Geopolitics geek & @Arsenal fan with a lil banter. If you see me on TV, chances are somewhere in the world, guns have started talking & am the guy to explain.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2019
إبراهيم retweeted
MWENEZI TAIFA AONGOZA MAAFUNZO YA WANACHAMA WA CCM NGAZI YA KATA JIJINI ARUSHA Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM TAIFA *Ndugu Kenani Laban Kihongosi* leo ameongoza mafunzo kwa wanachama wa CCM ngazi ya Kata jijin Arusha yanayohusu Historia ya CCM, Itikadi ya Chama, Maadili ya Viongozi na wanachama pamoja kuhamasiaha Ulipaji wa Ada, na Usajili wa Wanachama wapya. Mafunzo hayo yanaendelea Nchi nzima katika ngazi ya Mikoa, Wilaya na Kata.
2
3
1
12
2,774
إبراهيم retweeted
MRADI WA SGR TABORA–KIGOMA UTABADILISHA MAISHA YA WATANZANIA NA KULETA MAPINDUZI YA KIUCHUMI – MBARAWA Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema mradi wa reli ya kisasa (SGR) katika kipande cha sita (Lot 6) kutoka Tabora hadi Kigoma unatarajiwa kubadilisha maisha ya Watanzania na kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii, kwa kurahisisha usafiri na usafirishaji wa watu na bidhaa. Amesema hayo leo Jumapili Oktoba 25, 2026 akikagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo. Profesa Mbarawa amebainisha kuwa, mradi huo unatarajiwa kukamilika mwaka 2029, huku treni zitakazotumia reli hiyo zikitarajiwa kwenda kwa kasi ya kilomita 160 kwa saa, hatua itakayosaidia kurahisisha safari na kuongeza ufanisi wa usafiri wa reli. Ameongeza kwa kusema kuwa, kazi zinazoendelea katika kipande hicho zinahusisha ujenzi wa miundombinu ya msingi, ikiwemo madaraja, makalvati na misingi, ambayo ni muhimu kabla ya kuendelea na ujenzi wa matuta na utandikaji wa reli. Ameendelea kwa kusema kuwa, Serikali inaendelea kuhakikisha fedha zinapatikana na mkandarasi analipwa kwa wakati kupitia cheti cha malipo ya mkandarasi inayowasilishwa (Contractor's Payment Certificate), ili kuwezesha kazi kuendelea kwa kasi na mradi kukamilika ndani ya muda uliopangwa. Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Mhandisi Machibya Shiwa, amesema eneo la Malagarasi ni miongoni mwa maeneo yenye changamoto kubwa katika ujenzi wa kipande hicho cha Tabora–Kigoma, kutokana na umuhimu wake katika usafirishaji wa vifaa na utekelezaji wa mradi. Amesema eneo hilo linahitaji misimu mitatu ya kiangazi ili kuruhusu kukamilishwa kwa sehemu ngumu za ujenzi zenye urefu wa takribani kilomita 30 hadi 40. Mhandisi Shiwa amesema utekelezaji wa kazi katika eneo hilo umefikia asilimia 12, akieleza kuwa mkandarasi alianza na maeneo yenye changamoto kubwa ili kurahisisha hatua zinazofuata za ujenzi wa reli. Utekelezaji wa mradi wa Reli ya kisasa (SGR) katika kipande cha sita (Lot 6) Tabora–Kigoma unaendelea katika maeneo mbalimbali , huku eneo la Malagarasi likiwa miongoni mwa maeneo muhimu ya mradi huo kutokana na ujenzi wa daraja kubwa linalowezesha kupita katika eneo hilo lenye changamoto za kiuhandisi.
4
2
7
4,190
The United States welcomes the constructive engagement by the DRC and Rwanda as they work toward achieving lasting peace and shared prosperity under the Washington Accords. This Operations Order will guide the DRC's neutralization of the FDLR and Rwanda's disengagement of forces.
From October 20 to 22, the United States convened military planners from the Democratic Republic of the Congo and Rwanda @Marshall_Center in Garmisch, Germany, for the Joint Security Coordination Mechanism (JSCM) Operations Order Conference. The African Union, Qatar, and U.S. interagency partners joined the delegations as they addressed the security obligations at the core of the Washington Accords for Peace and Prosperity. Thanks to @USAfricaCommand and @AfricaACSS for helping guide the participants towards a successful outcome. The delegations followed through on a commitment they made at the sixth JSCM meeting in August, working to finalize a draft Operations Order for approval. The order will guide the neutralization of the FDLR by the DRC and the disengagement of forces and lifting of defensive measures by Rwanda. We welcome their constructive engagement as they work toward achieving lasting peace and shared prosperity under the Washington Accords.
41
53
8
168
15,286
إبراهيم retweeted
Bet against Tanzania, you lose.
Tanzania has discovered 223 billion cubic feet of natural gas in the Mnazi Bay Block, its first reported new gas discovery in more than a decade. thecitizen.co.tz/tanzania/ne…
5
11
2
51
3,196
Tatizo ushachange Dp nakosa pa kupiga jamaa embu niache kidogo nitafte dongo jingine 😄🙏🏽
Sidhani kama karma ndo kafanya uwe na obesity ( maybe ulimcheka mtu aliyekua ivo) nahisi ni uzembe wako tu. Ila what i know karma yupo😅.
