Michael Mafuru (@M_Mafuru) header
Michael Mafuru (@M_Mafuru) profile picture

Born to Love & Help Others |Mafuru Foundation |A Better Life For All |[email protected]| Donate - Mpesa Lipa No. #58240194

Tanzania
Joined October 2010
Photo by Michael Mafuru (@M_Mafuru)Photo by Michael Mafuru (@M_Mafuru)Photo by Michael Mafuru (@M_Mafuru)Photo by Michael Mafuru (@M_Mafuru)Photo by Michael Mafuru (@M_Mafuru)Photo by Michael Mafuru (@M_Mafuru)Photo by Michael Mafuru (@M_Mafuru)Photo by Michael Mafuru (@M_Mafuru)Photo by Michael Mafuru (@M_Mafuru)Photo by Michael Mafuru (@M_Mafuru)
Amhurumiaye maskini humkopesha Bwana; Naye atamlipa kwa tendo lake jema. - Mithali 19:17 #TunamtumikiaMungukupitiawatu #Kindness
🤖 Made with AI
1
4
131
Social Test: Part 90
1
31
Maana utumishi wa huduma hii hauwatimizii watakatifu riziki walizopungukiwa tu, bali huzidi sana kuwa na faida kwa shukrani nyingi apewazo Mungu. 2Wakorintho 9:12 #TunamtumikiaMungukupitiawatu #Kindness
1
8
178
Maana utumishi wa huduma hii hauwatimizii watakatifu riziki walizopungukiwa tu, bali huzidi sana kuwa na faida kwa shukrani nyingi apewazo Mungu. - 2Wakorintho 9:12 #TunamtumikiaMungukupitiawatu #Kindness
1
8
200
Maana utumishi wa huduma hii hauwatimizii watakatifu riziki walizopungukiwa tu, bali huzidi sana kuwa na faida kwa shukrani nyingi apewazo Mungu. - 2Wakorintho 9:12
69
Leo tumepokea Sadaka ya nguo na viatu tokea Dar Es Salaam, kwa dada yangu @evonne_massawe kwa ajili ya wahitaji. Mungu akubariki sana boss, hii ni sadaka kubwa sana, umemuwakilisha Mungu kwa wahitaji wake na umemkopesha pia, Mungu akujaze tena mahali ulipopunguza. na sadaka hizi zikawe kielelezo mbele za Mungu kwa ajili yako na vizazi vyako. _ Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu. Na Mungu aweza kuwajaza kila neema kwa wingi, ili ninyi, mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidi sana katika kila tendo jema; kama ilivyoandikwa, Ametapanya, amewapa maskini, Haki yake yakaa milele. - 2Wakorintho 9:7-9
1
2
16
578
2Wakorintho 9:12
18
288
Moja ya social test bora niliyowahi kufanya ni ya huyu ndugu yetu mwenye ulemavu wa macho, pamoja na changamoto za kutokuona hazijamfanya ingie mtaani kuomba omba, wala hajatumia kama kigezo cha watu kumuonea huruma bali anapambana hivyo hivyo. _ Mungu anatupatia somo kupitia kwa huyu ndugu yetu imagine haoni kabisa lakini anaingia mtaani kufanya buashara, hapa anatukumbusha tusiwe watu wa kulalamika bali changamoto tunazopitia ziwe chachu ya sisi kuendelea na mapambano huku tukiendelea kumuamini na kumtumainia Yeye binafsi. #TunamtumikiaMungukupitiawatu #Kindness
1
10
430
Maana utumishi wa huduma hii hauwatimizii watakatifu riziki walizopungukiwa tu, bali huzidi sana kuwa na faida kwa shukrani nyingi apewazo Mungu - 2Wakorintho 9:12 #TunamtumikiaMungukupitiawatu #Kindness
58
Kindness: Part 24 - Mama zetu kuna kipindi huwa wanapita sehemu ngumu sana, ikitokea nafasi ya kumrudishia tabasamu, fanya hivyo bila kutazamiwa kulipwa sababu unakuwa umemkopesha Mungu na umemuwakilisha kwa watu wake. _ N:B bado hajanitafuta, akinitafuta tutafanya jambo kwa ajili yake! #TunamtumikiaMungukupitiawatu #Kindness
1
84
Maana utumishi wa huduma hii hauwatimizii watakatifu riziki walizopungukiwa tu, bali huzidi sana kuwa na faida kwa shukrani nyingi apewazo Mungu - 2Wakorintho 9:12 #TunamtumikiaMungukupitiawatu #Kindness
1
8
221
Social Test: Part 89 - Dada amenisaidia kwa moyo wote ila hakuamini malipo ya moyo wake wa huruma.
