Sehun (@KingHmself) header
Sehun (@KingHmself) profile picture
Joined December 2016
Photo by Sehun (@KingHmself)Photo by Sehun (@KingHmself)Photo by Sehun (@KingHmself)Photo by Sehun (@KingHmself)Photo by Sehun (@KingHmself)Photo by Sehun (@KingHmself)Photo by Sehun (@KingHmself)Photo by Sehun (@KingHmself)Photo by Sehun (@KingHmself)Photo by Sehun (@KingHmself)
TBH who will offer burnaboy $5M just to perfom on a single night..He is African Giant but he ain't worth that
Burna Boy is Africa's highest paid Artiste. He was paid $1.1 million to headline the 2022 World Creole Music Festival in Dominica. He was paid $750,000 twice to perform twice at Coachella 2023. He turned down a $5 million offer to perform in Dubai and $1 million offer to perform in Nigeria. He is Africa's highest grossing Touring Artiste. 14 of his concerts grossed $15 million. Paris La Defense Arena 🇫🇷 | $2.86 million Madison Square Garden 🇺🇸 | $1.58 million Ziggo Dome 🇳🇱 | $1.56 million Capital One Arena 🇺🇸 | $1.43 million O2 Arena 🇬🇧 | $1.35 million BMO Stadium 🇺🇸 | $1.22 million State Farm Arena 🇺🇸 | $905,024 Oakland Arena 🇺🇸 | $885,278 Hallenstadion 🇨🇭| $822,939 Addition Financial Arena 🇺🇸 | $636,923 American Airlines Center 🇺🇸 | $559,332 Climate Pledge Arena 🇺🇸 | $495,533 Rogers Place 🇨🇦 | $450,087 3Arena 🇮🇪 | $378,802
1
1
181
bro try to act like he is tough guy from the hood but all we see is soft ass nig*r
This quoted post is unavailable.
1
1
100
This is how our Media report Catastrophies....Propaganda Makers
#MICHEZO Unaambiwa nyota kutoka nchini Congo anayekipiga katika klabu ya Rayon Sport ya nchini Rwanda, Héritier Luvumbu, amevunjiwa mkataba na klabu yake mara baada ya kufunga goli na kisha kushangilia kwa Ishara ya kuweka mkono juu ya mdomo na vidole kichwani staili ambayo inaashiria kupinga mauaji yanayoendelea nchini Congo.
1
92
I like my new tent #Gaza
78
396
42
1,775
289,055
Kuna vijana kibao wakiume ambao hawajuagi thier taste of fashion, hii ipo ata kwa nyota wetu wa mpira apa Bongo. Husivae dress code flani just because mtu flani katupia. Find your own taste. Halaf smell nice. Tabia yakupendezaga halaf mnanuka Jasho that shit is sick for real.
7
6
25
685
Nilidhani hii kitu ipo upande wa +255 tu kumbe kila kona ya TL 😂🙌
2
4
12
472
Shida y huu uzi ni moja tu,umefanya analysis kwa kuangalia mapungufu ya Putin pekee,Hujagusia mahala popote ambako Putin ameyataja mapungufu ya Western countries. Umetoa analyisis kwa manufaa ya hisia zako tu.
Nimeangalia mara 2 Interview ya masaa mawili ya Tucker Carlson aliyofanya na Vladimir Putin, Kremlin- Moscow. Ni moja ya Interview kubwa zaidi ktk kizazi chetu, ukiacha interview ya Michael Jackson na Oprah Winfrey, 1993. Here is my analysis. Uzi 🧵
43
Kama huwezi ni-support kwakununua basi naomba ni-support kwaku Repost tu. 🙏 ☎️ 0626 899 093
17
278
3
344
19,190
Mtu unaeza hisi ana akili ila akaongea upumbavu mpaka uka shangaa
Kakosea kuendesha gari akiwa amelewa je unadhani ni sahihi kumrekodi na kuweka video mtandaoni? Unajua ni familia ya watu wangapi inamtegemea? Na akishafukuzwa kazi utafaidika na nini? Muda mwingine kabla hamjafabya kitu mjitafakari kwanza msiwe chanzo cha kuharibu maisha ya watu
1
1
62
Sad reality ni kwamba kwa sasa JohMakini anamuhitaji zaidi Jay Melody kuliko Jay Melody anavyomuhitaji Jay Melody...Kazi ya ku promote wimbo ni kazi ya management ya Johmakini...Huu uswahili wasanii wabongo wataacha lini
Licha ya Jay Melody kushirikishwa na Joh Makini kwenye ngoma ya “Formula” Jay Melody sio tu hajafanya chochote ku-promote wimbo huo bali hata cover ya wimbo hajapost. Joh Makini kupitia mtandao wa Twitter(X) ameonyessha kutofurahishwa na jambo hilo.