114
The @jwtztaarifa Tanzanian Army 🇹🇿 Brought the legendary BM-21 Grad Saba Saba Guns 🚀🚀to Eastern Congo , the CDF visited the troops. Peace Must Come to Congo. #FreeCongo
Operation Nyundo II the FIB @MONUSCO the Tanzanians 🇹🇿 TZQRF @jwtztaarifa brought the MIZINGA Cannons ‼️ for Action in North Kivu Congo. Feel The Thunder
7
6
1
54
9,117
إبراهيم retweeted
Kwenye uchaguzi wa Israel haijalishi nani atashinda, sera yao ya mambo ya nchi na msimamo wao juu ya Palestina hautabadilika. Na utachangaa kugundua kuwa katika wagombea wa Israeli, Netanyahu ni "moderate" na kuna watu "radical" kumshinda yeye.
Netanyahu vipi wakuu
10
2
3
48
4,310
إبراهيم retweeted
Yule mtu mfupi kazi yake kuleta tension muda wote.
Mheshimiwa anamwakilisha Rais duniani back to back ila Majasusi wa Chanzo media wanakwambia Makonda anachukua nafasi yake muda huo 😄😄 ilimradi tu kutengeneza shoti.
1
1
1
184
From October 20 to 22, the United States convened military planners from the Democratic Republic of the Congo and Rwanda @Marshall_Center in Garmisch, Germany, for the Joint Security Coordination Mechanism (JSCM) Operations Order Conference. The African Union, Qatar, and U.S. interagency partners joined the delegations as they addressed the security obligations at the core of the Washington Accords for Peace and Prosperity. Thanks to @USAfricaCommand and @AfricaACSS for helping guide the participants towards a successful outcome. The delegations followed through on a commitment they made at the sixth JSCM meeting in August, working to finalize a draft Operations Order for approval. The order will guide the neutralization of the FDLR by the DRC and the disengagement of forces and lifting of defensive measures by Rwanda. We welcome their constructive engagement as they work toward achieving lasting peace and shared prosperity under the Washington Accords.
70
138
40
327
121,336
Sababu hamna ofisi mikoani, kama unabisha leta picha.
Hiyo sababu ya ugaidi imeanza last year? The other 20 years sababu zilikua zipi??
1
1
270
Mheshimiwa anamwakilisha Rais duniani back to back ila Majasusi wa Chanzo media wanakwambia Makonda anachukua nafasi yake muda huo 😄😄 ilimradi tu kutengeneza shoti.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo ameelekea Moscow, nchini Urusi, kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi utakaofanyika Oktoba 28–29, mwaka huu. Mkutano huo utakaowakutanisha viongozi wa Urusi na nchi za Afrika, utaongozwa na Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika ambaye pia ni Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye.
2
2
1
5
816
Khalifa amekandwa kwenye comment section humu ndani sio poa 😄😄 Yeye kazi kupinga kila kitu na ku undermine the state. ( instagram.com/reel/De_PFRmoO… ).
4
2
5
757
Yesss 😄 good decision indeed Man U board
🚨 Manchester United have decided to continue with Michael Carrick as head coach. Despite Bournemouth and Como defeats, #MUFC hierarchy decides to give Carrick more time to fix things. Player also informed. Up next: Chelsea-Man United on Saturday. Carrick will be there.
110
EXCLUSIVE Interview: Joseph Kabila Kabange (Teaser) Interview conducted with @TEDDYMAZINA and @CoulibalyBojana on October 23, 2026 Full interview will be published today at 7pm (Goma time) youtu.be/bYyyRybdWvg?si=ddBx… via @YouTube
22
75
6
270
31,878
Yale ma meme ya Dictator Mbappe wachina wame mind kumchoresha Mao Ze Dong 😅
Readers added context they thought people might want to know
Mao Zedong is under any single social metric a dictator. Not a single popular election, single government party and lifetime leadership. Not even taking into account the millions of deaths under his reign. en.wikipedia.org/wiki/Mao_Zedong
2
2
300
إبراهيم retweeted
DODOMA: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema hayo Bungeni, leo Oktoba 27, 2026. Zaidi jamii.app/MakondaOktoba29 #JamiiForums #Siasa
94
15
11
245
48,573
إبراهيم retweeted
EXCLUSIVE Interview: Joseph Kabila Kabange (Teaser) Interview conducted with @TEDDYMAZINA and @CoulibalyBojana on October 23, 2026 Full interview will be published today at 7pm (Goma time)
EXCLUSIVE Interview: Joseph Kabila Kabange (Teaser) Interview conducted with @TEDDYMAZINA and @CoulibalyBojana on October 23, 2026 Full interview will be published today at 7pm (Goma time) youtu.be/bYyyRybdWvg?si=ddBx… via @YouTube
27
2
95
4,830
"Does the Congo need an Election or a Revolution!" EXCLUSIVE Interview with the #FRN President JOSEPH KABILA, former president of DRC, conducted via @Conspiracygl with @TEDDYMAZINA & @CoulibalyBojana, on October 23, 2026. Full interview at 7pm today via CTGL YouTube channel.
174
36
723
172,561