Lucky Msuya Kingker (@LKingker) header
Lucky Msuya Kingker (@LKingker) profile picture

Let's Take Care Of Your Silence,, And Let Them Talk To Your Action.

Tanzania
Joined January 2019
Photo by Lucky Msuya Kingker (@LKingker)Photo by Lucky Msuya Kingker (@LKingker)Photo by Lucky Msuya Kingker (@LKingker)Photo by Lucky Msuya Kingker (@LKingker)Photo by Lucky Msuya Kingker (@LKingker)Photo by Lucky Msuya Kingker (@LKingker)Photo by Lucky Msuya Kingker (@LKingker)Photo by Lucky Msuya Kingker (@LKingker)Photo by Lucky Msuya Kingker (@LKingker)Photo by Lucky Msuya Kingker (@LKingker)
Chunga Sana Mdomo Wako,Usije Ukakupeleka Sehemu Ambayo Miguu Haiwezi Kukurudisha.📌
5
Upendo Ni Kupenda Usipopendwa.Sio Kupenda Unapopendwa. Hata Nuru Huonekana Kwenye Giza Ila Sio Kwenye Mwanga. Hivyo Unapaswa Ujue Kwanza Nini Maana Halisi Ya Upendo Vyema. Kwani Jukumu Letu Hapa Duniani Ni Kupenda Bali Sio Kupendwa. ❤💘❤ #ElimikaWikiendi
1
9
11
230
Washukuru Adui Zako Maana Chuki,Fitina Na Ubaya Wao Ndivyo Vinavyokunoa Na Kukufanya Uwe Imara Zaidi. #ElimikaWikiendi
4
13
29
336
Usimuache Yule ANAYELIA USIKU Kwa Kukosa Amani Kwenye Mahusiano Yenu.Ukamfata Yule ANAYEKUCHEKESHA MCHANA.Muda Mwingine TUNAWANYIMA Muda Wale TUNAOWAHITAJI Na KUKIMBILIA Kwa Wale Wanaokuwa Sababu Ya Kukosa FURAHA Kwenye MAISHA Yetu. Kuwa Makini Hapo...✍🏼 #ElimikaWikiendi
1
3
10
202
Lingine Tulilojifunza Kwenye Maisha Kuna Mahali Ukifika Unapaswa Ukubali Kuwa Kama Kiatu Cha Mwanajeshi,Yani Una Kanyaga Kwenye Kila Aina Ya Mazingira Magumu Lakini Bado Upo Imara. #ElimikaWikiendi
2
10
14
179
Katika Maisha Kuwa Kama Maji,Ukiwekwa Kwenye Chombo Chochote Unajua Namna Ya Kuishi Bila Kupoteza Thamani Yako. #ElimikaWikiendi
8
15
180
Mungu Asante Kwa Zawadi Ya Siku Mpya,Pumzi,Na Ulinzi Wa Usiku.Naomba Unipe Hekima,Amani,Na Nguvu Za Kukabiliana Na Majukumu Ya Leo.Niongoze Katika Njia Zako,Nilinde Na Mabaya,Na Unisaidie Kutenda Mema Kwa Wengine.Amina🙏🏼 Good Morning🌄Ladies And Gentlemen🫂
5
13
20
282
Usiache Kuwa Mtu Mwema,Badili Tu Watu Unaowaonyesha Wema wako.✍🏼
5
3
14
183
Kuwa Mwema Haimaanishi Ukubali Kila Kitu. Unaweza Kuwa Na Moyo Mzuri Na Bado Ukasema HAPANA.Unaweza Kuwajali Watu Bila Kuruhusu Wakutumie Vibaya. Wema Bila Mipaka Unaweza Kukugharimu Amani Yako.
4
12
19
219
Mwanaume Anayesema Leo Sina,Lakini Nitapambana,Ana Thamani Kubwa Kuliko Anayeishi Maisha Ya MAIGIZO.Kwa Sababu Anayesema UKWELI Anakupa Nafasi Ya Kujenga Maisha Pamoja Naye,Lakini MUONGO Anakunyima Hata Nafasi Ya Kujua Unaishi Na Nani. Good Morning🌄Ladies And Gentlemen🫂
10
15
17
203
Mkumbushe Mwanao Kuwa 5+5=10,Lakini Pia Hata 6+4=10.Kwahiyo Kama Yake Ni 9+1=10,Kuna Ambaye Ni 8+2=10 Na Kuna Sisi Ambao 0+10=10.Mkumbushe Siku Zote Katika Maisha Hatuwezi Kuwa Sawa Ila Tunaweza KUHESHIMIANA.
5
9
25
284
Ewe Mungu,Katika Siku Hii Ya Leo,Tusamehe Madhambi Yetu,Tuondolee Huzuni Na Mahangaiko Yetu,Waponye Wagonjwa Wetu,Warehemu Waliotangulia Mbele Ya Haki,Tutimizie Mema Tunayoyatamani Na Uturuzuku Kutoka Pale Tusipotarajia.🤲 GOOD MORNING🌄LADIES AND GENTLEMEN🫂
16
19
28
411
Usiogope Kwenda Sawa Na Tabia Za Watu.Wakati Mwingine,Njia Pekee Ya Kuwafanya Wakuheshimu Ni Kuwatendea Jinsi Ambavyo Wao Wanakutendea.✍🏼
1
6
13
242
Ishi Vizuri Na Kila Mtu,Heshimu Wote Na Usimchukie Yeyote.Lakini Kumbuka,Si Kila Anayekuchekea Anakutakia Mema.Kuwa Mwema Kwa Wote,Lakini Usimwamini Kila Mtu. Maisha Yanahitaji Moyo Mzuri,Macho Ya Kuona Na Akili Ya Kutambua.✍🏼
3
11
17
492
Usiogope Ukubwa Wa Changamoto Unazopitia.Mungu Anaweza Kukutana Na Shida Yako Na Kuigeuza Kuwa Ushuhuda,Machozi Yako Kuwa Furaha,Na Majaribu Yako Kuwa Mlango Wa Baraka. Kumbuka:Mungu Anapokutana Na Shida Yako, Mwisho Wake Si Kushindwa Bali Ni Ushindi.✍🏼 Good Morning
14
14
20
443
Aliyegundua Taa,Naye Alizikwa Gizani.Punguza Dharau Maisha Hubadilika.✍️🙌
3
17
22
293
Marafiki Vinyonga Awawezi Kukusumbua.Kama Ukijua Rangi Zao.Wanapo Igiza Chukulia Kama Elimu.Ila Matendo Yako Chuja Yasiwe Fimbo Kwao.✍️
2
10
22
302
Jifunze Kutabasamu Hata Wakati Mambo Hayaendi Kama Ulivyopanga.Si Kila Vita Vinahitaji Watu Wajue Unapitia Nini.
2
12
15
248
"Jitahidi Sana Matendo Yako Yawe Ndio Yanajazilizia Maneno Yako Na Si Maneno Yako Kujazilizia Matendo Yako."
3
12
28
399
Kila Asubuhi Ni Mwaliko Mpya Wa Kumtumaini Mungu Tena,Huenda Siku Ya Jana Ilikuwa Ngumu,Maombi Yako Yanaweza Kuwa Bado Hayajajibiwa,Na Baadhi Ya Maswali Yanaweza Kuwa Bado Hayajapata Majibu,Lakini Uaminifu Wa Mungu Hauko Kwenye Jaribio,Yeye Bado Ni Mungu,Na Bado Ni Mwema. Morning
10
15
24
317