1
98
Moja ya mila za wamasai ni kufuga ng'ombe wengi...Kama vp waruhusiwe waje na ng'ombe wao K/Koo ili tudumishe mila
1
2
75
Vingereza vingi vya nn kwenye mjadala wa kiswahili...Very hopeless
Okay so, they’re waist deep in the water and they’re carrying and electricity post that could be on or off at any time? Sir this is not heroic this is reckless.
1
70
so this is what Phycist are? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Replying to @eastafricatv
Mmoja wa faida tuliyonayo ni kuwa na mwanafizikia aliyena umri mdogo zaidi kwa sasa na huyu anaitwa flower unaonaje kwenye maswala ya fizikia tukamtumia flower Basi flower apewe mauwa yake. #EastAfricaTv #EastAfricaRadio #Skonga #Urai #Tanzania #Maharage #Fizikia
2
61
Nmekua nikipita hii njia kila siku namkuta huyu baba anapack bidhaa zake kwa ajil ya kuanza kuuza kwa baiskel yake siku zote nlkua nampita tu lakin leo nilipompita nkafika mpk dukan nataka kufungua nkamwambia boda kuna mahali nataka turudi basi nkaenda mpk kwa huyu baba nkamsalimia ila uson kama ana huzuni hvi😔 nkamwambia nataka uniuzie vitu vya 30k akanyanyua mikono juu akasema " Alhamdulillah asante Mwenyezi Mungu" na uso wake ukaanza kuwa na furaha mpk naondoka anatabasam tu 😊 Akanipa vitu vyangu akanibariki pia hapa nina aman tele😍
205
117
11
1,151
122,970
Niggas acting like BAM is so simple 🤣🤣🤣🤣🤣
Replying to @rollymsouth
Mwanzo nilikua silipendi sana kusema kweli ila nilikuja kupata msaada wa ushauri tu na namna nzuri ya kulisoma nikapenda kujifunza then nikaanza kulimaster, the rest ni history
1
101
Kwan ukiwa CCM akili hua zinapotea..Yes wamejaziwa mafuta ili wakaandamane,Siku nzima huyo kijana kazi hatafanya hesabu ya boss utampa wewe,hela ya kula utampa wewe...Utayar wa maandamano sio mafuta tu kuna cost zaid ya mafuta.Alafu nikiona kibibi kinaongea nonsense hua nakereka.
Replying to @HKigwangalla
Wameshajaziwa mafuta yakutosha 😂
1
102
Shida si Ajenda Lets Hear it 😊😊
184
432
39
2,864
181,845
Palestine get their first-ever Asian Cup win with a 3-0 victory vs. Hong Kong and advance to the last 16 for the first time. HISTORIC 🇵🇸
690
13,976
1,049
71,570
3,711,911
Hii story nilijua ni ya uongo pale uliposema dereva bajaji alikuita dada.. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jana nilipanda Faras ya bajaji dereva akawa amewasha redio na chaneli aliyoweka wakawa wanaongelea maandamano. Yule dereva akaanza kuniambia, ila dada unajua huku ni kurudishana nyuma kimaendeleo mimi nikamuuliza kivipi? akasema " unajua Tanzania hatuna hali mbaya kivile mpaka watu tuanze kuingia barabarani, kumbuka mtu anaacha biashara zake anaingia barabarani kwa kitu ambacho sote tunajua serikali inafanyia kazi. Sasa dada ebu niambie wanavyosema wataandamana kesho (ambayo ni leo) unahisi ndo watapata majibu siku hiyohiyo? Aya wakishamaliza kuandamana wanarudi nyumban kwao hawajaingia senti mia alafu baadae waje walalamike kwamba maisha magumu. Mimi naona kuna vitu vingie tutumie akili za kuzaliwa nazo tu, Kenya wameandamana mwisho wa siku watu wanakufa na biashara zinaharibiwa ya mambo hovyo tu" Yule dereva aliongea mambo mengi sana mpaka nikasema aisee kumbe Tanzania ina watu wanajitambua hivi. Anyways, mwenye macho aambiwi tazama, kama mnaona maandamano yatawapa msosi sawa, yatawapa wateja sawa n.k. Ila baadae msije kulalamika kwamba mambo magumu. Hii nchi sasa ina demokrasia na uhuru, wahenga wanasema mtoto akililia wembe mpe😊 Muwe na maandamano mema.
54