LAST BORN🇹🇿 (@Last_born97) header
LAST BORN🇹🇿 (@Last_born97) profile picture

@YoungAfricansSc | @manutd | POLITICAL ANIMAL | DON'T TRUST MY SMILE | A WOUNDED BUFFALO | AM NOT LUCKY, AM BLESSED | I LOVE MYSELF | SELECTIVE SOCIAL #WANAZIHQ

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2016
Photo by LAST BORN🇹🇿 (@Last_born97)Photo by LAST BORN🇹🇿 (@Last_born97)Photo by LAST BORN🇹🇿 (@Last_born97)Photo by LAST BORN🇹🇿 (@Last_born97)Photo by LAST BORN🇹🇿 (@Last_born97)Photo by LAST BORN🇹🇿 (@Last_born97)Photo by LAST BORN🇹🇿 (@Last_born97)Photo by LAST BORN🇹🇿 (@Last_born97)Photo by LAST BORN🇹🇿 (@Last_born97)Photo by LAST BORN🇹🇿 (@Last_born97)
Unahama kwenu wanajua unawaza maisha kumbe unatafuta Uhuru wa kudinya😃
132
114
5
1,433
121,700
City 🤔🤔😳😳
6
280
Inachekesha kama sio nchi yako😃🙌
3
9
1
92
1,057
Hakuna kazi ngumu kama kuutetea uongo, hasa pale ukweli unapojulikana.🙌📌😃
3
49
422
4,964
Mwanamke ni moja ya viumbe hatari sana ambayo Mungu ameviumba, tulisisitizwa kuishi nao kwa akili🙌🙌🙌
9
7
177
13,482
Kutegemea misaada wakati wa kujenga nyumba yako kunaweza kukunyima uhuru wa kuishi kwako mwenyewe, hata ukiwa na hati miliki ya iyo nyumba.📌
2
6
70
1,059
𝗸𝘂𝗻𝗮 𝘄𝗮𝗸𝗮𝘁𝗶 𝘄𝗮𝗰𝗵𝗮𝗻𝗴𝗮𝗻𝘆𝗲 𝘃𝗮𝗮 𝗸𝗶𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲 𝗰𝗵𝗮 𝗺𝗸𝗲𝗼 𝗮𝘂 𝗴𝗮𝘂𝗻 𝗹𝗮 𝗵𝗼𝗻𝗲𝘆 𝗸𝗮𝗮 𝗻𝗻𝗷𝗲 𝗼𝘁𝗮 𝗷𝘂𝗮....𝘄𝗮𝗽𝗲 𝗺𝗮𝗱𝗮 𝘄𝗮𝗸𝘂𝘁𝗮𝗻𝗴𝗮𝘇𝗲.
3
6
57
960
Imefika hatua injili tunaachiwa masela na wahuni waitangaze! Leo maji ya upako, kesho gesi, mafuta na mawe. Bora tubaki na imani yetu na Yesu mioyoni kuliko kutapeliwa na kufanywa wajinga na watu wanaotumia jina la Yesu kujipigia pesa.
1
2
70
1,092
Mimi nalala ila Usidate na mwanamke mweupe kama huna pesa usije ukaishi na madeni😃😃😀
1
9
92
1,300
Usiache Kupambana Umaskini Unakuja Na Dharau Nyingi Sana.
3
10
94
1,388
Tumewasamehe, lakini makovu bado yapo. Mungu mwenyewe ndiye atakayatulipia, InshaAllah. 🤲💔
2
23
687
🕊️ RIP kwa roho zilizopotea 29 Oktoba. Poleni kwa familia zilizopoteza wapendwa wao. Haki itapatikana, kama si hapa duniani basi Siku ya Qiyama, InshaAllah. 🤲💔 Aliyeiona post hii aseme AMEN.
3
34
135
1,311
Oya wanaume wenzangu, kama umepata nafasi ya kumtesa mwanamke kwenye mapenzi, naomba umteseni kwa niaba yangu, Nisaidieni kulipiza kisasi kwa Salome 😂😭🔥
17
26
1
202
4,100
Kuna benki za kiwaki sana, angalieni balance zenu🙌😅
18
22
3
380
21,220
Shwaaaaaaaaa
Weka figo na Hela ya kodi 😅😅😅
33
1,227
Endeleeni kukaza vichwa😅😅
Kama umebetia Barca kushinda game ya leo, cash out haraka sana kabla mambo hayajabadilika! Usije ukajilaumu baadaye. 😂🔥
18
440
Weka figo na Hela ya kodi 😅😅😅
2
1
1
18
1,825
Kama umebetia Barca kushinda game ya leo, cash out haraka sana kabla mambo hayajabadilika! Usije ukajilaumu baadaye. 😂🔥
3
1
27
956
Wanataka uanguke, lakini wanapokuwa na shida zao, wanakukumbuka na kukuhitaji.
2
20
142
2,436
Kama FC Porto na Atlético Madrid wangeshinda, kila mtu ambaye ange-like hii post angeokota 100K! 😂🔥💸
6
2
77
1,178
Ndugu na marafiki zetu mara nyingi huwa na matarajio fulani kuhusu kiwango cha mafanikio yetu. Unapovuka kiwango hicho, ghafla mafanikio yako huanza kuwa kero kwao.
1
10
74
1,087