Mtv (@MTVDRC) header
Mtv (@MTVDRC) profile picture

Compte officielle de la chaîne de télévision Malivika TV (MTV DRC) E-mail: [email protected] Tél: +243 990 667 466

République Démocratique Du Con
Joined February 2023
Photo by Mtv (@MTVDRC)Photo by Mtv (@MTVDRC)Photo by Mtv (@MTVDRC)Photo by Mtv (@MTVDRC)Photo by Mtv (@MTVDRC)Photo by Mtv (@MTVDRC)Photo by Mtv (@MTVDRC)Photo by Mtv (@MTVDRC)Photo by Mtv (@MTVDRC)Photo by Mtv (@MTVDRC)
Haut uele Wafanya kazi wa afia watishia kuingia mgomo kutokana na kutolipwa.
54
Cantine/Beni Wakaazi waomba kodi mbali mbali kufutwa kwenye vijiji kutokana na mashambulizi ya watu wanai dhaniwa kiwa ADF.
1
72
Lori zaidi ya sitini (60) nyingi za wasomlia zaendelea kubaki katika eneo la Bafwasende wakikemea unayanyashwaji na serikali .
70
Kuna hofu ya kusambazwa kwa ebola kutokana na mashambulzi ya watu wanao dhaniwa kuwa ADF wilayani Beni na Lubero,wana vijiji wakihama makaazi yao kwa nguvu.
71
EBOLA BENI Prisca luanda aomba wakaazi wa Beni kushika maagizo ya madactari kupambana na ebola.
61
SOS ma dereva kutoka somalya Horia wazuliwa na gari zao za mafunta bafwasende DRC .wakiomba msaada wa usalama kwa haraka.
83
Rwanda yaomba FDLR walieko katika misitu ya DRC kurudi Nyumbani kwani walio jisalimisha kwa sasa waishi vizuri na kupewa ajira.
56
Beni/Lubero makaazi ya watu yaendelea kushambuliwa na watu kutekwa na ADF katika uangalizi wa serikali na MONUSCO wilayani Beni na Lubero.
63
Mashambulizi na miji na vijiji yaendelea mbalako na Cantine wilayani Beni.mashariki mwa Congo DRC.
1
50
ADF/Mabalako Mashambulizi ya vijiji vya mabalako wilayani Beni na watu wenye silah wanao dhaniwa kuwa ADF kivu Kaskazini ya sababisha watu kuhama vijiji vyao.
43
DRC/BENI/LUBERO Nini yahitajika kuwapa usalama wakaazi wa vijiji vya lubero na Beni ambako wakaazi waandamwa na ADF,na kuwalazimisha kuhama vijiji vyao.
1
121
Jeee ,nini mchango wa MONUSCO kuhusu amani na usalama DRC ,maoni yako.kwa zaidi ya miaka ishirini na tano.
2
125
DRC/Butuhe Hali ya wasiwasi yaripotiwa Mwenye magharibi mwa Butuhe baada ya watu kutekwa eneo la Mwenye. Huku wakaazi,wana vijiji wakihama makaazi yao na kupiga kambi katika Mji wa Butuhe ambako hawana chakula na msaada.
88
DRC/Ebola/Butembo Wafanya kazi wa afia wanao saidia kupambana na Ebola wadai malipo yao ya muda mrefu. Wauguzi na madactari wasema wafanya kazi katika mazingira magumu bila kukipwa kwa muda unao faa wenzio wakiambukizwa na hata wengine kufariki Dunia.
55
FRN YAJIBU MSF KUHUSU RIPOTI YAKE youtu.be/lZ4DyyGKB1E?si=hkSL… via @YouTube
1
71