DR.MAZIKU (@Maziku07) header
DR.MAZIKU (@Maziku07) profile picture
Joined February 2020
Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)
Kijana yuko zake amepanga ma Sinza anazingatia engo ila akili zake anawaza siku moja aje achukue kiwanja chake chakuishi mitaa ya Goba kwa 8M-10M😂. Hajui kiwanja Goba bila 50-100M hupati kitu. Vijana tujifunze sana kufatilia mambo ya viwanja,MLANDIZI sio mbali nunueni mashamba.
31
45
6
658
31,971
Uhakika
This post is from an account that no longer exists. Learn more
158
Kwanini, maniga, wanapenda sana kurekodiana kwenye mazingira ya faragha? Like, what’s actually the objective? Umesharekodi—so what next? Unarekodi video ya nini hasa, na unategemea iwe na impact gani? Maana mwisho wa siku umerekodi tu… then what?
23
Na Braza Chale wa utalii wa ndani.😂 Miguu ya @Suma_Viatu
5
5
1
33
2,654
Nyerere Dada😂
#DearNyerere eti walisema huyo ni ww Daah🥹
51
Ndo unyamwezi mzee
Country wizzy amepatwa na nini? Wakuu mbona kazeeka gafla kawa kama chokolaa.😥🙆🏿‍♂️
1
185
God is so good. ✔️ #BabaDee
4
4
2
14
989
Naaam
“Ingawa Yanga ni timu inayocheza kwa kasi na nguvu, siamini kama inaweza kufikia kiwango chetu cha ushindani. Sisi pia tunapenda kuiweka timu pinzani kwenye presha, kuilazimisha kufanya makosa na kutumia makosa hayo kutengeneza mabao.” - Steve Barker, Kocha wa Simba SC
1
146
M/kiti hii ni Goba Kinzudi?
1
1
2
205
Swali ni kwamba “huwa mnaweka nn?@
This post is from a suspended account. Learn more
153
Wa hivi hapana jamani
This post is from a suspended account. Learn more
1
225
Kama hawatakupa kazi TRA na mshahara wa 5.8M kwa kuanzia usikubali mwanetu✅
GPA ya 4.7✅ Acheni Mungu aitwe Mungu.
1
1
157
Ww kwenye cycle yako huna mtu wa kukupa 650k harafu ukarudisha polepole bila hiyo kitu inaitwa Fee.
Replying to @NMBTanzania
@NMBTanzania Mungu awabariki sana
2
2
1
7
5,751
Man U inashuka daraja😂
Six down, four to go in Matchweek 1 ⏳
118
Chalii mbadilishie hilo jina
Mzee @freemanmbowetz Wanyama wa porini huua/kupigana kwa sababu zinazohusiana na mahitaji ya kuishi: chakula, kujilinda, kulinda watoto au eneo. Simba anawinda kwa ajili ya chakula siyo mateso, chuki, kisasi Binadamu ni viumbe katili zaidi ya wanyama. Binadamu anaweza kumdhuru mwingine kwa sababu ya chuki, ubaguzi, tamaa, kulipiza kisasi, madaraka au kwa sababu anaona mwingine hafai kuishi Kutoka Mikocheni kwenda ilipo Mahakama Kuu ya Tanzania ni umbali usiozidi 5KM. Kutoka Mikocheni kwenda Rufiji ulipo mradi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) ni umbali wa 260KM Unaweza kusafiri kwenda mkoa mwingine kwa zaidi ya saa tano kuhudhuria shughuli za Serikali katili ya CCM lakini huwezi kutumia dakika 10 kutoka kwako kwenda Mahakama Kuu katika kesi ya TAL? Huwezi kwenda safari ya 5KM kumuona Mwenyekiti wako wa chama, aliyerithi kiti chako katika uchaguzi HURU na HAKI lakini unaweza kwenda 260KM kuungana na watesi wa Mwenyekiti wako? Nini muhimu zaidi kwako? Ni wewe ulitueleza miradi ya maendeleo haiwezi kuwa mbadala wa haki za binadamu. Leo kuna watu wanatekwa na kupotezwa, wanashtakiwa kwa ugaidi na uhaini. Hujui? Lakini umechagua nini? Nimekusikiliza ukisema “mradi wa JNHPP usichukuliwe kisiasa kwa kuwa ni mradi unaokwenda kusaidia uchumi”. Umesahau ulitueleza nini kuhusu miradi ya MAGUFULI? Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe kwa sasa ni ‘mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA - ni kutokana na hiki kinachoitwa ‘ustaafu’ wa uenyekiti wa CHADEMA Taifa Kwa maana kwamba, Freeman Mbowe yupo katika kundi sogozi la WhatsApp na mengine (kama yapo) ambayo wajumbe wa kamati kuu wanajadili kwa hisia zao tofauti masuala mbalimbali ya chama Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu CHADEMA huwezi kwenda Mahakamani katika kesi ya kiongozi wa chama, lakini unaweza kwenda katika shughuli zinazoongozwa na mwenyekiti wa CCM Freeman Mbowe umesahau, wakati ukishtakiwa kwa makosa ya uongo ya UGAIDI, Tundu Lissu alikuwa Belgium akijiuguza majera ya risasi. Aliomba kukutana na Rais alipokuwa Brussels Pamoja na mambo mengine waliyokubaliana, alisema Mwenyekiti Freeman Mbowe aachiwe ndiyo tufungue ukurasa mpya. Tundu Lissu alitujulisha mwenyewe hayo alipozungumza na umma. Tundu Lissu akiwa na siku 500 gerezani. Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe hujawahi kukanyaga Mahakamani kuanzia Kisutu hadi Mahakama Kuu hata kwa bahati mbaya. Saa 24 baada ya Mahakama Kuu kusema Tundu Lissu ana kesi ya kujibu katika mashtaka ya UHAINI ya uongo na uzandiki, Freeman Mbowe unaibuka katika shughuli za Serikali ukiwa na MAWAZIRI. Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya CHADEMA umekataa kabisa kuhudhuria shughuli zozote za CHADEMA lakini unaweza kuhudhuria shughuli unazoalikwa na WATAWALA KATILI wa CCM. Unahudhuria shughuli za Serikali umeongozana na mawaziri wa Serikali katili ya CCM wakati ambao wanachama na wafuasi wa CHADEMA kwa mamia wamekamatwa na kushtakiwa kwa UGAIDI? Mzee Freeman Mbowe umesahau haraka. Kuna watu walifungwa gerezani, wengine sasa ni walemavu, wengine sasa ni marehemu kwa sababu ya kupigania jina lako ukiwa kiongozi wa chama chetu. Umesahau, wakati unakamatwa na Serikali katili ya CCM, 2021, wanachama wa CHADEMA walikwenda kuonyesha ‘solidarity’ na wewe pale KISUTU. Walikamatwa, wakashtakiwa, wakafungwa Najutia zile siku nilisimama nawe, kukutetea na kunadi jina lako kwa nia njema kabisa nikifikiri unapambania uhuru, haki na mabadiliko ya kweli. Haikuwa hivyo. Ulitudanganya tukishindwa. Nasema kwa kuwa kwa hiari yangu, niliamua kusimama nawe, kukunadi katika mazingira ambayo ilionekana ni kama kuuza kitimoto Mecca. Lakini sikutarajia tukishindwa, tuisaliti CHADEMA Wengine sasa tumeelewa kwa kuchelewa sana. Hii chuki haiwezi kuwa ya kushindwa uchaguzi. Lazima kuna mafekeche mengine. Kuna kingine kimeujaza chuki moyo wako. Je, kuna mrija, umekatwa? Najutia kumpa mtoto wangu jina lako, Freeman.
2
259
Dawa ya kurudisha nguvu za kiume kwa mtu aliepiga nyeto sana ni zipi!? 🙏🙏
1
1
7
368
Mtu anauza Acc na hafuti DM😂
Mimi jamani siwatishi honestly ila nipo kama ticking bomb sahivi, mnawajuaga wale nyoka ambao wakiwa gizani wanagonga kila kinachowagusa hatakama ni chungu?!😂 So nawaambia hivi hatakama sina direct taarifa zako ila hii account nimenunua na dm hazijafutika kabisaaaa, ko ukijichanganya kunisub hakikisha yo super white clean kwenye hii account, yaani nawachora tu kwakuwa naheshimiana na alieniuzia lasivyoooo SENKYU😂🤝
1
2
322
Hii sasa tuipate Suma
This post is from a suspended account. Learn more
1
1
193