebelle AFC-M23-RDF capturés au combat ainsi qu’une importante cargaison d’armes
Vidéo ⤵️
Huyu Hamis Mwinjuma kutwa yupo "Disco" au busy na "unaibu", huwa anaenda kuwaskiliza wananchi wake Jimboni kweli?
Siasa za Njombe si sawa na siasa za Dar es salaam.
Wala Siasa za Bukoba si sawa na siasa za Mtwara.
Siasa za Zanzibar si siasa za Tanganyika. Zanzibar ina historia yake, mazingira yake ya kisiasa, taasisi zake na masuala yake mahsusi. Kuelewa siasa za Zanzibar kunahitaji kuielewa Zanzibar kwa misingi ya historia, Katiba na uhalisia wake, si kuipima kwa mizani ya siasa za Tanzania Bara.
Hoja, kejeli na matusi yote nayakaribisha!
Huyu atatuponza.......
Wizara ya habari, Utamaduni Sanaa na Michezo leo Septemba 18 imefafanua kuwa Waziri wake Paul Makonda anatarajiwa kuunda Kamati ya kuchunguza mkataba wa mzabuni wa jezi za Taifa Stars ili kubaini manufaa ya makataba huo kwa Timu za Taifa.
Taarifa ya Wizara hiyo imeeleza kuwa Waziri huyo hatambui matangazo ya jezi za Timu za Taifa kwakuwa mchakato wa kuzibadilisha jezi hizo haukushirikisha Wizara hiyo licha ya maelekezo aliyoyatoa mwezi February 2026. #MillardAyoUPDATES
Kambona alifanya nini Kwenye hili?
Mutineers hawakuwa na Lengo la kupindua serikali.
Lengo lilikuwa ni kuondoa ma Officer wa kizungu.
And yes, shukrani Kwa British Royal marines waliokuwa Yemen kwa Operation Floodtide ✅️✅️
Replying to @EduTalkTz
1964 Jan , aliloenda kupata hifadhi kigamboni lilikua la kweli na bila Kambona na the British Royal Marines , alikua anapinduliwa
Renee...🎶
Mabibi na Mabaunsa, Wadai kwa Wadaiwa, Wenye nyumba na wenye vyumba, habari zilizonifikia kwenye chumba cha habari jioni hii ni kwamba Kamati ya Maandalizi ya Matamasha ya Miaka 30 ya Bongofleva imefikia makubaliano rasmi na Rapper wa Marekani Mr. Cheeks kuja kutumbuiza katika tamasha la Arusha tarehe 19 September.
Na kwa tangazo hilo basi Mashabiki wa Mr. Cheeks wa ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania ikiwemo Kenya, Rwanda, Zambia, Uganda, South Africa na kwengineko tutakutana katika Viwanja vya General Tyre, Arusha Tanzania tarehe 19 September. #MillardAyoUPDATES

































