M2 (@Mic4426) header
M2 (@Mic4426) profile picture

Peeling back the layers of tech jargon to reveal fascinating stories of language, history, and innovation.

Tanzania
Joined July 2023
Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)Photo by M2 (@Mic4426)
Samsung galaxy S series, Samsung A series, Samsung M series, Samsung J series,Samsung Z series.. Ushawahi kujiuliza herufi hizo zina maana gani? na humaansha nini kwenye uwezo na sifa ya simu yako? ๐Ÿค” Fahamu zaidi heruf hizi zinamaanisha nin haswa kwenye performance ya simu๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
10
31
77
11,995
๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐˜๐—ต๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฑ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜‚๐—ป๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ Kampuni ya Meta kupitia mtandao wa thread wameleta feature ya watu kuwa na uwezo wa kufuta akaunti yake au kuificha kwa urahisi sana bila kufuta akaunti ya Instagram. Uzi uko chini ๐Ÿ‘‡
3
2
14
2,667
Nothing Chats: Daraja Lako la Kuingia kwenye iMessage! Fahamu kuhusu application ya Nothing chats! ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡ Watumiaji wa Android, sasa kupitia app ya Nothing Chats itakayokuruhusu kuunganishwa kwa urahisi kwenye iMessage kwenye simu za iPhone,. Yes it's happening! Shuka nami ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
4
7
19
4,495
Kampuni ya Qualcomm imetambulisha chip mpya ya Snapdragon 7 Gen 3. ๐— ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐˜‚: ๐Ÿ”˜ Ni chip mpya ya simu za Android ambazo zitauzwa kwa bei ya wastani (midrange). ๐Ÿ”˜ CPU yake imeongezeka uwezo kwa asilimia 15% ๐Ÿ”˜ GPU yake imeongezeka uwezo kwa asilimia 50% hivyo itaboresha games katika simu za Android za bei ya wastani. ๐Ÿ”˜ Imetengenezwa na TSMC katika kiwango cha teknolojia ya 4nm. ๐Ÿ”˜ Inakubali mawasiliano wa WiFi 6E na 5G ๐Ÿ”˜ Inawezesha kamera kurekodi 4K HDR ๐Ÿ”˜ Inakubali display za QHD+ kwa refresh rate ya 120Hz ๐Ÿ”˜ Inatumia kiasi kidogo cha umeme hivyo inatunza charge kwa asilimia 20% Itasaidia simu za bei ya chini za Android zitakuwa na uwezo mkubwa wa kucheza games.
2
10
1,007
Miaka 20 iliyopita zuck aliweza kukutana na mke wake anaitwa Priscilla Chan kwenye chuo Cha Harvard university ilikua party Moja hivi ya wanafunzi walikutana kwenye maeneo ya chooni ๐Ÿ˜€ sio ndani.
1
1
8
655
๐—”๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ต๐—ฒ๐˜„๐—ฎ ๐—ฑ๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ถ Sasa watu wataweza kupokea utabiri wa Hali ya hewa kupitia akili bandia imekuja kuchukua taarifa ya masuala ya anga kwa kukupa taarifa kamili kuhusu Hali ya hewa Imekuwaje ๐Ÿค”!! Uzi ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
3
12
32
4,739
Nothing Chats: Daraja Lako la Kuingia kwenye iMessage! Fahamu kuhusu application ya Nothing chats! ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡ Watumiaji wa Android, sasa kupitia app ya Nothing Chats itakayokuruhusu kuunganishwa kwa urahisi kwenye iMessage kwenye simu za iPhone,. Yes it's happening! Shuka nami ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
4
7
19
4,495
Je nani ataweza kuipata application Hii ya Nothing chat?? Nothing Chats kwa sasa ni app ya kipekee na itapatikana kwa watumiaji wa Nothing Phone 2 tu!. Hata hivyo, kutokana na uwezo wake wa kuunganisha mawasiliano kati ya ios na Android tunatarajia upanuzi wake kwa vifaa vngine
1
2
131
Je unategemea kampuni ya apple itafanya nini kuhusu uzinduzi huu?
3
97
Alarm zililia, ila Mungu ndio katuamsha tena๐Ÿš€
3
5
433
Muonekano mojawapo wa icon za mwanzoni kabisa za YouTube! @YouTube โ€“ at Dar es Salaam, Tanzania
1
5
11
614
SIKU KAMA YA LEO! ๐Ÿฆ…1777, Articles of Confederation,โ€”katiba ya kwanza ya Marekani, inathibitishwa na Baraza la Mabunge ya Mabara. ๐Ÿฆ…1811, Josรฉ Miguel Carrera alichukua udhibiti wa serikali ya Chile kwa njia ya mapinduzi ya kijeshi, akawa Rais wa kwanza wa nchi hiyo.
1
3
7
473
SIKU KAMA YA LEO! ๐Ÿฆ…Ya 1666, Mwandishi wa Kiingereza Samuel Pepys aliandika ripoti ya kwanza ya kubadilishana damu-(first report of a blood transfusion), ambayo ilikuwa ni baina ya mbwa wawili. ๐Ÿฆ…Ya 1834, William Thomson, aliingia Chuo Kikuu cha Glasgow akiwa na umri wa miaka 10
1
1
11
656
Muonekano mojawapo wa icon za mwanzoni kabisa za YouTube! @YouTube โ€“ at Dar es Salaam, Tanzania
1
5
11
614
Kila hatua Chache tunazopiga ni kwa sababu yenu.. Naendelea sana kuwashukuruni nyote kwa hizi hatua chache tunazosogea pamoja Ni kidogo lakini kina thamani kubwa sana Asanteni๐Ÿ™ 1900hrs 300 Followers โ€“ at Dar es Salaam, Tanzania
4
7
553
Gari hiyo ambayo Moja ya sifa yake kubwa ni kuwa na betri imara Ina 800v ambalo unaweza kuichaji kwa dakika 15 na kujaa itakupelekea kuendasha gari lako mpaka umbali wa km 700 sawa na miles 435.
2
1
7
232
SIKU KAMA YA LEO! ๐Ÿฆ…Ya 1673, Christopher Wren aliteuliwa na Mfalme Charles II wa Uingereza kama mjenzi mpya wa Kanisa Kuu la St Paul la pale London. ๐Ÿฆ…Ya 1979, Ronald Reagan alitangaza nia yake ya kuwania Urais wa Marekani akiwa huko NYC.
2
5
312
๐Ÿ’จ Shot on Pixel 7 Pro ๐Ÿ“ธ ๐Ÿ“Kariakoo, Dar es Salaam ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
18
13
2
241
15,268