1
58
Social Test: Part 88 - Dada hakuamini alichokutana nacho baada ya kukubali kunisaidia!
9
209
Kuna wengine wanaishi na sisi kama wanadamu kumbe ni malaika ambao wamekujia kupima upendo wetu. Kwamba kama tunasema tunampenda Mungu ambaye hatumuoni, kwa nini tunashindwa kuwasaidia tunaowaona?! _ Tuwapende na kuwajali si kwa ajili yetu wenyewe tu, bali kwa ajili ya kumwakilisha Mungu kwa wahitaji, kama Neno lake linavyosema: _ Amhurumiaye maskini humkopesha Bwana; Naye atamlipa kwa tendo lake jema. - Mithali 19:17
1
20
602
Tukimkabidhi ndugu yetu Peter godoro lake, lililonunuliwa na mmoja ya wadau wetu wanao support huduma yetu. #TunamtumikiaMungukupitiawatu #Kindness
9
310
Mmoja ya wadau ambao huwa wana support sana huduma yetu, aliamua kutoa sadaka yake kwa kumnunulia ndugu yetu Peter godoro, na leo tumemkabidhi godoro lake. Mungu akubariki sana mahali ulipopunguza akakujaze mara 100, naamini Mungu anao watu na wewe ni mmoja ya hao watu wake anaojivunia uwepo wako hapa Duniani kwamba unamuwakilisha vema kwa wahitaji wake. _ Bado kitanda na fedha kidogo kwa ajili ya matibabu, unaweza kuchangia chochote ulicho nacho, jaribu kumkopesha Mungu kwenye hili. _ Number za kutuma Sadaka kwa ajili ya ndugu yetu Peter. Mpesa Lipa Namba: #58240194 Mpesa: #0748618888 Airtel Money: #0695152598 CRDB Bank: #0133000PY6X00 Name: Mafuru Foundation. _ Mungu awabariki sana. 🙏🏽
2
122
Kindness: Part 23 - “Umenielea mwanangu” unakutana na mama kama huyu anakusimamisha kukuomba msaada, alafu anakuambia maneno mazito kama haya, lazima uogope unajiuliza vipi kama ningempuuzia kumbe Mungu ametuma Malaika wake, ili wakupime kwa kipimo kilekile unachowapimia wenzako! _ Na Mungu aweza kuwajaza kila neema kwa wingi, ili ninyi, mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidi sana katika kila tendo jema; kama ilivyoandikwa, Ametapanya, amewapa maskini, Haki yake yakaa milele. - 2Wakorintho 9:8-9
1
7
262
Part 02: Tulimkabidhi ndugu yetu Peter, mtaji kidogo ambao baadhi ya wadau wanao support huduma yetu walitoa kama sadaka. Mungu awabariki sana. #TunamtumikiaMungukupitiawatu #Kindness
1
5
140
Part 01: Tulivyoanza kurudisha tabasamu na tumaini kwa ndugu yetu Peter, Mungu awabariki sana wale wote ambao mlitoa fedha zenu kama sadaka kwa ajili ya ndugu yetu. #TunamtumikiaMungukupitiawatu #Kindness
1
2
11
174
Update: Jana tulifanikiwa kumpakabidhi ndugu yetu Peter, Mtaji wa biashara na fimbo ya kum support anapotembea, Mungu awabariki sana wale wote ambao mlitoa fedha zenu kwa ajili ya ndugu yetu. _ Bado tunaendelea kukusanya fedha Kwa ajili ya kumpatia aweze kupata matibabu na kumbadilishia mazingira anayolala kwa kumnunulia kitanda, pamoja na godoro, tutumie chochote kwa ajili ya ndugu yetu, unaweza kumkopesha Mungu kwenye hili kwa kumuwakilisha kwa wahitaji. _ Number za kutuma Sadaka kwa ajili ya ndugu yetu Peter. Mpesa Lipa Namba: #58240194 Mpesa: #0748618888 Airtel Money: #0695152598 CRDB Bank: #0133000PY6X00 Name: Mafuru Foundation. _ Mungu awabariki sana. 🙏🏽
1
2
8
190